Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Papa Francisko: Siku ya Wagonjwa Duniani 2018

Wahudumu wa sekta ya afya wanahamasishwa na Mama Kanisa kuwa ni mashuhuda na vyombo vya huruma, upendo, imani na matumaini kwa wagonjwa wao!

Wahudumu wa sekta ya afya wanahamasishwa na Mama Kanisa kuwa ni vyombo na mashuhuda wa huruma, upendo, imani na matumaini kwa wagonjwa wanaowahudumia.

Wahudumu wa afya wawe ni mashuhuda wa huruma, imani na mapendo!

17/02/2018 07:10

Wahudumu wa sekta ya afya wanahamasishwa na Mama Kanisa kuhakikisha kwamba, wanakuwa kweli ni vyombo na mashuhuda wa huruma, upendo na imani kwa wagonjwa na maskini wanaowahudumia kama kielelezo cha mwendelezo wa kazi ya ukombozi iliyoanzishwa na Kristo Yesu kwa Njia ya Msalaba.

Madhabahu ya Bikira Maria wa Lourdes yamekuwa ni kitovu cha Injili ya huruma na upendo wa Mungu kwa waja wake.

Madhabahu ya Bikira Maria wa Lourdes yamekuwa ni kitovu cha Injili ya huruma na upendo wa Mungu kwa waja wake!

Miaka 160 tangu Bikira Maria alipomtokea Mt. Bernadetha, Lourdes!

15/02/2018 08:14

Madhabahu ya Bikira Maria wa Lourdes, Ufaransa ni makao makuu ya tasaufi ya Bikira Maria; mahali ambapo waamini wanakimbilia ili kuonja faraja, upendo na huruma ya Mungu kwa waja wake. Hiki ni kitovu ya Injili ya imani na matumaini yanayobubujika kutoka kwa Kristo Yesu na Kanisa lake!

Jengeni na kudumisha huruma na upendo wa kimama katika huduma kwa wagonjwa na maskini duniani!

Jengeni na kudumisha huruma na upendo wa kimama kwa wagonjwa na maskini duniani.

Mwilisheni upendo wa kimama katika huduma kwa wagonjwa na maskini

15/02/2018 07:44

Mama Kanisa anawataka waamini, wanafamilia na wahudumu katika sekta ya afya kujenga na kudumisha ndani mwao huruma na upendo wa kimama kwa ajili ya wagonjwa wanaokutana nao kama sehemu ya dhamana na utume wao kwa jamii na kwamba, huu ni ushuhuda wa Injili ya matumaini!

Papa Francisko anayashukuru Mashirika ya Kitawa na Kazi za Kitume yanayoendelea kutoa huduma ya tafiti, tiba na kinga kwa wagonjwa duniani.

Papa Francisko anayashukuru Mashirika ya Kitawa na Kazi za kitume kwa huduma ya utafiti, tiba na kinga kwa wagonjwa sehemu mbali mbali za dunia.

Hospitali ya Mtakatifu Gaspar, Itigi, chombo cha huduma kwa wagonjwa

10/02/2018 09:11

Baba Mtakatifu Francisko anayapongeza Mashirika ya Kitawa na Kazi za kitume kwa kuendeleza huduma na utume wa uponyaji uliotekelezwa na Kristo Yesu katika maisha yake. Anayataka Mashirika haya kuendelea kupyaisha huduma hii, kwa kuzingatia haki msingi za binadamu, utu na heshima ya wagonjwa!

Papa Francisko: Iweni mashuhuda wa Injili ya huruma, upendo na matumaini kwa wagonjwa na maskini!

Papa Francisko: Iweni mashuhuda wa Injili ya huruma, mapendo na matumaini kwa wagonjwa na maskini duniani.

Iweni vyombo na mashuhuda wa huruma na upendo wa Mungu kwa wagonjwa

10/02/2018 08:26

Upendo kwa Mungu na jirani kama muhtasari wa mafundisho makuu ya Kristo Yesu kwa wafuasi wake ni changamoto endelevu inayowataka waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kuwa ni vyombo na mashuhuda wa Injili ya huruma, upendo na matumaini kwa wagonjwa na maskini duniani!

 

Papa Francisko anahimiza umuhimu wa kudumisha utu, heshima na haki msingi za wagonjwa katika tiba na huduma!

Papa Francisko anahimiza umuhimu wa kujizatiti katika kulinda na kudumisha utu, heshima na haki msingi za wagonjwa katika huduma, tiba na tafiti mbali mbali.

Waonjesheni wagonjwa: huruma, upendo, utu na heshima!

10/02/2018 07:49

Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa Siku ya XXVI ya Wagonjwa Duniani kwa Mwaka 2018 anawalika waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kuhakikisha kwamba, wanatoa kipaumbele kwa utu, heshima na mahitaji msingi ya wagonjwa, kielelezo cha huruma ya Mungu.

Yesu aliwaponya wagonjwa kwa kuwagusa na hivyo kuwarejeshea tena utu na heshima yao kama watoto wapendwa wa Mungu.

Kristo Yesu aliwaponya wagonjwa kwa kuwagusa na kuwaombea ili kuwarejeshea tena utu na heshima yao kama binadamu.

Yesu anapambana na hali ya wagonjwa ili kuwarejeshea utu na heshima!

09/02/2018 17:23

Tafakari ya Neno la Mungu, Jumapili ya VI ya Kipindi cha Mwaka B wa Kanisa inajikita zaidi katika huduma ya uponyaji inayofanywa na Kristo Yesu kwa njia ya maneno na matendo yake, ili kuwahudumia wale waliotengwa na jamii na hivyo kuwapatia tena hadhi na utu wao kama watoto wa Mungu!

Papa Francisko: Mchakato wa huduma na tiba kwa wagonjwa uzingatie utu na heshima ya binadamu!

Papa Francisko: Mchakato wa huduma na tiba uzingatie utu, heshima na haki msingi za binadamu!

Ujumbe wa Papa Francisko kwa Siku ya 26 ya Wagonjwa Duniani 2018

08/02/2018 08:19

Baba Mtakatifu anawaalika waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kuhakikisha kwamba, wanakuwa kweli ni vyombo na mashuhuda wa Injili ya huruma na upendo kwa jirani zao, kwa kutoa kipaumbele cha kwanza kwa utu, heshima na mahitaji msingi ya wagonjwa wanaokutana nao kila siku!