Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Padre Ferdinandi Lugonzo

Kanisa Barani Afrika halina budi kujielekeza katika sera na mikakati ya kujitegemea kwa rasilimali watu, fedha na vitu!

Kanisa Barani Afrika halina budi kujielekeza katika mchakato wa kujitegemea kwa rasilimali watu, fedha na vitu kama kielelezo cha ukomavu, tayari kusonga mbele katika uinjilishaji wa kina unaogusa mahitaji ya mtu mzima: kiroho na kimwili.

Kanisa Barani Afrika halina budi kujielekeza katika kujitegemea zaidi

19/07/2018 15:06

Mababa wa AMECEA kunako mwaka 1961, katika mkutano wao mkuu uliokuwa unaongozwa na dhamira kuu "Kesho ya Kanisa Barani Afrika" walikazia sana umuhimu wa Kanisa Barani Afrika kujitegemea kwa rasilimali watu, mali na fedha kama kielelezo cha ukomavu, tayari kusonga mbele katika uinjilishaji!

Mababa waasisi wa AMECEA walibainisha ajenda saba kama sehemu ya mbinu mkakati wa AMECEA katika sera na mipango ya kichungaji.

Mababa waasisi wa AMECEA walibainisha ajenda saba ambazo zilipaswa kufanyiwa kazi kwa ajili ya ustawi, maendeleo na mafao ya kesho ya Kanisa la Afrika.

Mkutano wa 19 AMECEA: Ajenda 7 za Mababa wa AMECEA, mwaka 1961

16/07/2018 15:09

Mababa wa AMECEA kunako mwaka 1961 waliibua ajenda 7 ambazo zilipaswa kufanyiwa kazi kwa ajili ya "Kesho ya Kanisa la Bara la Afrika": Vyombo vya mawasiliano ya jamii; Mafunzo awali na endelevu ya maisha ya kiroho; Kituo cha uchungaji, Chuo Kikuu; Kujitegemea, Elimu; Haki na Amani.

AMECEA inaadhimisha Mkutano mkuu wa 19 huko Addis Ababa, Ethiopia kuanzia tarehe 13-23 Julai 2018.

AMECEA inaadhimisha Mkutano mkuu wa 19 huko Addis Ababa nchini Ethiopia kwa kukazia hadhi sawa, umoja na amani ndani ya Mwenyezi Mungu kwenye Kanda ya AMECEA.

Mkutano Mkuu wa 19 wa AMECEA kutimua vumbi Addis Ababa, Ethiopia

11/07/2018 08:23

Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika Mashariki na Kati, AMECEA kuanzia tarehe 13-23 Julai 2018 linafanya mkutano wake mkuu wa 19 huko Addis Ababa nchini Ethiopia kwa kuongozwa na kauli mbiu "tofauti mtetemo, hadhi sawa, umoja wa amani ndani ya Mungu kwenye Kanda ya AMECEA.

Nchi za AMECEA zinapaswa kujitathimini ili kuangalia ikiwa kama malengo ya waasisi yamefikiwa katika maeneo yao!

Nchi za AMECEA zinapaswa kujitathmini ili kuangalia ikiwa kama malengo ya waasisi wa AMECEA yamefikiwa katika nchi zao!

Nchi za AMECEA zatakiwa kujitathmini ikiwa kama malengo yamefikiwa

09/02/2018 09:17

AMECEA ilianzishwa na Mababa wa Kanisa Afrika Mashariki na Kati ili kuimarisha Imani Katoliki, kuwa na mbinu mkakati kwa ajili ya "Kesho ya Kanisa Barani Afrika. Vyombo vya mawasiliano ya jamii, majiundo makini na endelevu kwa wakleri, elimu ya juu, kujitegemea na kulitegemeza Kanisa!