Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Nchi ya Siria

Papa Francisko apongeza juhudi za majadiliano ya amani kati ya Eritrea na Ethiopia

Papa Francisko apongeza juhudi za majadiliano ya amani kati ya Ethiopia na Eritrea.

Papa Francisko apongeza majadiliano ya amani huko Pembe ya Afrika!

02/07/2018 11:16

Baba Mtakatifu Francisko mara baada ya Sala ya Malaika wa Bwana, Jumapili Mosi, Julai 2018 ameyaelekeza mawazo na sala zake kwa familia ya Mungu nchini Nicaragua ili demokrasia iweze kushika mkondo wake; Siria ili kuwapunguzia mateso na kwamba, kuna matumaini ya amani huko Pembe ya Afrika.

Bw. Antònio Guterres Katibu Mkuu wa UN akiwa nchini Urusi amekutana na patriaki Cyril Kiongozi wa Kiorthodox huko Moscow,pia kukutana na Rais Putin

Bw. Antònio Guterres Katibu Mkuu wa UN akiwa nchini Urusi amekutana na patriaki Cyril Kiongozi wa Kiorthodox huko Moscow,pia kukutana na Rais wa Bwana Vladimir Putin

Katibu Mkuu wa UN anasema ukristo ni sehemu kamili ya utamaduni wa Mashariki

22/06/2018 14:18

Ukristo ni sehemu kamili ya utamaduni wa Mashariki,kwa maana hiyo ni kuhakikisha wakristo na wahusika wa dini ndogo ndogo wanarudi makwao kutokana na kwasababu za vurugu na mateso.Ametamka Bw.Guterres,Katibu Mkuu wa UN, wakati wa mazungumzo na Patriaki Cyril mjini Moscow  Urusi

 

Israeli ilifanya operesheni  baada ya kusema kuwa wameshambuliwa na maroketi takribani 20 katika eneo wanalolikalia la milima ya Golan

Israeli ilifanya operesheni baada ya kusema kuwa wameshambuliwa na maroketi takribani 20 katika eneo wanalolikalia la milima ya Golan

Makombora ya Isreali yauwa watu 23 nchini Siria na wengine kujeruhiwa!

10/05/2018 16:31

Makombora ya Israeli yenye lengo la kulipiza kisasi dhidi ya Iran katika ardhi ya Siria yamesababisha vifo vya watu 23 na wengine kadhaa wamejeruhiwa. Jeshi la Israeli limesema limeyashambulia maeneo kadhaa ya kijeshi ya Iran katika maeneo tofauti ya Siria,ikiwa ni moja ya operesheni

 

 

Papa Francisko anawataka waamini kukuza na kudumisha Ibada kwa Bikira Maria, ili waweze kuwa ni vyombo na mashuhuda wa huruma na upendo wa Mungu.

Papa Francisko anawataka waamini kukuza na kudumisha Ibada kwa Bikira Maria ili awasaidie kuwa ni vyombo na mashuhuda wa huruma na upendo wa Mungu kwa jirani zao.

Papa Francisko: Kuzeni na kudumisha Ibada kwa Bikira Maria

09/05/2018 14:49

Baba Mtakatifu Francisko anawaalika waamini na watu wote wenye mapenzi mema kukuza na kudumisha Ibada kwa Bikira Maria Mama wa Mungu na Kanisa, ili aweze kuwasaidia kuwa ni vyombo na mashuhuda wa huruma na upendo wa mungu kwa jirani zao, kielelezo cha imani tendaji!

Mara baada ya Sala ya Malkia wa Mbingu Papa ametoa taarifa kuwa Mei Mosi atatembelea madhabahu ya Mama maria Divino Amore Roma kusali Rosari

Mara baada ya Sala ya Malkia wa Mbingu Papa ametoa taarifa kuwa Mei Mosi atatembelea madhabahu ya Mama maria Divino Amore Roma kusali Rosari

Mei Mosi Papa Francisko atasali Rosari kwa ajili ya Siria na Dunia nzima!

30/04/2018 16:42

Mara baada ya Sala ya Malkia wa Mbingu,Domenika 29 Aprili 2018,Baba Mtakatifu ametoa taarifa kuwa Mei Mosi mchana ataanza mwezi wa Bikira Maria kwa kutembelea Madhabahu ya Bikira Maria “Divino Amore” Roma. Kule ataungana kusali Rosari kwa namna ya pekee kwa ajili ya Siria na  Dunia nzima.

 

Watawa wa Kanisa Katoliki wamekuwa kweli ni mashuhuda wa Injili ya upendo katika maeneo tete na hatarishi sehemu mbali mbali za dunia.

Watawa wa Kanisa Katoliki wamekuwa kweli ni mashuhuda wa Injili ya huduma katika maeneo tete na hatarishi sehemu mbali mbali za dunia.

Watawa wanawake ni mashuhuda wa Injili ya upendo kwa watu wa Mataifa

10/04/2018 10:19

Baba Mtakatifu Francisko katika wosia wake wa kitume "Gaudete et exsultate" yaani "Furahini na kushangilia, wito wa utakatifu katika ulimwengu mamboleo anasema, kuna waamini wanaoendelea kusadaka maisha yao bila ya kujibakiza kama sehemu ya ujenzi wa Ufalme wa Mungu katika haki na amani!

Papa Francisko ametoa wito kwa ajili ya nchi ya Siria: viongozi na wanajeshi wachague njia ya mazungumzo badala ya mabomu ya kuleta vifo na uharibifu

Papa Francisko ametoa wito kwa ajili ya nchi ya Siria: viongozi na wanajeshi wachague njia ya mazungumzo badala ya mabomu ya kuleta vifo na uharibifu

Papa:Viongozi na wanajeshi wachague njia ya mazungumzo kuliko mabomu!

08/04/2018 13:10

Tarehe 8 Aprili 2018,mara baada ya Misa Takatifu,salam na sala ya Malkia wa Mbingu, Papa Francisko ametoa wito kwa viongozi na wanajeshi kuchagua njia nyingine hasa ya mazungumzo kuliko mabomu ya maangamizi ya  kuleta vifo na uharibifu kufuatia tukio nchini Siria. Anawaombea waathirika wote.

 

 

Ukuu wa Fumbo la Msalaba katika maisha na utume wa Makanisa!

Ukuu wa Fumbo la Msalaba katika maisha na utume wa Makanisa!

Ukuu wa Fumbo la Msalaba katika maisha na utume wa Makanisa!

15/03/2018 09:43

Fumbo la Msalaba ni kielelezo cha hekima, nguvu, huruma, upendo na msamaha na upatanisho unaobubujika kutoka kwenye Fumbo la Utatu Mtakatifu. Msalaba ni Hekima ya Mungu, lakini kwa wale wanaopotea ni upuuzi. Msalaba iwe ni nguzo ya uinjilishaji  na ujenzi wa Ufalme wa Mungu duniani!