Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Palestina

Askofu Mkuu Berdardito Auza Mwakilishi wa Kudumu wa Vatican katika Ofisi za Umoja wa Mataifa huko New York Marekani

Askofu Mkuu Berdardito Auza Mwakilishi wa Kudumu wa Vatican katika Ofisi za Umoja wa Mataifa huko New York Marekani

Zipo jitihada za kulinda raia wa Palestina na mazungumzo kati ya Israeli !

18/06/2018 09:02

Askofu  Mkuu Bernadito Auza Mwakilishi wa kudumu wa Vatican katika Baraza Umoja wa Mataifa New York, anapongeza wajumbe wa mataifa katika jitihada za kulinda raia wa wapalestina dhidi ya vurugu mpya zilizowazunguka na kuhamasisha mazungumzo kati ya nchi ya Israeli na Palestina

 

Papa Francisko aombea kwa mara nyingine tena nchi Takatifu na mashariki ili iwe na amani ya kudumu!

Papa Francisko aombea kwa mara nyingine tena nchi Takatifu na mashariki ili iwe na amani ya kudumu!

Papa kwa mara nyingine aomba amani katika nchi Takatifu na Mashariki !

16/05/2018 15:29

Mara baada ya Katekesi ya Baba Mtakatifu Francisko,mawazo yake yamerudi katika nchi Takatifu na za Mashariki. Kwa namna ya pekee huko Gaza mahali ambapo damu inaendelea kumwagika baada ya maandamano ya wapalestina  kufuatia pia uzinduzi wa Ubalozi wa Marekani mjini Yerusalemu

 

Papa Francisko ameitaka familia ya Mungu kuguswa na mahangaiko ya watoto wadogo sehemu mbali mbali za dunia!

Papa Francisko ameitaka familia ya Mungu kuguswa na mahangaiko pamoja na mateso ya watoto sehemu mbali mbali za dunia.

Papa Francisko: Ujumbe wa Noeli: Sikilizeni kilio cha watoto wadogo!

25/12/2017 11:51

Baba Mtakatifu Francisko anasema, Liturujia ya Noeli, Sherehe ya Fumbo la Umwilisho inaonesha huruma na upendo wa Mungu kwa binadamu, changamoto kwa familia ya Mungu sehemu mbali mbali za dunia, kusikiliza kwa makini kilio na mahangaiko ya watoto wadogo na kuyapatia majibu muafaka!

Baraza la Maaskofu Katoliki Uingereza na Wales linapinga Tamko la Rais Trump la kuhamishia ubalozi wake mjini Yerusalemu pamoja na muswada wa ardhi!

Baraza la Maaskofu Katoliki Uingereza na Wales linapinga Tamko la Rais Trump wa Marekani kuhamishia ubalozi wake mjini Yerusalem sanjari na muswada wa ardhi ya Kanisa.

Mshikamano wa Maaskofu na Wakristo Mashariki ya Kati!

21/12/2017 14:18

Baraza la Maaskofu Katoliki Uingereza na Wales limeandika baraua ya mshikamano na Wakristo huko Mashariki ya Kati kufuatia Tamko la Rais Donald Trump la kuhamisha ubalozi wa USA kutoka Tel Aviv kwenye mjini Yerusalemu pamoja na muswada wa ardhi unaotishia uhuru wa kidini nchini Israeli!

Papa amekutana na wawakilishi wa Baraza la Kipapa la Mazumguzo ya kidini na Kamati ya Palestina kwa ajili ya Mazungumzo ya kidini.

Papa amekutana na wawakilishi wa Baraza la Kipapa la Mazumguzo ya kidini na Kamati ya Palestina kwa ajili ya Mazungumzo ya kidini.

Papa:Mazungumzo yanawezekana kwa ngazi zote:binafsi,sala,familia na jamii

06/12/2017 16:38

Tarehe 6 Desemba 2017,Baba Mtakatifu amekutana na wajumbe wa Mkutano wa Kamati ya Kudumu ya mazungumzo ya kidini  na wahusika wa kidini kutoka nchi ya Palestina mjini Vatican,ambapo amefurahi kukutana nao wakiwa katika utafiti na ugunduzi,ili waweze kuunda Makundi ya kazi ya kudumu 

 

Papa Francisko anawataka viongozi wa Israeli na Palestina kuwa na kiasi pamoja na kukuza majadiliano!

Papa Francisko anawataka viongozi wa Israeli na Palestina kuwa na kiasi pamoja na kukuza majadiliano kati yao ili kulinda na kudumisha amani.

Papa Francisko: Iweni na kiasi na dumisheni majadiliano Yerusalemu

24/07/2017 10:12

Baba Mtakatifu Francisko anasikia ndani wake wajibu wa kuhimiza viongozi wa Israeli na Palestina kuwa na kiasi sanjari na kudumisha majadiliano katika ukweli na uwazi ili kusaidia mchakato wa amani na maridhiano mjini Yerusalemu; ambako kwa sasa hali ya ulinzi na usalama ni tete sana!