Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Nazareti

Baba Mtakatifu Francisko anasema, Fumbo la Umwilisho lilikuwa ni kashfa kubwa ya Yesu kukataliwa nyumbani kwao Nazareti.

Baba Mtakatifu Francisko anasema, Fumbo la Umwilisho lilikuwa ni kashfa kubwa iliyomfanya Kristo Yesu kukataliwa nyumbani kwao!

Kashfa ya Fumbo la Umwilisho, sababu ya Yesu kukataliwa nyumbani kwao

09/07/2018 08:32

Baba Mtakatifu Francisko anasema, Kashfa ya Msalaba ilikuwa ni sababu kuu ya wananchi wa Nazareti kuvutwa kumsikiliza, wakamshangaa, wakaona mashaka, wakashindwa kumwamini na hatimaye, wakamtakaa katu katu! Kwa hakika, Nabii hakosi heshima isipokuwa kwa watu wake mwenyewe!

Mwenyezi Mungu anatumia watu, mazingira na historia kufikisha ujumbe wa Habari Njema kwa waja wake!

Mwenyezi Mungu anatumia watu, mazingira na historia ili kuweza kufikisha ujumbe wa habari Njema kwa waja wake.

Tafakari ya Neno la Mungu: Ujumbe wa Mungu si rahisi sana kupokelewa!

07/07/2018 07:26

Tafakari ya Neno la Mungu, Jumapili XIV ya Kipindi cha Mwaka B wa Kanisa inaonesha jinsi ambavyo ni vigumu sana kupokea Habari Njema ya Wokovu, lakini Mwenyezi Mungu anatumia watu, historia na matukio mbali mbali katika maisha ya mwanadamu ili kufikisha ujumbe wake kwa binadamu!

Wakristo wanapaswa kushika imani, kuiungama, kuishuhudia, kuitangaza na kuwashirikisha wengine!

Wakristo wanapaswa kushika imani, kuitangaza, kuishuhudia na kuwashirikisha wengine, wakiwa tayari hata kubeba Misalaba ya maisha yao, tayari kumfuasa Kristo Yesu.

Yesu Kristo anakataliwa nyumbani kwao Nazareti! Maamuzi mbele!

06/07/2018 07:46

Mkristo hatakiwi kushika imani tu na kuiishi, bali anapaswa kuitangaza, kuishuhudia na kuieneza pamoja na kuwa tayari kumfuasa Kristo Yesu katika Njia ya Msalaba, kati ya madhulumu ambayo hayakosekani kamwe katika Kanisa! Huduma na ushuhuda ni muhimu sana kwa wokovu wa binadamu!

 

Kristo Yesu ni kielelezo cha hekima, nguvu na uweza wa Mungu wa kumwongoa mwanadamu kutoka katika lindi la dhambi na mauti!

Kristo Yesu ni kielelezo cha hekima, nguvu na uweza wa Mungu wa kumwongoa mwanadamu kutoka katika lindi la dhambi na mauti!

Tafakari ya Neno la Mungu: Hekima ya Mungu iwe dira na mwongozo wetu!

06/07/2018 07:07

Mungu Baba Mwenyezi amefunua uweza wake wote kwa namna ya ajabu sana kwa kujinyenyekesha kwa hiari na kwa Ufufuko wa Mwanawe, ambao kwa huo alishinda ubaya. Hivyo Kristo Msulubiwa ni nguvu na hekima ya Mungu. Kwa njia ya Fumbo la Pasaka, Mungu ameonesha nguvu na uweza wake!

Nchi Takatifu ina andaa safari ya kiroho kwa wanafamilia ili waishi kwa kushirikishana Neno la Mungu na kuliishi

Nchi Takatifu ina andaa safari ya kiroho kwa wanafamilia ili waishi kwa kushirikishana Neno la Mungu na kuliishi

Nchi Takatifu inaandaa hatua za kiroho kwa wanafamilia ya Mungu!

11/05/2018 15:43

Mwishoni mwa mwezi wa nne, katika miji ya Yeriko na Nazareth ilifanyika kozi kwa  vingozi wanao saidia wanandoa na vijana katika hatua za kirohokatika familia.Hii ni sehemu ya  mpango wa kichungaji kwa miaka miwili 2018-2019 katika maparokia ya Israeli na Palestina, viongozi 100 waliudhuria