Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Parokia ya Ilemela, Jimbo kuu la Mwanza

Mwaka wa huruma ya Mungu umewawezesha waamini wengi kuguswa na upendo na huruma ya Mungu katika maisha yao, kiasi cha kutubu na kuongoka!

Mwaka wa huruma ya Mungu umewawezesha waamini wengi kutubu na kumwongokea Mungu kwa kuacha njia zao mbaya.

Mashuhuda wa mwaka wa huruma ya Mungu Jimbo kuu la Mwanza!

21/04/2017 12:32

Maadhimisho ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei ya huruma ya Mungu imekuwa ni fursa ya kutubu na kumwongokea Mungu; nafasi ya kujipatanisha na Mungu pamoja na jirani; muda muafaka wa kurekebisha maisha ya Kikristo ili kuambata rehema na neema za Mwaka wa Jubilei ya huruma ya Mungu!

Mzee Mwamba Chikaka kutoka Tanzania anampongeza Papa Francisko kwa kuguswa na mahangaiko ya watu sehemu mbali mbali za dunia, lakini zaidi na maskini!

Mzee Mwamba Chikaka kutoka Tanzania anamshukuru na kumpongeza Baba Mtakatifu Francisko kwa kuguswa na mateso na mahangaiko ya watu sehemu mbali mbali za dunia lakini zaidi matatizo ya maskini!

Mzee Mwamba Chikaka awataka waamini kuwa ni vyombo vya amani na upendo

18/04/2017 11:30

Mzee Mwamba Chikaka anawaalika waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kuwa kweli ni vyombo na mashuhuda wa haki, amani, upendo na mshikamano! Kwa namna ya pekee anawasihi watanzania kukuza na kudumisha amani, umoja na mshikamano wa kitaifa kwa kuwasaidia wahitaji zaidi.