Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Parokia

Papa Francisko amekutana na waseminari na mapadre wanaosoma katika taasisi za kipapa mjini Roma tarehe 16 machi 2018

Papa Francisko amekutana na waseminari na mapadre wanaosoma katika taasisi za kipapa mjini Roma tarehe 16 machi 2018

Makuhani wawe na mahusiano kati yao na waongozwe na Roho Mtakatifu

16/03/2018 17:30

Papa Francisko amekutana na waseminari na mapadre wanaosoma taasisi za Kipapa mjini Roma na kuzungumza nao tarehe 16 Machi 2018.Katika mazungumzo yao amehimiza wawe na mang'amuzi,kusali mbele ya Mungu,kuwa na mahusiano na Askofu,kati yao na waamini,pia furaha

 

Papa Francisko akisalimiana na vijana walioudhuria Siku ya sala na uhamasishaji kimataifa kuhusu biashara haramu ya watumwa

Papa Francisko akisalimiana na vijana walioudhuria Siku ya sala na uhamasishaji kimataifa kuhusu biashara haramu ya watumwa

Papa Francisko:inahitaji ujasiri kufichua wanafiki wa biashara ya watumwa!

13/02/2018 15:44

Papa Francisko amebadilishana mawazo na baadhi ya washiriki wa Mkutano ya Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Biashara haramu ya binadamu na utumwa mamboleo. Amejibu maswali mengi kuhusu: unyanyasaji kijinsia, uonevu, shule za picha za ngono katika mitandao,kifolaini na sintofahamu!

 

Baba Mtakatifu katika nia za mwezi wa tisa za maombi anasema tuombee Parokia zetu ili kwamba zisigeuke kuwa ofisi za wafanyakazi wa mishahara

Baba Mtakatifu katika nia za mwezi wa tisa za maombi anasema tuombee Parokia zetu ili kwamba zisigeuke kuwa ofisi za wafanyakazi wa mishahara bali ziongozwe na roho ya kitume na kuwa sehemu ya kukuza imani na ushuhuda wa upendo".

Ujumbe wa Papa kwa njia ya Video:Tuombee Parokia zetu zifungue milango wazi

02/09/2017 08:48

Nia za Baba Mtakatifu Francisko kwa njia ya Video zinahusu Parokia:Parokia zinapaswa kuwa nyumba milango wazi ili kuweza kukutana na wengine.Ni muhimu kwenda kukutana na wengine ili kukuza imani.Inawezakana tu kutokana na kuacha milango wazi ili Yesu aweze kutoa ujumbe wake wa furaha.