Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Mtakatifu Petro Claver, Colombia

Wosia wa Papa Francisko nchini Colombia: jitahidini kupiga hatua ya kwanza katika amani na upatanisho!

Wosia wa Papa Francisko nchini Colombia: kila mtu apige hatua ya kwanza katika amani na upatanisho wa kitaifa.

Wosia wa Papa Francisko kwa familia ya Mungu nchini Colombia

11/09/2017 13:46

Baba Mtakatifu Francisko kabla ya kuanza safari ya kurejea tena mjini Vatican baada ya kukamilisha hija yake ya kitime nchini Colombia, amewaachia wananchi wa Colombia ujumbe mzito sana, akimtaka kila mwanchi kuanza kupiga hatua ya kwanza katika mchakato wa amani na upatanisho wa kitaifa.

Papa Francisko anawataka waamini kuwa ni mashuhuda na vyombo vya Injili ya upendo na huduma!

Papa Francisko anawataka waamini kuwa ni vyombo na mashuhuda wa Injili ya upendo na huduma kwa maskini na wote wanaoteseka!

Papa Francisko anawataka waamini kuwa mashuhuda wa Injili ya upendo

11/09/2017 13:05

Papa Francisko anawataka waamini kujizatiti katika kulinda, kutetea na kudumisha utu wa binadamu; kwa kuwasaidia na kuwahudumia watu ambao wameteleza na kuanguka katika maisha; watu wanaotaka kujipatia makazi na maisha bora zaidi wanaotaka kuboresha utu wa binadamu kwa hali na mali!