Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Mwenyeheri Oscar Arnulfo Romero Galdamez

Kardinali Angelo Amato ameng'atuka kutoka madarakani.

Kardinali Angelo Amato ameng'atuka kutoka madarakani kutokana na umri.

Kwa heshima ya Kardinali Angelo Amato!

19/07/2018 07:43

Watakatifu ni mifano bora ya kuigwa katika maisha na utume wa Kanisa. Hawa ni wadhambi waliotubu na kumwongokea Mungu katika safari ya maisha yao. Baba Mtakatifu Francisko anasema, Kanisa linaundwa na watakatifu na wadhambi wanaojitahidi kutubu na kumwongokea Mungu ili wawe watakatifu!

Mwenyeheri Paulo VI , Askofu mkuu Oscar Arnulfo Romero na wenzao kutangazwa kuwa watakatifu tarehe 14 Oktoba 2018

Mwenyeheri Paulo VI, Askofu Mkuu Oscar Arnulfo Romero na wenzao kutangazwa kuwa watakatifu tarehe 14 Oktoba 2018.

Mwenyeheri Paulo VI & O. Romero kutangazwa watakatifu 14 Oktoba 2018

19/05/2018 13:41

Mwenyeheri Paulo VI pamoja na Askofu mkuu Oscar Arnulfo Romero Galdamez ni kati ya wenyeheri sita watakaotangazwa kuwa watakatifu tarehe 14 Oktoba 2018. Watakatifu wapya ni mashuhuda wa huruma na upendo wa Mungu kwa waja wake, mafundisho makuu ya Baba Mtakatifu Francisko kwa wakati huu.

 

Mwenyeheri Paulo VI kutangazwa kuwa Mtakatifu mwaka 2018

Mwenyeheri Paulo VI kutangazwa kuwa Mtakatifu mwaka 2018.

Mwenyeheri Paulo VI & Oscar Romero kutangazwa watakatifu mwaka 2018

12/03/2018 12:02

Wakati huu Mama Kanisa anapoendelea kujizatiti zaidi katika kuimarisha Injili ya uhai dhidi ya utamaduni wa kifo, Baba Mtakatifu Francisko ameridhia kwamba, Mwenyeheri Paulo VI aliyesimama kidete kutangaza Injili ya uhai pamoja na Askofu mkuu Oscar Romero watangazwe kuwa watakatifu mwaka 2018