Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Mwongozo wa Malezi ya Kipadre

Papa Francisko: Kanisa linakazia majiundo ya kipadre katika maisha na utume wake!

Papa Francisko: Kanisa linakazia malezi na majiundo ya maisha, wito na utume wa Kipadre kama sehemu muhimu sana ya utume wake kwa watu wa Mungu.

Mwongozo wa Malezi ya Kipadre umeboreshwa kwa kusoma alama za nyakati

10/10/2017 06:58

Mababa wa Mtaguso Mkuu wa Pili wa Vatican walikazia sana umuhimu wa malezi na majiundo ya Kipadre kwa ajili ya maisha na utume wa Kanisa. Kunako mwaka 1970 Mwongozo wa kwanza ukachapishwa na kufanyiwa marekebisho kunako mwaka 1985 na mwongozo mpya kutolewa mwaka 2016.

Papa Francisko: walezi wakuu wa miito: Mungu, Mapadre, Maaskofu na Watu wa Mungu!

Papa Francisko: walezi wakuu wa miito: Mungu, Mapadre, Maaskofu na Watu wa Mungu.

Walezi wakuu wa miito: Mungu, Mapadre, Maaskofu na Familia ya Mungu

07/10/2017 16:27

Baba Mtakatifu Francisko anawakumbusha Mapadre kwamba, mlezi wa kwanza katika maisha na utume wao wa kipadre ni Mwenyezi Mungu anayewafinyanga na kuwaunda kadiri ya mapenzi yake, wao wenyewe; walezi na maaskofu pamoja na familia ya watu wa Mungu!

Mwaka wa Padre Tanzania: Malezi, maisha, utume na mambo msingi ya kuzingatiwa na Mapadre wenyewe!

Mwaka wa Padre Tanzania: Malezi: awali na endelevu; maisha, wito na utume pamoja na mambo msingi wanayopaswa kuzingatiwa na Mapadre.

Mwaka wa Padre Tanzania: Uchambuzi wa malezi, maisha na utume wake!

12/08/2017 12:36

Familia ya Mungu nchini Tanzania inaadhimisha Jubilei ya Miaka 150 ya Uinjilishaji Tanzania Bara sanjari na Jubilei ya Miaka 100 tangu Tanzania ilipopata Mapadre wa kwanza wazalendo. Leo hii tunaangalia: malezi, maisha, utume na mambo yanayopaswa kupewa kipaumbele cha kwanza na Mapadre!

Mh. Padre Enhart Mpete, Mkuu wa Shirika la Mapadre wa Mapendo nchini Tanzania anawapongeza watanzania wanaoishi Roma kwa umoja na mshikamano !

Mheshimiwa Padre Enhart Mpete, Mkuu wa Shirika la Mapadre wa Mapendo maarufu kama Warosimini anawapongeza watanzania wanaoishi mjini Roma kwa umoja na mshikamano katika medani mbali mbali za maisha, hali inayosaidia kukuza na kudumisha miito!

Padre Mpete: Dumisheni mshikamano katika malezi na makuzi ya miito

20/07/2017 15:31

Mheshimiwa Padre Enhart Mpete, Mkuu wa Kanda ya Tanzania, Shirika la Mapadre wa Upendo, maarufu kama Warosimini, amewapongeza watanzania wanaoishi na kusoma Roma kwa umoja, mshikamano na uzalendo unaosaidia kukuza na kuimarisha miito hasa kwa vijana wanaoishi ugenini!

Kuna umuhimu wa kuzingatia Mwongozo wa Malezi ya Kipadre.

Kuna umuhimu wa kuzingatia Mwongozo wa Malezi ya Kipadre.

Malezi na majiundo endelevu ya Kipadre ni muhimu sana!

13/07/2017 14:51

Kardinali Beniamino Stella anaendelea kukazia umuhimu wa kuzingatia Mwongozo wa Malezi ya Kipadre uliochapishwa hivi karibuni ili kuliwezesha Kanisa kupata watendaji kazi wema, watakatifu, waadilifu, wachamungu na wachapakazi; watu ambao wanaweza kujisadaka kwa ajili ya huduma kwa Kanisa!

Baba Mtakatifu Francisko anakazia majiundo awali na endelevu kwa Mapadre ili waweze kujisadaka barabara kwa ajili ya Kristo na Kanisa lake!

Baba Mtakatifu Francisko anakazia umuhimu wa majiundo ya awali na endelevu kwa Mapadre ili waweze kujisadaka kwa ajili ya Kristo na Kanisa lake.

Papa Francisko anakazia majiundo makini ya Mapadre!

02/06/2017 16:39

Baba Mtakatifu Francisko anakazia umuhimu wa maisha ya sala, tafakari ya Neno la Mungu linalomwilishwa katika uhalisia wa maisha; umoja na mshikamano katika maisha na utume wa Kanisa pamoja na kuendelea kujitakasa kwa kuadhimisha mafumbo ya Kanisa! Majiundo ni muhimu sana!

Dhamana na wajibu wa maaskofu mahalia: kufundisha, kuongoza na kuwatakatifuza watu wa Mungu.

Dhamana na wajibu wa maaskofu mahalia ni kufundisha, kuongoza na kuwatakatifuza watu wa Mungu.

Yaliyojiri wakati Kardinali Filoni alipokutana na Maaskofu E. Guinea

23/05/2017 14:53

Baraza la Maaskofu Katoliki Equatorial Guinea limeonesha ukomavu wa maisha na utume wa Kanisa kwa kupata majimbo mapya mawili ili kusogeza huduma za kichungaji kwa familia ya Mungu nchini humo! Changamoto kwa wakati huu ni kupambana na ukabila, chuki na uhasama ili kujenga umoja.

Mwongozo mpya wa malezi na majiundo ya kipadre unakazia: ukomavu wa maisha ya kiroho na kiutu: kwa kuzingatia: utu, tasaufi na huduma makini!

Mwongozo mpya wa malezi ya kipadre unazingatia ukuaji wa mtu mzima: kiroho na kuiutu; kwa kujikita zaidi katika ukomavu wa dhamiri, tasaufi na kwamba, mapadre ni vyombo na mashuhuda wa huduma makini kwa familia ya Mungu!

Mwongozo Mpya wa Malezi na Majiundo ya Kipadre

03/05/2017 06:53

Kardinali Beniamino Stella anasema, malezi na majiundo ya kipadre yanapaswa kupyaishwa, kuendelezwa na kupewa kipaumbele cha pekee katika maisha na utume wa Kanisa. Malezi yazingatie ukuaji wa mtu mzima: kiroho na kimwili; yakazie: utu katika ukomavu; tasaufi na dhamiri nyofu pamoja na huduma!