Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Nchi Zilizoko Pembe ya Afrika

Jumuiya ya Mtakatifu Egidio inaadhimisha Jubilei ya Miaka 50 tangu kuanzishwa kwak mwaka 1968.

Jumuiya ya Mtakatifu Egidio inaadhimisha Jubilei ya Miaka 50 tangu kuanzishwa kwake kunako mwaka 1968.

Jumuiya ya Mtakatifu Egidio inajikita katika Neno, Maskini na Amani

12/02/2018 09:59

Baba Mtakatifu Francisko anasema, maisha na utume wa Kanisa yanafumbatwa katika. Kusoma, Kulitafakari na Kumwilisha Neno la Mungu katika maisha; Pili ni Ushuhuda wa Injili ya upendo inayomwilishwa katika huduma makini kwa maskini sanjari na kujikita katika kutafuta, kukuza na kudumisha amani!

Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa wanathibitisha kwamba watu milioni  wanaweza kufa kwa ukosefu wa chakula nchini Sudan ya kusini

Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa wanathibitisha kwamba watu milioni wanaweza kufa kwa ukosefu wa chakula nchini Sudan ya kusini

Baa la njaa na ukame nchi za Pembe ya Afrika,Yemen na Nigeria!

13/04/2017 14:43

Umoja wa mataifa unahitaji milioni 712 za dola  kwa mwaka 2017,na Katibu Mkuu wa Umoja wa Matiafia Antonio Guterres, amesema ni bilioni 4,4 za dola zinahitajika  kwa ajili ya kukidhi majanga angalau kufika mwezi Julai mwaka huu lakini ni asilimia 10 tu fedha kati ya zile zinazo hitajika

 

Taarifa zinazonesha kwamba, kuna watu wanaofariki dunia nchini Somalia kutoka na baa la njaa, utapiamlo na ukame wa kutisha!

Taarifa za Mashirika ya Umoja wa Mataifa zinaonesha kwamba, kuna watu wanaoendelea kupoteza maisha maisha ya kutokana na baa la njaa, utapiamlo na ukame wa kutisha!

Kuna watu wanakufa kwa baa la njaa nchini Somalia!

07/03/2017 13:10

Takwimu zilizotolewa na Mashirika ya Umoja wa Mataifa zinaonesha kwamba, kuna zaidi ya watoto 360, 000 wanaoteseka kutokana na utapiamlo mkali na kati yao watoto 71, 000 wanaoendelea kufariki dunia kila siku polpole! Zaidi ya watu 110 wamefariki dunia siku chache zilizopita kutokana na njaa.