Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Papa: Ujumbe Siku ya 55 ya Kuombea Miito 2018

Papa Francisko analihamasisha Kanisa kujenga utamaduni wa kuwasikiliza, kuwajali na kuwasindikiza vijana katika hija ya maisha yao hapa duniani.

Papa Francisko analihamasisha Kanisa kujenga utamaduni wa kuwasikiliza, kuwathamini, kuwajali na kuwasindikiza vijana katika hija ya maisha yao hapa duniani.

Baba Mtakatifu Francisko kukutana na vijana wa Italia, Agosti, 2018

12/05/2018 07:53

Baba Mtakatifu Francisko katika kipindi cha miaka miwili, amewahamasisha viongozi mbali mbali wa Kanisa kujenga na kudumisha utamaduni wa kuwasikiliza, kuwathamini pamoja na kuwasindikiza vijana katika hija ya maisha yao ya kiroho, ili waweze kufanya maamuzi magumu na yenye busara.

Viongozi wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania wanatambua changamoto, fursa na matatizo katika malezi na majiundo ya kipadre: Yanashughulikiwa!

Viongozi wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania wanatambua matatizo, changamoto na fursa za malezi ya wuto wa kipadre, na kwamba, wameanza kuzivalia njuga ili kuandaa mwongozo wa malezi ya kipadre kitaifa.

Changamoto za malezi na majiundo ya kikasisi nchini Tanzania!

23/04/2018 14:51

Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 150 ya Uinjilishaji Tanzania Bara sanjari na Mwaka wa Padre Tanzania ulioadhimishwa mwaka 2017 kama kumbu kumbu ya Jubilei ya Miaka 100 tangu Mapadre wa kwanza wazalendo kuwekwa wakfu. Hii ni nafasi ya kutafakari kuhusu; wito, utume na maisha ya kipadre!

Papa Francisko: Mapadre iweni na huruma kama Kristo Mchungaji mwema, daima tafuteni ustawi, mafao na maendeleo ya watu wa Mungu!

Papa Francisko: Mapadre iweni na huruma kama Kristo Mchungaji mwema, daima tafuteni, ustawi, maendeleo na mafao ya watu wa Mungu.

Papa Francisko: Mapadre iweni wenye huruma kama Kristo Mchungaji mwema

23/04/2018 09:21

Baba Mtakarifu Francisko anawataka Wakleri kuwa bni watu wenye huruma daima wakimweka Kristo Yesu mchungaji mwema kuwa ni mfano wao bora wa kuigwa! Wajisadake bila ya kujibakiza kwa ajili ya ustawi, maendeleo na mafao ya watu wa Mungu kama ilivyokuwa kwa Kristo Yesu, Bwana na Mwalimu!

Papa Francisko, Jumapili ya Mchungaji Mwema ametoa Daraja takatifu ya Upadre kwa Mashemasi 16.

Papa Francisko katika maadhimisho ya Jumapili ya Kristo Mchungaji mwema ametoa Daraja takatifu kwa Mashemasi 16 kwenye Kanisa kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatican.

Jumapili ya Kristo Mchungaji mwema ni Siku ya kuombea Miito Dunaini

22/04/2018 15:18

Mara baada ya sala ya Malkia wa mbingu, Baba Mtakatifu ameonesha wasi wasi mkubwa  katika nchini Nikaragua, hivyo anaungana na maaskofu kuomba nchi hiyo amani.Amekumbusha juu ya Siku ya Maombi ya miito duniani,inayoongozwa na mada ya kusikiliza,kung’amua na kuishi wito wa Bwana.

 

Papa Francisko akiwa dirishani na mapadre wapya waliopata daraja Takatifu wakati wa tafakari ya neno katika sala ya Malkia wa Mbingu

Papa Francisko akiwa dirishani na mapadre wapya waliopata daraja Takatifu wakati wa tafakarikatika sala ya Malkia wa Mbingu

Papa:Kwa mara nyingine tena Injili inatualika kufuata Yesu Mchungaji mwema!

22/04/2018 15:05

Liturujia ya Domenika ya nne ya Pasaka inaendelea na lengo la kutusaidia kugundua utambulisho wetu wa kuwa mitume wa Bwana Mfufuka.Katika undani wa yule mtu aliye ponywa, tupo hata sisi yaani kila mmoja wetu na jumuiya zetu.Ni tafakari la Papa Francisko wakati wa Sala ya Malkia wa Mbingu

 

Baba Mtakatifu Francisko anawaalika waamini kutafakari kuhusu; kusikiliza, kung'amua na kuishi kama sehemu muhimu ya safari ya wito wao kwa Yesu.

Baba Mtakatifu Francisko anawaalika waamini kutafakari kuhusu: kusikiliza, kung'amua na kuishi kama sehemu muhimu sana ya wito wao kwa Kristo Yesu.

Jumapili ya Kuombea Miito Mbali mbali ndani ya Kanisa!

20/04/2018 15:15

Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake wa 55 wa Kuombea Miito Duniani kwa Mwaka 2018 anakazia mambo makuu matatu: Kusikia, Kung'amua na Kuishi! Kutokana na uchafuzi mkubwa wa mazingira, kelele na mitindo ya maisha, waamini wanaalikwa kusikiliza kwa makini sauti ya Mungu!

Jumapili ya Kristo Yesu Mchungaji Mwema ni Siku ya 55 ya Kuombea Miito Duniani kwa Mwaka 2018.

Jumapili ya Kristo Yesu Mchungaji Mwema ni Siku ya 55 ya Kuombea Miito Duniani kwa Mwaka 2018.

Siku ya Kuombea Miito Duniani: Mashemasi 16 kupewa Daraja Takatifu

20/04/2018 08:44

Baba Mtakatifu Francisko katika maadhimisho ya Jumapili ya Kristo Yesu Mchungaji mwema sanjari na maadhimisho ya Siku ya 55 ya Kuombea Miito Duniani kwa Mwaka 2018 anatarajiwa kutoa Daraja Takatifu ya Upadre kwa Mashemasi 16 kati yao 11 ni wale wanaotoka Jimbo kuu la Roma. Ombeeni miito!

Kristo Yesu ni kielelezo makini cha mchungaji mwema, anayesadaka maisha yake kwa ajili ya kondoo wake.

Kristo Yesu ni kielelezo cha mchungaji mwema anayesadaka maisha yake kwa ajili ya kondoo wake.

Kristo Yesu ni kielelezo cha mchungaji mwema anayesadaka maisha yake!

20/04/2018 07:00

Kristo Yesu ni kielelezo cha mchungaji mwema, anayewafahamu kondoo wake kwa majina, anayewaongoza taratibu kwenye malisho mazuri na kando ya mto wa maji ya utulivu! Kristo ni mchungaji mwema kwani ameyamimina maisha yake kwa ajili ya kuwakomboa kondoo wake kutoka katika dhambi na mauti.