Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Mtakatifu Josefina Bakhita

Vijana wanasema, wao ni waathirika wakubwa wa biashara ya binadamu na utumwa mamboleo uhalifu mkubwa dhidi ya utu na heshima ya binadamu.

Vijana wanasema, wao ni waathirika wakubwa wa biashara ya binadamu na utumwa mamboleo, uhalifu mkubwa dhidi ya utu, heshima na haki msingi za binadamu.

Vijana pia ni wahanga wa biashara ya binadamu na utumwa mamboleo

17/03/2018 09:21

Utumwa mamboleo ni uhalifu dhidi ya utu, heshima na haki msingi za binadamu. Ni janga linalogusa undani wa "Madonda ya Fumbo la Mwili wa Kristo, yaani Kanisa. Vijana wanasema, wao ni waathirika wakuu wa utamaduni wa kifo na uvunjwaji wa haki msingi za binadamu! Wanataka Kanisa kuwasikiliza!

Papa Francisko akisalimiana na vijana walioudhuria Siku ya sala na uhamasishaji kimataifa kuhusu biashara haramu ya watumwa

Papa Francisko akisalimiana na vijana walioudhuria Siku ya sala na uhamasishaji kimataifa kuhusu biashara haramu ya watumwa

Papa Francisko:inahitaji ujasiri kufichua wanafiki wa biashara ya watumwa!

13/02/2018 15:44

Papa Francisko amebadilishana mawazo na baadhi ya washiriki wa Mkutano ya Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Biashara haramu ya binadamu na utumwa mamboleo. Amejibu maswali mengi kuhusu: unyanyasaji kijinsia, uonevu, shule za picha za ngono katika mitandao,kifolaini na sintofahamu!

 

Biashara haramu ya binadamu na utumwa mamboleo una madhara makubwa katika utu, heshima na haki msingi za binadamu!

Biashara haramu ya binadamu na utumwa mamboleo vina madhara makubwa katika utu, heshima na haki msingi za binadamu.

Mt. Bakhita ni kielelezo cha mapambano dhidi ya utumwa mamboleo!

12/02/2018 09:36

Maadhimisho ya kumbu kumbu ya Mtakatifu Josefine Bakhita ni changamoto endelevu kwa Jumuiya ya Kimataifa kuhakikisha kwamba, inasimama kidete ili kupmbana kufa na kupona na biashara haramu ya binadamu na utumwa mamboleo, madonda makubwa katika utu, maisha na haki msingi za binadamu!

Utumwa mamboleo ni uhalifu dhidi ya utu, heshima na haki msingi za binadamu!

Utumwa mamboleo ni uhalifu dhidi ya utu, heshima na haki msingi za binadamu

Biashara ya binadamu na utumwa mamboleo ni uhalifu dhidi ya ubinadamu

10/02/2018 17:44

Biashara haramu ya binadamu na utumwa mambo leo ni uhalifu mkubwa dhidi ya utu, heshima na haki msingi za binadamu; mambo ambayo wakati mwingine yanafumbiwa na jamii, lakini umefika wakati kwa Jumuiya ya Kimataifa kuhakikisha kwamba, inatokomeza kabisa biashara ya binadamu na athari zake.

Papa Francisko anawataka waamini pamoja na watu wenye mapenzi mema kuungana ili kutokomeza biashara ya binadamu na utumwa mamboleo.

Papa Francisko anawataka waamini pamoja na watu wenye mapenzi mema kuunganisha nguvu ili kutokomeza biashara haramu ya binadamu na utumwa mamboleo unaonyanyasa na kudhalilisha utu na heshima ya binadamu!

Siku ya Kupambana na biashara haramu ya binadamu na utumwa mamboleo

07/02/2018 16:12

Baba Mtakatifu Francisko anasema, tarehe 8 Februari, Kumbu kumbu ya Mtakatifu Josefina Bhakita, Mama Kanisa anaadhimisha pia Siku ya Kupambana na Biashara Haramu ya Binadamu na Utumwa mamboleo unaoendelea kunyanyasa na kudhalilisha utu na heshima ya binadamu hasa kwa nyakti hizi!