Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Papa Francisko: Ujumbe wa Kuombea Amani 2018

Wakristo wanaoishi katika Nchi Takatifu ni mashuhuda wa mahali patakatifu katika maisha na utume wa Kristo Yesu hapa duniani!

Wakristo wanaoishi katika Nchi Takatifu ni mashuhuda wa mahali patakatifu katika maisha na utume wa Kristo Yesu hapa duniani!

Sikilizeni na kukijibu kilio cha Wakristo Mashariki ya Kati!

28/03/2018 08:35

Mwenye Paulo VI katika Waraka wake wa Kitume "Nobis in Animo" wa mwaka 1974, anasema, Wakristo wanaoishi katika Nchi Takatifu ni mashuhuda wa mahali patakatifu katika maisha na utume wa Kristo Yesu hapa duniani. Wana upendeleo wa pekee, lakini wanateseka na kunyanyasika sana!

Baraza la Maaskofu Katoliki Marekani linawaalika waamini kushiriki safari ya mateso na matumaini ya wakimbizi na wahamiaji duniani!

Baraza la Maaskofu Katoliki Marekani linawaalika waamini na watu wenye mapenzi mema kushiriki katika mateso na matumaini ya wakimbizi na wahamiaji duniani.

Waamini onjeni mateso na matumaini ya wakimbizi na wahamiaji duniani!

11/01/2018 15:43

Baraza la Maaskofu Katoliki Marekani, kuanzia tarehe 03 hadi 13 januari 2018 linaadhimisha Juma la Wakimbizi na Wahamiaji nchini humo kwa kuongozwa na mwaliko kwa waamini na watu wote wenye mapenzi mema kushiriki kikamilifu katika mateso na matumaini ya wakimbizi na wahamiaji duniani!

Kardinali Jean Pierre Kutwa anasema, amani ya kweli ni chemchemi ya maendeleo endelevu ya binadamu!

Kardinali Jean Pierre Kutwa anasema, amani ya kweli ni chemchemi ya maendeleo endelevu ya binadamu!

Kardinali Kutwa: Amani ni chachu ya maendeleo endelevu ya binadamu!

04/01/2018 08:38

Kardinali Jean Pierre Kutwa katika ujumbe wake kwa ajili ya familia ya Mungu nchini Pwani ya Pembe kwa Mwaka Mpya 2018, anawataka watu wote wajenge utamaduni wa mshikamano, umoja, upendo na udugu ili kulinda na kudumisha misingi ya haki, amani na maridhiano chachu muhimu ya maendeleo ya watu!

Baraza la Makanisa Ulimwenguni, WCC lina laani mashambulizi ya kigaidi yaliyosababisha wanchi 16 kupoteza maisha yao nchini Nigeria.

Baraza la Makanisa Ulimwenguni, WCC lina laani mashambulizi ya kigaidi yaliyopelekea watu 16 kupoteza maisha yao nchini Nigeria, tarehe 1 januari 2018.

Baraza la Makanisa Ulimwenguni lina laani mashambulizi nchini Nigeria

03/01/2018 13:48

Katika mkesha wa Mwaka Mpya 2018 huko nchini Nigeria, Kikundi cha Kigaidi cha Boko Haram kimewashambulia na kuwauwa Waamini 16 waliokuwa wanatoka kwenye Ibada kwa ajili ya kuomba amani, tunza na ulinzi wa Mwenyezi Mungu. Baraza la Makanisa Ulimwenguni lina laani mashambulizi haya!

 

Bikira Maria ni Mama wa Mungu, "Theotokos"

Bikira Maria ni Mama wa Mungu "Theotokos"

Sherehe ya Bikira Maria Mama wa Mungu

30/12/2017 08:12

Mama Kanisa anafundisha kwamba, Bikira Maria ni Mama wa Kristo Yesu, Nafsi ya Pili katika Fumbo la Utatu Mtakatifu. Kanisa linaungama na kufundisha kwamba Bikira Maria kweli ni Mama wa Mungu "Theotokos"; kielelezo cha utii na imani kubwa kwa Mwenyezi Mungu katika hija ya maisha yake hapa duniani.

Papa Francisko anasema wahamiaji na wakimbizi ni watu wanaotafuta amani!

Papa Francisko katika ujumbe wake kwa Siku ya 51 ya Kuombea Amani Duniani kwa Mwaka 2018 anasema, wakimbizi na wahamiaji na watu wanaotafuta amani duniani.

Ujumbe wa Papa Francisko kwa Siku ya 51 ya Kuombea Amani Duniani 2018

30/12/2017 07:51

Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa Siku ya 51 ya Kuombea Amani Duniani inayoadhimishwa tarehe Mosi, Januari 2018 anatafakari kuhusu mateso, mahangaiko na changamoto ya wakimbizi na wahamiaji sehemu mbali mbali za dunia kwa kuwaalika watu kuguswa na mahangaiko yao!