Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Nchi Takatifu

Papa Francisko aombea kwa mara nyingine tena nchi Takatifu na mashariki ili iwe na amani ya kudumu!

Papa Francisko aombea kwa mara nyingine tena nchi Takatifu na mashariki ili iwe na amani ya kudumu!

Papa kwa mara nyingine aomba amani katika nchi Takatifu na Mashariki !

16/05/2018 15:29

Mara baada ya Katekesi ya Baba Mtakatifu Francisko,mawazo yake yamerudi katika nchi Takatifu na za Mashariki. Kwa namna ya pekee huko Gaza mahali ambapo damu inaendelea kumwagika baada ya maandamano ya wapalestina  kufuatia pia uzinduzi wa Ubalozi wa Marekani mjini Yerusalemu

 

Nchi Takatifu ina andaa safari ya kiroho kwa wanafamilia ili waishi kwa kushirikishana Neno la Mungu na kuliishi

Nchi Takatifu ina andaa safari ya kiroho kwa wanafamilia ili waishi kwa kushirikishana Neno la Mungu na kuliishi

Nchi Takatifu inaandaa hatua za kiroho kwa wanafamilia ya Mungu!

11/05/2018 15:43

Mwishoni mwa mwezi wa nne, katika miji ya Yeriko na Nazareth ilifanyika kozi kwa  vingozi wanao saidia wanandoa na vijana katika hatua za kirohokatika familia.Hii ni sehemu ya  mpango wa kichungaji kwa miaka miwili 2018-2019 katika maparokia ya Israeli na Palestina, viongozi 100 waliudhuria

 

 

Mchango wa Ijumaa Kuu ni kielelezo chamshikamano wa Kanisa la Kiulimwengu na Makanisa mahalia katika huduma ya upendo!

Mchango wa Ijumaa Kuu ni kielelezo cha mshikamano wa Kanisa la Kiulimwengu na Makanisa mahalia katika huduma ya upendo na mshikamano kwa watu mahalia.

Familia ya Mungu Nchi Takatifu inashukuru kwa ukarimu na mshikamano

28/03/2018 08:54

Mchango wa Ijumaa Kuu unaotolewa na Makanisa mahalia pamoja na watu wenye mapenzi mema umekuwa ni kielelezo cha mshikamano wa Kanisa la Kiulimwengu na Makanisa mahali katika huduma ya elimu, afya, ustawi na maendeleo ya wananchi wanaoishi Nchi Takatifu, Mashariki ya Kati na Afrika.

Wakristo wanaoishi katika Nchi Takatifu ni mashuhuda wa mahali patakatifu katika maisha na utume wa Kristo Yesu hapa duniani!

Wakristo wanaoishi katika Nchi Takatifu ni mashuhuda wa mahali patakatifu katika maisha na utume wa Kristo Yesu hapa duniani!

Sikilizeni na kukijibu kilio cha Wakristo Mashariki ya Kati!

28/03/2018 08:35

Mwenye Paulo VI katika Waraka wake wa Kitume "Nobis in Animo" wa mwaka 1974, anasema, Wakristo wanaoishi katika Nchi Takatifu ni mashuhuda wa mahali patakatifu katika maisha na utume wa Kristo Yesu hapa duniani. Wana upendeleo wa pekee, lakini wanateseka na kunyanyasika sana!

Mchango wa Ijumaa Kuu ni kielelezo cha mshikamano wa imani, matumaini na mapendo!

Mchango wa Ijumaa kuu kwa ajili ya Nchi Takatifu ni kielelezo cha imani, upendo na mshikamano wa dhati kwa ajili ya kuliwezesha Kanisa kutekeleza utume wake katika Nchi Takatifu na huko Mashariki ya Kati.

Mchango wa Ijumaa Kuu kwa Nchi Takatifu ni ushuhuda wa imani

28/03/2018 08:07

Baraza la Kipapa kwa ajili ya Makanisa ya Mashariki linawahamasisha waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kuchangia kwa hali na mali ustawi, maendeleo na mafao ya familia ya Mungu katika Nchi Takatifu na huko Mashariki ya Kati ambako Wakristo wanaendelea kuteseka sana!

Kanisa Kuu la Kaburi Takatifu katika nchi Takatifu limefunguliwa tena

Kanisa Kuu la Kaburi Takatifu katika nchi Takatifu limefunguliwa tena

Kanisa Kuu la Kaburi Takatifu Yerusalem,limefunguliwa tena kwa mahujaji!

01/03/2018 16:58

Tarehe 28  Februari 2018 saa 4.00 masaa ya nchi za Mashariki imefunguliwa kwa upya Kanisa Kuu la Kaburi Tatifu katika nchi Takatifu iliyokuwa imefungwa kwa umma hivi karibuni.Uamuzi huo ulichukuliwa mara baada ya Waziri Mkuu wa Israeli Bew.Netanyahu kufanya mkataba na Meya wa Yerusalem

 

 

Zinatengemezwa rosario za miti ya mizeituni Nchi Takatifu kwa ajili ya watakao shiriki Siku ya Vijana duniani huko Panama 2019

Zinatengemezwa rosario za miti ya mizeituni Nchi Takatifu kwa ajili ya watakao shiriki Siku ya Vijana duniani huko Panama 2019

Milioni 1,5 ya rosari zinatengenzwa Nchi Takatifu kwa ajili ya Vijana!

20/02/2018 14:38

Mpango unaiitwa AveJmj kutoa milioni moja na nusu ya Rosari za miti ya mizeituni zinazotengeneza huko Betlehemu na familia hitaji, kwa ajili ya vijana ambao watakao weza kushiriki Siku ya Vijana duniani huko Panama kuanzia tarehe 22-27 Januari 2019.Nia kuu ni kusali kwa ajili ya amani

 

 

Mvuto wenye shida na wenye heri ya Noeli unawakusanya wote kwa pamoja, unaunganisha, unajenga na kuishi kwa pamoja

Mvuto wenye shida na wenye heri ya Noeli unawakusanya wote kwa pamoja, unaunganisha, unajenga na kuishi kwa pamoja

Nchi Takatifu:Wadogo lakini walio wazi na kukaribisha,hiyo ndiyo Noeli

26/12/2017 15:16

Mahubiri ya Askofu Mkuu Pizzaballa,msimamizi wa Kitume wa Kipatriaki Yerusalem, tarehe 25 Desemba 2017 amesema,Noeli ni sikukuu ya kukutana na Mungu na binadamu,mbingu na dunia,umilele na wakati;kwa njia hiyo umilele usioisha na unaoisha ambavyo vinakumbatiana na kuungana