Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Mwongozo: biashara na haki msingi za binadamu

Papa Francisko akisalimiana na vijana walioudhuria Siku ya sala na uhamasishaji kimataifa kuhusu biashara haramu ya watumwa

Papa Francisko akisalimiana na vijana walioudhuria Siku ya sala na uhamasishaji kimataifa kuhusu biashara haramu ya watumwa

Papa Francisko:inahitaji ujasiri kufichua wanafiki wa biashara ya watumwa!

13/02/2018 15:44

Papa Francisko amebadilishana mawazo na baadhi ya washiriki wa Mkutano ya Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Biashara haramu ya binadamu na utumwa mamboleo. Amejibu maswali mengi kuhusu: unyanyasaji kijinsia, uonevu, shule za picha za ngono katika mitandao,kifolaini na sintofahamu!

 

Utu na heshima ya binadamu vinapaswa kupewa kipaumbele cha kwanza katika shughuli za uzalishaji na utoaji wa huduma.

Utu na heshima ya binadamu vinapaswa kupewa kipaumbele cha kwanza katika mchakato wa shughuli za kiuchumi na utoaji wa huduma.

Maendeleo ya kweli yazingatie utu na heshima ya binadamu!

24/06/2016 08:28

Mchakato wa utandawazi na maendeleo endelevu ya binadamu hauna budi kutoa kipaumbele cha kwanza kwa utu, heshima, ustawi na mafao ya wengi badala ya mwelekeo wa sasa unaotoa kipaumbele cha kwanza katika upatikanaji wa fedha hata ikiwa ni kwa gharama ya haki msingi za binadamu.