Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Mwanga wa Mataifa

Waamini kwa namna ya pekee kabisa wanampokea Roho Mtakatifu kwa njia ya Sakramenti ya Kipaimara.

Waamini kwa namna ya pekee kabisa wanampokea Roho Mtakatifu kwa njia ya Sakramenti ya Kipaimara.

Sakramenti ya Kipaimara inawawezesha waamini kuwa mashuhuda wa Kristo

23/05/2018 14:29

Waamini kwa namna ya pekee kabisaq wanampokea Roho Mtakatifu katika Sakramenti ya Kipaimara, zawadi ya Baba, inayowaongoza waamini ili waweze kuwa kweli ni chumvi ya dunia na mwanga wa mataifa kwa kutenda kadiri ya mwanga na karama ya Roho Mtakatifu katika maisha yao!

Yesu Kristo aliteswa  na kufa Msalabani ili kuwakomboa wanadamu kutoka katika lindi la dhambi na mauti!

Kristo Yesu aliteswa na kufa Msalabani ili kuwaokomboa watu kutoka katika lindi la dhambi na mauti.

Kwaresima ni kipindi cha mapambano dhidi ya dhambi na mauti!

10/03/2018 06:30

Kristo Yesu hana budi kuinuliwa ili kila mtu aaminiye awe na uzima wa milele katika Yeye. Fumbo la Umwilisho linalopata utimilifu wake katika Fumbo la Pasaka linalenga kumkomboa mwanadamu kutoka katika lindi la dhambi na mauti! Kristo ni mpatanishi kati ya Mungu na binadamu na kati yao wenyewe!

Kardinali Stella anawataka Wakleri kuwa kukesha katika: Sala, Sakramenti, Tafakari, Toba na Wongofu wa ndani!

Kardinali Stella anawataka wakleri kukesha katika: Sala, Sakramenti, Neno, Toba na Wongofu wa ndani kama ushuhuda wenye mvuto na mashiko katika maisha na utume wa Kipadre!

Kardinali Stella: Wakleri kesheni, msije mkajikuta mnamezwa na giza!

05/01/2018 09:46

Kardinali Stella anawaalika Wakleri kutoa kipaumbele cha kwanza kwa Kristo na Kanisa lake katika maisha na utume wao miongoni mwa familia ya Mungu. Wajitahidi kujenga na kudumisha uhusiano wao na Kristo Yesu kwa njia ya: Sala, Sakramenti, Tafakari, Toba na Wongofu wa ndani, ushuhuda amini!

Sherehe ya Tokeo la Bwana, maarufu kama Epifania ni ufunuo wa Kristo Yesu: Mwanga wa Mataifa, Mfalme na Mkombozi wa ulimwengu.

Sherehe ya Tokeo la Bwana, maarufu kama Epifania ni ufunuo wa Kristo Yesu kama Mwanga wa Mataifa, Mfalme na Mkombozi wa Ulimwengu.

Kristo Yesu ni Mwanga wa Mataifa, Mfalme na Mkombozi wa Ulimwengu

05/01/2018 06:45

Maadhimisho ya Liturujia ya Sherehe ya Tokeo la Bwana ni ufunuo wa Kristo Yesu, Mwanga wa Mataifa, Mfalme na Mkombozi wa ulimwengu; dhamana na utume wake unaojionesha hasa kwenye hazina ambayo Mamajusi kutoka Mashariki ya mbali walimtolea Mtoto Yesu: Dhahabu, Uvumba na Manemane!

Sherehe ya Tokeo la Bwana ni Siku kuu ya Kristo Mwanga unaofunuliwa kwa watu wa Mataifa!

Sherehe ya Tokeo la Bwana ni Siku kuu ya Mwaga, ambao ni Kristo anayejifunua kwa watu wa Mataifa.

Sherehe ya Tokeo la Bwana ni Siku kuu ya ufunuo wa mwanga wa Kristo!

03/01/2018 14:24

Yesu Kristo ni Mwanga wa Mataifa unaofunuliwa kwa watu wa mataifa yote wanaowakilishwa na Mamajusi kutoka Mashariki ya mbali, ni watu wa mazingira na dini ya kipagani, lakini wanaifuata Nyota ya Daudi, Mfalme wa Mataifa, Mwana wa Mungu na Mkombozi wa Ulimwengu. Epifania ni sherehe ya umoja!

 

Sherehe ya Tokeo la Bwana: Zawadi: Ubani, dhahabu na manemane yaani: Umungu, Ufalme na Ubinadamu wa Kristo Yesu.

Sherehe ya Tokeo la Bwana: Zawadi: Ubani, Dhahabu na Manemane maana yake ni: Umungu, Ufalme na Ubinadamu wa Kristo Yesu, Mwanga wa Mataifa.

Sherehe ya Tokeo la Bwana! Kristo Yesu ni Mwanga wa Mataifa!

02/01/2018 13:49

Mamajusi kutoka Mashariki ya mbali huku wakiongozwa na nyota walifika mjini Bethlehemu, wakamsujudu Bwana na kumtolea zawadi kuu tatu zinazofafanua maana na utume wa Kristo Yesu: Ubani ni Umungu wa Kristo; Dhahabu: Ufalme wa Kristo na Manemane ni Ubinadamu wa Kristo utakaopambana na kifo!

Papa Francisko afafanua maana, historia na umuhimu wa Sherehe ya Noeli katika maisha ya binadamu!

Papa Francisko afafanua maana, historia na umuhimu wa Sherehe ya Noeli katika maisha ya binadamu!

Papa Francisko afafanua maana ya Sherehe ya Noeli katika maisha!

27/12/2017 13:33

Baba Mtakatifu Francisko anasikitishwa sana na mwelekeo wa watu Barani Ulaya wa kupindisha maana ya Noeli kwa kutaka kumng'oa Kristo Yesu katika uhalisia, historia na maana ya Sherehe ya Noeli kwa kisingizio cha uhuru wa kidini! Lakini, anakaza kusema, hakuna Noeli pasi na Kristo Yesu!

Papa Francisko anasema, Kristo Yesu ni kiini na hatima ya Sherehe ya Noeli!

Papa Francisko anasema, Kristo Yesu ni kiini na hatima ya Sherehe ya Noeli.

Mama Kanisa anaadhimisha Sherehe ya Kuzaliwa kwa Mwana wa Mungu!

23/12/2017 09:19

Kristo Yesu, Mwana wa Baba wa milele alitungwa tumboni ma Bikira Maria kwa uwezo wa Roho Mtakatifu. Ni Mwana wa Baba wa milele, upande wa Umungu na Mwana wa Maria upande wa Ubinadamu, lakini ni Mwana wa Mungu hasa katika hali hizo mbili, kwa kuwa ndani yake kuna Nafsi moja, ile ya Kimungu!