Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Nigeria

Mapadre wawili wakatoliki na waamini 16 nchini Nigeria wameuwawa na kundi la wafulani

Mapadre wawili wakatoliki na waamini 16 nchini Nigeria wameuwawa na kundi la wafulani

Mapadre wawili na waamini 16 wameuawa na kundi la kifulani Nigeria!

25/04/2018 14:01

Watu 18 wameuawa katika Kanisa Katoliki nchini Nigeria, wakiwemo mpadre wawili. Moses Yamu,Msemaji wa Polisi katika jimbo la Benue amesema shambulizi hilo la kikatili lilitokea alfajiri ya Jumanne 24 Aprili 2018 katika kijiji cha Ayar Mbalom,eneo la Gwer na wengine kadhaa kujeruhiwa ! 

 

 

Jimbo Katoliki la Ilorin Nigeria linampata Askofu mteule. Padre Paul Adegboyega Olawoore wa kutoka Jimbo la Oyo

Jimbo katoliki Ilorin, Nigeria linampata Askofu mteule. Padre Paul Adegboyega Olawoore wa kutoka Jimbo la Oyo

Papa amemteua Askofu wa Jimbo la Ilorin Nigeria, Paul A. Olawoore

04/04/2018 16:08

Baba Mtakatifu Francisko amemteua Askofu wa Jimbo la Ilorin nchini Nigeria, mteule Padre Paul Adegboyega Olawoore wa Jimbo la Oyo, ambaye wakati wa uteuzi walikuwa ni Vika wa Mahakama ya Kanisa na Paroko wa Parokia ya Mama yetu wa Lourdes,Ogbomoso. Alizaliwa tarehe 30 Novemba 1961

 

Baadhi ya wasichana wa Dapchi nchini Nigeria walioachiwa huru mara baada ya kutekwa nyara tangu 29 Januari na Boko Haramu

Baadhi ya wasichana wa Dapchi nchini Nigeria walioachiwa huru mara baada ya kutekwa nyara tangu 19 Februari na Boko Haramu

Nigeria:Wasichana zaidi ya 100 waliotekwa nyara na Boko Haram wameachwa huru!

22/03/2018 15:51

Unicef imepokea kwa furaha kubwa habari za kuachiwa huru watoto waliotekwa nyara na Boko Haramu tarehe 19 Februari 2018 katika shule ya Dapchi , huko Yobe Kaskazini mashariki ya Nigeria.Watoto hao wako tayari mikononi mwa familia zao.Raarifa ni kwamba,warudi zaidi ya wasichana 100

 

Tukio lililotokea katika Jimbo la Ihara nchini Nigeria litufundishe wakristo kushinda dhambi ya kuwa na ukabila

Tukio lililotokea katika Jimbo la Ihara nchini Nigeria litufundishe wakristo kushinda dhambi ya kuwa na ukabila

Padre Zagore:Ni vema kushinda dhambi ya ukabila,si tabia ya kikristo!

24/02/2018 09:33

Jambo lililojitokeza la ukabila hadi kufikia hatua yake kujiudhuru ni suala ambao limetoa mwangwi sana katika Makanisa ya Afrika.Padre D.Zagore Mtaalimungu anatafakari suala la Askofu P.E.Opkalaeke wa jimbo la Ihara nchini Nigeria na kusema kuwa, wakristo tushinde dhambi ya ukabila

 

 

 

Wakristo nchini Nigeria wameendelea kuwa mashuhuda waaminifu kwa Kristo na Kanisa lake licha ya nyanyaso, dhuluma na mauaji ya kidini.

Wakristo nchini Nigeria wameendelea kuwa waaminifu kwa Kristo na Kanisa lake licha ya nyanyaso, dhuluma na mashambulizi ya kigaidi dhidi yao.

Wakristo nchini Nigeria bado "ngangari" licha ya dhuluma za kidini

09/02/2018 07:48

Askofu Oliver Dashe Doeme anasema, Wakristo nchini Nigeria licha ya mashambulizi ya kigaidi, dhuluma na nyanyaso za kidini, bado wameendelea kuwa "ngangari" kwa Kristo na Kanisa lake! Ni watu ambao wameendelea kutoa ushuhuda wa imani inayomwilishwa katika matendo, huruma na msamaha!

Papa Francisko ameitaka familia ya Mungu kuguswa na mahangaiko ya watoto wadogo sehemu mbali mbali za dunia!

Papa Francisko ameitaka familia ya Mungu kuguswa na mahangaiko pamoja na mateso ya watoto sehemu mbali mbali za dunia.

Papa Francisko: Ujumbe wa Noeli: Sikilizeni kilio cha watoto wadogo!

25/12/2017 11:51

Baba Mtakatifu Francisko anasema, Liturujia ya Noeli, Sherehe ya Fumbo la Umwilisho inaonesha huruma na upendo wa Mungu kwa binadamu, changamoto kwa familia ya Mungu sehemu mbali mbali za dunia, kusikiliza kwa makini kilio na mahangaiko ya watoto wadogo na kuyapatia majibu muafaka!

Padre Ciriacus Onukwo aliyekuwa ametekwa nyara ameuwawa nchini Nigeria

Padre Ciriacus Onukwo aliyekuwa ametekwa nyara ameuwawa nchini Nigeria

Nigeria:Padre Ciriacus Onukwo aliyekuwa ametekwa nyara ameuwawa

06/09/2017 16:56

Nchini Nigeria kusini ameuwawa Padre Ciriacus Onukwo na mwili wake umepatika tarehe 2 Septemba katika kijiji cha Omuma.Paolisi wanathibitisha kuwa hakuonesha majeraha yoyote au mikato yoyote bali Padre Onukwo amewawa kwa sababu ya kunyongwa.Wapelelezi wanaendelea na uchunguzi 

 

Mivutano ya ghasia za kijamii nchini Nigeria inazidi kupamba moto hivyo Maaskofu wanatoa wito yatosha kupiga ngoma ya vita

Mivutano ya ghasia za kijamii nchini Nigeria inazidi kupamba moto hivyo Maaskofu wanatoa wito yatosha kupiga ngoma ya vita

Maaskofu wa Nigeria wanatoa wito kusitisha vita na ghasia!

24/08/2017 16:32

Waraka wa Maaskofu wa Nigeria unatoa onyo kuwa;kwa wale wanao hisi kubaguliwa na kutengwa,au kuonewa hata hivyo ni lazima wasichukue fursa ya haki na uhuru wao wa kujieleza kwa njia ya kutumia uchochezi wa kutishia umoja wa maisha ya nchi. Kwa njia hiyo wito inatosha kupiga ngoma ya vita.