Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Padre Walter Milandu, C.PP.S.

Tasaufi ya Damu Azizi ya Kristo Yesu ni dira na mwongozo wa maisha ya Mkristo!

Tasaufi ya Damu Azizi ya Kristo Yesu ni dira na mwongozo wa maisha ya Mkristo!

Tasaufi ya Damu Azizi ya Kristo na maisha ya Mkristo!

21/07/2018 08:01

Tasaufi ya Damu Azizi ya Kristo Yesu ni dira na mwongozo wa maisha ya Kikristo yanayojikita katika uhusiano na mafungamano kati ya Mwenyezi Mungu na jirani. Tasaufi hii inajengwa katika misingi ya Neno la Mungu, Mapokeo ya Kanisa, Ushuhuda na Mafundisho ya Watakatifu, Liturujia na Sakramenti.

Damu Azizi ya Kristo Yesu ni mto wa rehema: shule ya huruma, msamaha, upatanisho, upendo na utakatifu wa maisha!

Damu Azizi ya Kristo Yesu ni mto wa rehema, shule ya huruma, msamaha, upatanisho, upendo na utakatifu wa maisha!

Tasaufi ya Damu Azizi ya Yesu ni shule ya huruma, msamaha na upendo!

02/07/2018 07:21

Tasaufi ya Damu Azizi ya Yesu ni shule ya huruma ya Mungu kwa binadamu; msamaha ulioletwa na Kristo Yesu kwa kumwaga damu yake Azizi Msalabani na hivyo ikawa ni sadaka ya upatanisho kati ya Mungu na binadamu! Damu Azizi ya Kristo ni mto wa rehema na upendo wa Mungu kwa binadamu!

Familia ya Damu Azizi ya Yesu inakutana na Papa Francisko, tarehe 30 Juni 2018 tayari kwa maadhimisho ya Mwezi wa Ibada kwa Damu Azizi ya Yesu!

Familia ya Damu Azizi ya Yesu inakutana na Papa Francisko tarehe 30 Juni 2018 tayari kwa maandalizi ya Mwezi Julai, uliotengwa na Mama Kanisa kwa ajili ya Ibada kwa Damu Azizi ya Yesu.

Familia ya Damu Azizi ya Yesu inakutana na Papa Francisko Vatican!

29/06/2018 07:47

Tasaufi ya Damu Azizi ya Kristo Yesu ni chemchemi ya huruma na upendo wa Mungu kwa mwanadamu! Baba Mtakatifu Francisko, tarehe 30 Juni 2018 anakutana na familia ya Damu Takatifu ya Yesu inayoundwa na Mashirika mbali mbali! Tukio hili linatanguliwa na katekesi na baadaye mkesha!

Kugeuka Sura kwa Bwana: Utimilifu wa Sheria na Unabii: Ushuhuda wa Imani katika Fumbo la Pasaka.

Kugeuka Sura kwa Bwana: Utimilifu wa Sheria na Unabii. Ni ushuhuda wa Fumbo la Pasaka, yaani nyuma ya Msalaba kuna ukuu, utukufu na utakatifu wa Mungu.

Utukufu na ukuu wa Mungu unaofumbatwa kwenye Fumbo la Msalaba!

05/08/2017 06:43

Sherehe ya Kungara kwa Bwana wetu Yesu Kristo ni mwaliko wa kumsikiliza kwa makini na kutekeleza mapenzi ya Mungu katika maisha. Huu ni ushuhuda wa utimilifu wa Sheria na Unabii ambao Yesu anapenda kuutumia ili kuwaimarisha mitume wake katika imani ili kukabiliana vyema na Fumbo la Msalaba!

Huruma na msamaha wa Mungu ni kielelezo cha upendo na mahangaiko ya Mungu kwa binadamu!

Huruma na msamaha wa Mungu ni kielelezo cha upendo na mahangaiko ya Mungu kwa binadamu!

Iweni na huruma na msamaha kama Baba yenu wa mbinguni!

22/07/2017 08:42

Kusamehe na kusahau ni kielelezo makini cha upendo wenye huruma, wajibu ambao unafungamana na maisha ya Wakristo! Baba Mtakatifu Francisko anasema, msamaha ni changamoto kwa binadamu kuwa na moyo mkunjufu kwa kuachilia: hasira, ghabu, ukatili na kisasi. Huruma ni jina la Mungu!

Neno la Mungu ni taa ya kuingoza miguu ya waamini katika hija ya utakatifu wa maisha!

Neno la Mungu ni taa inayowaongoza waamini katika hija ya utakatifu wa maisha!

Jitaabisheni kulisoma, kulitafakari na kulimwilisha Neno la Mungu

15/07/2017 15:21

Mama Kanisa anawaalika waamini kujitahidi katika maisha yao kulisoma, kulitafakari na kulimwilisha Neno la Mungu katika maisha yao ili liweze kuzaa matunda yanayokusudiwa yaani toba na wongofu wa ndani, unaowasaidia waamini kuambata utakatifu wa maisha, ushuhuda wenye mvuto!

Wanafunzi wa Yesu wanahamasishwa na Kristo mwenyewe kujifunza kutoka kwake, ili kweli waweze kuwa ni vyombo na mashuhuda wa Injili ya upendo na huruma

Wanafunzi wa Yesu wanahamasishwa kujifunza kutoka kwake, ili waweze kuwa kweli ni vyombo na mashuhuda wa Habari Njema ya Wokovu kati ya watu wa Mataifa.

Jifunzeni kwa makini kutoka kwa Yesu, ili muwe mashuhuda amini!

08/07/2017 17:03

Liturujia ya Neno la Mungu, Jumapili ya XIV ya Kipindi cha Mwaka A wa Kanisa ni mwaliko kwa waamini kumjifunza Kristo na kuchota fadhila na karama mbali mbali kutoka katika mafundisho, lakini zaidi ushuhuda wa maisha yake, ili wao pia waweze kuwa ni vyombo vya utangazaji na ushuhuda wa Injili!