Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Mwaka wa Jubilei ya B. Maria wa Aparecida

Familia ya Mungu Amerika ya Kusini inaadhimisha kumbu kumbu ya Miaka 300 ya Bikira Maria wa Aparecida

Familia ya Mungu Amerika ya Kusini inaadhimisha Jubilei ya Miaka 300 tangu Sanamu ya Bikira Maria wa Aparecida ilipookotwa na wavuvi, mwanzo wa Ibada kwa Bikira Maria wa Aparecida.

Utenzi wa Bikira Maria unapoimbwa na maskini, utamu wake unaongezeka!

17/08/2017 12:05

Utenzi wa Bikira Maria maarufu kama "Magnificat" unakazia utu, heshima, upendo na mshikamano miongoni mwa binadamu aliyeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu. Ni utenzi unaowatetea wanyonge dhidi ya nyanyaso na ukosefu wa haki msingi za binadamu; huu ni mwaliko wa kushiriki kazi ya ukombozi!

Papa Francisko: Vijana Brazil, jengeni jamii inayosimikwa katika tunu msingi za kiinjili dhidi ya rushwa na ufisadi.

Papa Francisko: Vijana Brazila jengeni jamii inayosimikwa katika tunu msingi za Kiinjili dhidi ya ufisadi na rushwa.

Vijana jengeni jamii isiyopekenyuliwa na rushwa pamoja na ufisadi!

02/08/2017 15:28

Baba Mtakatifu Francisko anawataka vijana nchini Brazil kujizatiti katika mchakato wa ujenzi wa jamii mpya inayofumbatwa katika tunu msingi za Kiinjili. Lengo liwe ni kuyachachua malimwengu kwa ushuhuda wa utakatifu wa maisha; kwa kuonesha ujasiri wa kupambana na rushwa na ufisadi wa mali ya umma.

Jubilei ya miaka 300 tangu Sanamu ya Bikira Maria wa Aparecida ilipookotwa ni muda wa kushikamana maskini kupambana na rushwa.

Jubilei ya miaka 300 tangu Sanamu ya Bikira Maria wa Aparecida ilipokotwa na wavuvi nchini Brazil, ni fursa ya kushikamana na maskini kupambana na saratani ya rushwa na ufisadi wa mali ya umma!

Shikamaneni na maskini kupambana na rushwa na ufisadi wa mali ya umma

11/05/2017 14:30

Kumbu kumbu ya Jubilei ya miaka 300 tangu Sanu ya Bikira Maria wa Aparecida ilipookotwa na wavuvi huko nchini Brazil, ni fursa ya kushikamana na maskini katika mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi wa mali ya umma, ili kwa pamoja kuweza kutangaza na kushuhudia Injili ya haki na maatumaini!

Familia ya Mungu nchini Brazil inaadhimisha kumbu kumbu ya miaka 300 tangu Bikira Maria wa Aparecida alipotokea na kuwa ni chemchemi ya ibada kubwa.

Familia ya Mungu nchini Brazil kwa mwaka 2017 inaadhimisha kumbu kumbu ya miaka 300 tangu Bikira Maria wa Aparecida alipotokea na hivyo kuwa ni chemchemi ya ibada kuu kwa Bikira Maria, Mama wa Mungu na Kanisa.

Jubilei ya miaka 300 tangu Bikira Maria alipotokea Aparecida!

19/04/2017 11:00

Familia ya Mungu nchini Brazil kwa mwaka 2017 inaadhimisha Jubilei ya miaka 300 tangu Bikira Maria alipotokea kule Aparacida na kuwa ni chemchemi ya Ibada ya nguvu kwa wananchi wengi huko Amerika ya Kusini! Rais wa Brazil amemwalika Papa Francisko katika tukio hili, lakini imeshindikana kwa sasa!

Mwaka wa Bikira Maria wa Aparecida, Brazil ni kipindi cha kukuza umoja, udugu na mshikamano!

Mwaka wa Bikira Maria wa Aparecida ni muda muafaka wa kujenga, kukuza na kuimaarisha umoja, upendo na mshikamano wa familia ya Mungu nchini Brazil.

Jubilei ya miaka 300 ya Bikira Maria wa Aparecida, Brazil

20/10/2016 09:44

Familia ya Mungu nchini Brazil imezindua maadhimisho ya Mwaka wa Bikira Maria wa Aparecida, kama sehemu ya kumbu kumbu ya miaka 300 tangu wavuvi watatu kunako mwaka 1717 walipovua Sanamu ya Bikira Maria Mkingiwa Dhambi ya asili, ukawa ni mwanzo wa Ibada kwa B. Maria. 

Simameni kidete kuwalinda, kuwatetea na kuwasaidia watoto ili kuwajengea matumaini ya leo na kesho iliyo bora zaidi!

Baba Mtakatifu Francisko anawataka viongozi wa Kanisa pamoja na watu wote wenye mapenzi mema nchini Brazil kusimama kidete kuwalinda, kuwatetea na kuwajengea watoto matumaini ya leo na kesho iliyo bora zaidi.

Simameni kidete kulinda na kuwatetea watoto wadogo!

20/10/2016 09:32

Baba Mtakatifu Francisko anawataka viongozi wa Kanisa pamoja na watu wote wenye mapenzi mema nchini Brazil kuhakikisha kwamba, wanasimama kidete kuwalinda, kuwatetea na kuwaendeleza watoto kiroho na kimwili, ili kuwajengea matumaini ya leo na kesho iliyo bora zaidi!