Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Njia ya Msalaba

Wakristo wanapaswa kushika imani, kuiungama, kuishuhudia, kuitangaza na kuwashirikisha wengine!

Wakristo wanapaswa kushika imani, kuitangaza, kuishuhudia na kuwashirikisha wengine, wakiwa tayari hata kubeba Misalaba ya maisha yao, tayari kumfuasa Kristo Yesu.

Yesu Kristo anakataliwa nyumbani kwao Nazareti! Maamuzi mbele!

06/07/2018 07:46

Mkristo hatakiwi kushika imani tu na kuiishi, bali anapaswa kuitangaza, kuishuhudia na kuieneza pamoja na kuwa tayari kumfuasa Kristo Yesu katika Njia ya Msalaba, kati ya madhulumu ambayo hayakosekani kamwe katika Kanisa! Huduma na ushuhuda ni muhimu sana kwa wokovu wa binadamu!

 

Papa Francisko anasema, utakatifu wa maisha daima unalipyaisha Kanisa.

Papa Francisko anasema, utakatifu wa maisha daima unalipyaisha Kanisa.

Papa Francisko: Utakatifu wa maisha unalipyaisha Kanisa!

12/05/2018 17:00

Baba Mtakatifu Francisko anasema, wakati huu Mama Kanisa anapoendelea na maandalizi ya maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana, anawataka vijana kukumbataia na kuambaya utakatifu wa maisha kwani utakatifu ndio unaoliwezesha Kanisa kuendelea kuonekana kama kijana daima!

Maadhimisho ya Fumbo la Pasaka ni fursa ya kujenga na kudumisha umoja, udugu na mshikamano wa upendo na watu wanaoteseka.

Maadhimisho ya Fumbo la Pasaka ni fursa na mwaliko wa kujenga na kudumisha umoja, upendo na mshikamano na maskini pamoja na watu wanaoteseka sehemu mbali mbali za dunia.

Fumbo la Pasaka ni fursa ya kushuhudia mshikamano wa upendo na udugu

09/04/2018 08:56

Baba Mtakatifu Francisko mwezi Septemba 2017 alizindua kampeni ya kimataifa ya ukarimu kwa wakimbizi na wahamiaji sehemu mbali mbali za dunia, inayosimamiwa na kuratibiwa na Caritas Internationalis kwa kuongozwa na kauli mbiu "Share the journey" yaani "Shiriki safari", kielelezo cha ukarimu!

Mchango wa Ijumaa Kuu ni kielelezo chamshikamano wa Kanisa la Kiulimwengu na Makanisa mahalia katika huduma ya upendo!

Mchango wa Ijumaa Kuu ni kielelezo cha mshikamano wa Kanisa la Kiulimwengu na Makanisa mahalia katika huduma ya upendo na mshikamano kwa watu mahalia.

Familia ya Mungu Nchi Takatifu inashukuru kwa ukarimu na mshikamano

28/03/2018 08:54

Mchango wa Ijumaa Kuu unaotolewa na Makanisa mahalia pamoja na watu wenye mapenzi mema umekuwa ni kielelezo cha mshikamano wa Kanisa la Kiulimwengu na Makanisa mahali katika huduma ya elimu, afya, ustawi na maendeleo ya wananchi wanaoishi Nchi Takatifu, Mashariki ya Kati na Afrika.

Ili uweze kuubeba msalaba ni mapambano ya kutaka kushinda mateso yako kwa matumaini. Ni mapambano ya kushinda matatizo tuliyo nayo

Ili uweze kuubeba msalaba ni mapambano ya kutaka kushinda mateso yako kwa matumaini. Ni mapambano ya kushinda matatizo tuliyo nayo na kukaribia zaidi Mungu

Patriaki Daniel wa Romania: Bebeni Msalaba wa maisha yenu kwa imani

20/03/2018 16:04

Tufanye Kristo awe kitovu cha maisha yetu,ndiyo ujumbe kutoka katika mahubiri ya tatu ya kwaresima yaliyotolewa na Patriaki wa Kiorthodox Daniele  nchini Romania.Patriaki Daniele anasema tunapaswa kuubeba msalaba na kuuona mwanga katika matendo matakatifu ya maisha ya kiroho binafsi.

 

 

Papa Francisko asema anasali na kutoleaa sadaka ya Misa Takatifu kwa ajili ya kuombea amani nchini Ukraine.

Papa Francisko asema, anasali na kutolea sadaka ya Misa Takatifu kwa ajili ya kuombea amani na utulivu huko nchini Ukraine.

Mshikamano wa Papa Francisko na watu wa Ukraine katika sala na sadaka

29/01/2018 07:47

Baba Mtakatifu Francisko alipotembelea Kanisa kuu la Mtakatifu Sofia kwa ajili ya kukutana na kuzungumza na Jumuiya ya Wagiriki Wakatoliki kutoka nchini Ukraine, wanaoishi ndani na nje ya Roma, amekazia kumbu kumbu ya viongozi wakuu wa Kanisa, Umuhimu wa Parokia hai na dhamana ya wanawake!

Sherehe ya Tokeo la Bwana ni Siku kuu ya Kristo Mwanga unaofunuliwa kwa watu wa Mataifa!

Sherehe ya Tokeo la Bwana ni Siku kuu ya Mwaga, ambao ni Kristo anayejifunua kwa watu wa Mataifa.

Sherehe ya Tokeo la Bwana ni Siku kuu ya ufunuo wa mwanga wa Kristo!

03/01/2018 14:24

Yesu Kristo ni Mwanga wa Mataifa unaofunuliwa kwa watu wa mataifa yote wanaowakilishwa na Mamajusi kutoka Mashariki ya mbali, ni watu wa mazingira na dini ya kipagani, lakini wanaifuata Nyota ya Daudi, Mfalme wa Mataifa, Mwana wa Mungu na Mkombozi wa Ulimwengu. Epifania ni sherehe ya umoja!