Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Mtakatifu Gabrieli wa Mateso

Papa Francisko kutembelea Panama kuanzia tarehe 23-27 Januari 2019 kwa ajili ya Maadhimisho ya Siku ya XXXIV ya Vijana Duniani.

Papa Francisko kutembelea Panama kuanzia tarehe 23.27 Januari 2019 ili kuhudhuria maadhimisho ya Siku ya XXXIV ya Vijana Duniani kwa Mwaka 2019.

Papa Francisko kushiriki Siku ya XXXIV ya Vijana Duniani 2019 Panama

10/07/2018 09:35

Baba Mtakatifu Francisko amekubali mwaliko kutoka kwa viongozi wa Serikali ya Panama pamoja na Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Panama na kwamba, atakuwepo nchini humo kuanzia tarehe 23-27 Januari 2019 ili kushiriki kikamilifu katika maadhimisho ya Siku ya XXXIV ya Vijana Duniani kwa Mwaka 2019.

Papa Francisko anasema, utakatifu wa maisha daima unalipyaisha Kanisa.

Papa Francisko anasema, utakatifu wa maisha daima unalipyaisha Kanisa.

Papa Francisko: Utakatifu wa maisha unalipyaisha Kanisa!

12/05/2018 17:00

Baba Mtakatifu Francisko anasema, wakati huu Mama Kanisa anapoendelea na maandalizi ya maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana, anawataka vijana kukumbataia na kuambaya utakatifu wa maisha kwani utakatifu ndio unaoliwezesha Kanisa kuendelea kuonekana kama kijana daima!