Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Nchini Marekani

Kauli za Rais Trump dhidi ya watu wa Afrika na Haiti imesababisha maandamamo makubwa ya kupinga ubaguzi wa rangi kwa rais huyo

Kauli za Rais Trump dhidi ya watu wa Afrika na Haiti imesababisha maandamamo makubwa ya kupinga ubaguzi wa rangi kwa rais huyo

Kanisa la Marekani linashutumu kauli ya Trump dhidi ya binadamu!

16/01/2018 08:55

Rais Trump ametumia neno lisilostahili dhidi ya Haiti na nchi za Afrika alipouliza swali la ni kwa nini Marekani iwapokee wahamiaji kutoka mataifa ya kimaskini kama Haiti na Afrika.Baraza la Maaskofu Marekani,kama pia viongozi wengi duniani,wanashutumu vikali kauli yake potofu kwa binadamu.

 

 

Papa ametoa wito kwa ajili ya Yerusalem, mji Mtakatifu wa Wayahudi,Wakristo na Waislam

Papa ametoa wito kwa ajili ya Yerusalem, mji Mtakatifu wa Wayahudi,Wakristo na Waislam

Papa:Wito kwa ajili ya Yerusalem,mji Mtakatifu wa Wayahudi,Wakristo na Waislam

06/12/2017 16:13

Baba anasema, Yerusalem ni mji mmoja mtakatifu kwa ajili ya wahahudi, wakristo na waislam, wakiheshimu maeneo Matakatifu kulingana na dini zao.Na wito maalumu wa ajili ya amani kwa njia hiyo,anaomba Bwana Mungu ili utambulisho huo uweze kutunzwa na kulindwa kwa ajili ya wema wa nchi Takatifu 

 

Tarehe 28 Julai 1981 Padre Francis  Rother aliuwawa kwa ajili ya kutetea imani yake kwa watu maskini  nchini Guatemala.

Tarehe 28 Julai 1981 Padre Francis Rother aliuwawa kwa ajili ya kutetea imani yake kwa watu maskini nchini Guatemala. Kwa njia hiyo tarehe 23 Septemba 2017 anatangazwa Mwenye heri.

Mwenye Heri mpya Padre Rother huko Oklahoma kati ya watu wake hadi mwisho

23/09/2017 13:28

Kutokana na ujasiri wa Padre Francis Rother,Kanisa Katoliki limetambua karama za utakatifu wake hivyo tarehe 23 Septemba 2017, Kardinali Angelo Amato, Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa kwa ajili ya mchakato wa watakatifu akiwakilisha Baba Mtakatifu Francisko anamtangaza Mwenye Heri Mfiadini.