Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Pallio Takatifu

Watakatifu Petro na Paulo ni mihimili ya imani ya Kanisa!

Watakatifu Petro na Paulo ni mihimi ya Kanisa la Kristo!

Katika mateso Kristo yupo pamoja na waamini

29/06/2017 14:21

Wakati wa Sala ya Malaika wa Bwana Kanisa linapoadhimisha Sikukuu ya Mitume Petro na Paulo tarehe 29 Juni 2017, Baba Mtakatifu Francisko awahakikishia waamini uwepo wa Kristo katika mahangaiko yao ya kila siku, waepuke dhambi ili nguvu ya Mungu iwaokoe na mitego.

Maaskofu wakuu 36 wamepewa Pallio Takatifu watakazovishwa Majimboni mwao na Mabalozi wa Vatican.

Maaskofu wakuu 36 wamepewa Pallio Takatifu watakazovishwa na Mabalozi wa Vatican katika nchi husika.

Mwamini kiri imani na kumbatia mateso kwa nguvu ya sala

29/06/2017 14:09

Baba Mtakatifu Francisko katika mahubiri yake alipokuwa akiadhimisha Misa Takatifu kwa heshima ya Sikukuu ya Watakatifu Petro na Paulo katika uwanja wa Kanisa kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatica, amewaasa waamini kukiri imani na kukumbatia mateso kwa nguvu ya sala kama watakatifu hao.

Maaskofu wakuu 38 kati yao 8 kutoka Afrika watapewa Pallio Takatifu, 29 Juni 2017

Maaskofu wakuu 38 kati yao 8 kutoka Barani Afrika watapewa Pallio Takatifu watakazobishwa na Mabalozi wa Vatican kwenye nchi husika.

Maaskofu wakuu 36 kupewa Pallio Takatifu, kati yao 8 ni kutoka Afrika

28/06/2017 15:44

Baba Mtakatifu Francisko katika maadhimisho ya Siku kuu ya Watakatifu Petro na Paulo, miamba wa imani, anaongoza Ibada ya Misa Takatifu ambamo pia atabariki Pallio Takatifu watakazovishwa Maaskofu wakuu wapya 36 na Mabalozi wa Vatican kwenye majimbo yao makuu, kati yao 8 ni kutoka Afrika.