Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Mtakatifu Paulo

Mkuu wa Shirika la Wasalesian amefanya ziara yake huko Damasko kuwatia moyo  na matumaini watu hawa kutokana mateso ya kivita

Mkuu wa Shirika la Wasalesian amefanya ziara yake huko Damasko kuwatia moyo na matumaini watu hawa kutokana mateso ya kivita

Mkuu wa Shirika la Don Bosco, Padre Fernandes kutembelea Damasko!

11/04/2018 12:23

Mkuu wa shirika la Don Bosco,Padre Angel Fernandes Artime amefanya ziara yake mji wa kale Damasko ili kuwatia moyo,furaha na matumaini watu walio jeruhiwa zaidi ya miaka 7 ya vita. Akisindikizwa na Vijana wa Shirika lake,wamepitia barabara aliyopitia Mt. Paulo hadi kuingia Kanisa la Mt.Anania

 

 

Kwenda Misa maana yake ni kuishi  zaidi ushuhuda wa kikristo!

Kwenda Misa maana yake ni kuishi zaidi ushuhuda wa kikristo!

Katekesi:Papa anashukuru Mungu kugundua nini maana ya Misa!

04/04/2018 14:48

Baba Mtakatifu Francisko amemalizia katekesi akimshukuru Mungu kwa safari ya ugunduzi wa Misa Takatifu kwa maana tumezawadia naye ili kutimiza pamoja na kuacha kuvutiwa na imani iliyo pyaishwa katika kukutana na  Yesu wa kweli, aliyekufa na kufufuka kwa kwa ajili yetu na kwa wakati wetu!

 

Tukio lililotokea katika Jimbo la Ihara nchini Nigeria litufundishe wakristo kushinda dhambi ya kuwa na ukabila

Tukio lililotokea katika Jimbo la Ihara nchini Nigeria litufundishe wakristo kushinda dhambi ya kuwa na ukabila

Padre Zagore:Ni vema kushinda dhambi ya ukabila,si tabia ya kikristo!

24/02/2018 09:33

Jambo lililojitokeza la ukabila hadi kufikia hatua yake kujiudhuru ni suala ambao limetoa mwangwi sana katika Makanisa ya Afrika.Padre D.Zagore Mtaalimungu anatafakari suala la Askofu P.E.Opkalaeke wa jimbo la Ihara nchini Nigeria na kusema kuwa, wakristo tushinde dhambi ya ukabila

 

 

 

Ni huzuni kuona watoto wadogo hawajuhi hata kufanya hata ishara ya msalaba, badala yake wanawafundishwa kuchora vizuri picha ya msalaba

Ni huzuni kuona watoto wadogo hawajuhi hata kufanya hata ishara ya msalaba, badala yake wanawafundishwa kuchora vizuri picha ya msalaba

Unaweza kuwa Baba,iwapo unamfanya mtu awe na imani na ujasiri wa kusema ukweli!

26/01/2018 17:15

Katika mahubiri ya Baba Mtakatifu katika Kikanisa cha Mtakatifu Marta,26 Janauari 2018,amesistiza maneno matatu yanayo elekezwa na Mtume Paulo. Ili kutangaza Kristo kuwa ni Mwana,kushuhdia na umama wa Kanisa.Unaweza kuwa baba iwapo utafanya mtu awe na imani ya kusema ukweli 

 

Juma la kuombea Umoja wa Wakristo na "ili wote wawe na umoja kama sisi"

Juma la kuombea Umoja wa Wakristo na "ili wote wawe na umoja kama sisi, kwa maana hiyo watawatambua kuwa ninyi ni wafuasi wangu"

Ujumbe wa Pamoja wa CCEE na CEC kwa tukio la Maombi ya Umoja wa Wakristo!

19/01/2018 09:02

Ujumbe wa pamoja kutoka Umoja wa Mabaraza la Maaskofu Ulaya (CCEE),na Mwenyekiti wa Baraza la Makanisa Ulaya (CEC) uliotangazwa kwa waamini wote,kufuatia tukio la Juma la kuombea Umoja wa Wakristo,18-25 Januari 2018.Kwa kaulimbiu:Mkono wako ee Bwana ni wa nguvu na utukufu

 

 

Askofu Mkuu De Donatis ametafakari kwa kina  mada ya siri ya kuwa askofu mwema ni ekalu, ushuhuda na kufuasa

Askofu Mkuu De Donatis ametafakari kwa kina mada ya siri ya kuwa askofu mwema ni ekalu, ushuhuda na kufuasa

Ask.Mkuu De Donatis:Siri ya uaskofu mwema ni ekalu,kushuhudia na kufuasa!

16/01/2018 14:00

Tarehe 13 Januari 2018, Askofu Mkuu Angelo De Donatis, Makamu Askofu Jimbo kuu la Roma,amewasimika rasmi,Maaskofu wateule wawili katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yohane Laterano.Maaskofu hao ni Padre Daniele Libanoi na Padre Paolo Ricciardi walioteuliwa na Papa tarehe 23 Novemba 2017 

 

25 Januari,Papa Francisko ataongoza masifu ya ya jioni katika hitimisho la Juma la maombi kwa ajili ya Wakristo

25 Januari Papa Francisko ataongoza masifu ya ya jioni katika hitimisho la Juma la maombi kwa ajili ya Wakristo

Papa Francisko ataongoza Masifu ya Jioni tarehe 25 Januari 2018!

15/01/2018 15:45

Tarehe 25 Januari 2018 saa 11.30 za jioni masaa ya Ulaya katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo,mjini Roma,Baba Mtakatifu Francisko ataadhimisha masifu ya jioni katika Sikukuu ya Uongofu wa Mtakatifu Paulo mtume wa watu,ikiwa ni hitimisho la Juma la Kuombea Umoja wa Wakristo Kanisa Kuu Mt.Paulo 

 

Baba Mtakatifu Francisko amebainisha na kuonesha uhuru wa Roho ambayo uleta makubaliano, na mwisho wapagani kuweza kuwa sehemu ya Kanisa

Baba Mtakatifu Francisko amebainisha na kuonesha uhuru wa Roho ambayo uleta makubaliano, na mwisho wapagani kuweza kuwa sehemu ya Kanisa

Papa: Roho ya Mungu inaunganisha Kanisa, itikadi zinagawa Kanisa

19/05/2017 16:45

Baba Mtakatifu Francisko amebainisha na kuonesha uhuru wa Roho ambayo ilifikia makubaliano na mwisho wapagani wakafanya sehemu ya Kanisa bila kipitia sheria ya kutahiriwa.Kwa njia hiyo ndiyo ikaanza Mtaguso wa kwanza wa Kanisa maana ni Roho Mtakatifu inayounganisha Papa na Maaskofu