Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Muziki mtakatifu

Nia ya Maombi ya sala kwa mwezi wa 12 ni kwa ajili ya wazee wasisahuliwe

Nia ya Maombi ya sala kwa mwezi wa 12 ni kwa ajili ya wazee wasisahuliwe

Nia ya Maombi ya sala kwa mwezi wa 12 ni kwa ajili ya wazee wasisahuliwe!

05/12/2017 15:50

Utunzaji wa wazee ni muhimu kwa kuendeleza elimu kwa kizazi endelevu.Ndiyo ujumbe mkuu wa Baba Mtakatifu Francisko kwa njia ya video akiwakilisha nia ya sala kwa mwezi wa kumi na mbli.Anasisitizia juu ya kutazama na kujifunza kutoka katika hekima ya mababu na nafasi iliyopo katika jumuiya.

 

Kwaya ya Kikanisa cha Sistina mjini Vatican imewasilisha CD mbili kwa Baba Mtakatifu Francisko.

Kwaya ya Kikanisa cha Sistina imewasilisha CD mbili kwa Baba Mtakatifu Francisko kama sehemu ya mchakato wa uinjilishaji pembezoni mwa jamii ya watu!

Muziki mtakatifu unapaswa kuwafikia hata walioko pembezoni mwa jamii

13/04/2017 17:12

Monsinyo Massimo Palombella, Mkurugenzi wa Kwaya ya Kikanisa cha Sistina anasema, kwaya yake inaendelea kutekeleza kwa vitendo, changamoto inayotolewa na Baba Mtakatifu Francisko kwa kuhakikisha kwamba, hata watu walioko pembezoni mwa jamii wanafikiwa na utamu wa muziki mtakatifu.

Papa Francisko anawataka wadau na wataalam wa muziki mtakatifu na liturujia kuwasaidia waamini kushiriki kikamilifu, kuelewa na hatimaye kufaidika.

Papa Francisko anawataka wadau mbali mbali kuwasaidia waamini kushiriki kikamilifu katika liturujia, kufahamu yale wanayoadhimisha ili hatimaye kufaidika na maadhimisho haya yanayowawezesha kushiriki kikamilifu katika Fumbo la maisha ya Mungu.

Papa Francisko asema: muhimu kushiriki kikamilifu na kuelewa

04/03/2017 13:56

Baba Mtakatifu anawatala wataalam wa masuala ya Muziki Mtakatifu na Liturujia ya Kanisa kuwasaidia waamini kushiriki kikamilifu katika Mafumbo ya Kanisa, kufahamu hayo wanayoshiriki, ili hatimaye, waweze kufaidika na maadhimisho haya ili kuishi kikamilifu Fumbo la maisha ya Mungu kwa mapana!

Papa mstaafu Benedikto XVI akipokea Udaktari wa heshima

Baba Mtakatifu mstaafu Benedikto XVI amepokea Udaktari wa heshima kutoka katika Chuo kikuu cha Kipapa la Mtakatifu Yohane Paulo II na Taasisi ya Muziki Cracovia.

Papa mstaafu Benedikto XVI atunukiwa shahada ya udaktari wa heshima!

04/07/2015 11:01

Chuo kikuu cha Kipapa cha Mtakatifu Yohane Paulo II pamoja na Taasisi ya Muziki Jimbo kuu la Cracovia, vimemtunuku shahada ya udaktari wa heshima, Baba Mtakatifu mstaafu Benedikto XVI kwa kutambua mchango wake katika maisha na utume wa Mtakatifu Yohane Paulo II.