Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Mwenyeheri Sr. Maria della Concezione

Mwenyeheri Sr. Maria dela Concezione alijisadaka na kujiweka wakfu kwa ajili ya Mungu na huduma kwa vijana.

Mwenyeheri Sr. Maria della Concezione alijiweka wakfu kwa Mungu na kujisadaka kwa ajili ya huduma makini kwa vijana na maskini.

Mwenyeheri Sr. Maria della Concezione: Alijisadaka kwa ajili ya vijana

11/06/2018 13:32

Kardinali Angelo Amato, Jumapili tarehe 10 Juni 2018 amemtangaza Mtumishi wa Mungu Sr. Maria della Concezione kuwa Mwenyeheri. Alizaliwa kunako mwaka 1789 huko Ufaransa! Katika maisha na utume wake, alijiweka wakfu kwa Mungu na huduma makini ya elimu kwa vijana wa kizazi kipya.