Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Mtakatifu Benedikto, Abate, Msimamizi wa Ulaya

Papa Francisko anaikumbusha Jumuiya ya Ulaya kwamba, misingi yake inafumbatwa katika Ukristo

Papa Francisko anaikumbusha Jumuiya ya Ulaya kwamba, misingi ya utambulisho wake inafumbatwa katika Ukristo!

Misingi ya Umoja wa Jumuiya ya Ulaya inafumbatwa katika Ukristo!

11/07/2017 16:06

Kwa mara nyingine tena, Baba Mtakatifu katika maadhimisho ya kumbu kumbu ya Mtakatifu Benedikto Mkuu, Abate na Msimamizi wa Bara la Ulaya, anawakumbusha viongozi wa Jumuiya ya Ulaya umuhumu wa kuendeleza utambulisho wa Jumuiya ya Ulaya unaojikita katika Ukristo!

Mapadre onesheni na kushuhudia utakatifu wa maisha kwa njia ya huduma makini kwa watu!

Mapadre onesheni na kushuhudia utakatifu wa maisha kwa njia ya huduma makini, maisha ya sala, na maadhimisho ya mambo matakatifu.

Kardinali Stella, toeni harufu nzuri ya utakatifu wa maisha kila siku!

21/04/2017 13:16

Mama Kanisa anapenda kuwahamasisha waamini wote, lakini zaidi wakleri kuhakikisha kwamba, kila siku ya maisha yao inapaswa kwa ushuhuda wa utakatifu wa maisha unaojikita katika sala, tafakari ya kina ya Neno la Mungu, huduma na uwajibikaji makini pamoja na maadhimisho ya Sakramenti!