Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Mtaguso Mkuu II wa Vatican

Mtaguso Mkuu wa Pili wa Vatican ulikuwa ni dira na mwongozo wa maisha na utume wa Papa Yohane Paulo II.

Mtaguso Mkuu wa Pili wa Vatican ulikuwa ni dira na mwongozo wa maisha na utume wa Papa Yohane Paulo II

Mtakatifu Yohane Paulo II: Urithi, amana na utume wake!

28/04/2018 14:55

Mafundisho ya Matguso mkuu wa Pili wa Vatican yalikuwa ni dira na mwongozo wa maisha na utume wa Mtakatifu Yohane Paulo II kama Khalifa wa Mtakatifu Petro. Alitoa kipaumbele cha kwanza kwa utu, heshima, ustawi, maendeleo na mafao ya wengi hata katika udhaifu wake wa mwili.

 

Papa Francisko: Wosia wa kitume: Furahini na kushangilia, wito wa utakatifu katika ulimwengu mamboleo!

Papa Francisko. Wosia wa kitume: Furahini na kushangilia, wito wa utakatifu katika ulimwengu mamboleo.

Papa: Wosia wa kitume: Furahini na kushangalia, wito wa utakatifu!

10/04/2018 15:42

Baba Mtakatifu Francisko katika Wosia wake wa Kitume "Gaudete et exsultate" yaani "Furahini na kushangilia, wito wa utakatifu wa maisha, anawaalika waamini na watu wote wenye mapenzi mema kufurahi na kushangilia katika Kristo Yesu, chemchemi ya maisha na furaha ya kweli katika utakatifu!

Askofu mkuu mstaafu Josaphat Louis Lebulu katika maisha na utume wake amekazia sana dhana ya sinodi na familia ya Mungu, sehemu muhimu ya uinjilishaji

Askofu mkuu mstafu Josaphat Louis Lebulu wa Jimbo kuu Katoliki la Arusha, Tanzania katika maisha na utume wake, amekazia sana umuhimu wa kumwilisha dhana ya Sinodi na Familia ya Mungu katika maisha na utume wa Kanisa.

Askofu mkuu mstaafu Lebulu: "Dhana ya Sinodi" & "Familia ya Mungu"

06/04/2018 08:50

Askofu mkuu mstaafu Josaphat Louis Lebulu wa Jimbo kuu la Arusha nchini Tanzania katika maisha na utume wake kama Askofu alipenda kukazia "dhana ya Sinodi" kama jukwaa linaloikutanisha familia ya Mungu ili kusali, kutafakari, kupanga, kuamua na kutekeleza sera na mikakati ya utume wa Kanisa.

Mwenyeheri Paulo VI kutangazwa kuwa Mtakatifu mwaka 2018

Mwenyeheri Paulo VI kutangazwa kuwa Mtakatifu mwaka 2018.

Mwenyeheri Paulo VI & Oscar Romero kutangazwa watakatifu mwaka 2018

12/03/2018 12:02

Wakati huu Mama Kanisa anapoendelea kujizatiti zaidi katika kuimarisha Injili ya uhai dhidi ya utamaduni wa kifo, Baba Mtakatifu Francisko ameridhia kwamba, Mwenyeheri Paulo VI aliyesimama kidete kutangaza Injili ya uhai pamoja na Askofu mkuu Oscar Romero watangazwe kuwa watakatifu mwaka 2018

Makanisa Barani Afrika yanapaswa kuwa ni mashuhuda wa Injili ya huduma ya upendo kwa maskini na wanaoteseka!

Makanisa Barani Afrika yanapaswa kuwa ni mashuhuda wa Injili ya Upendo inayomwilishwa katika huduma kwa maskini na wale wote wanaosukumizwa pembezoni mwa jamii.

Uekumene wa huduma kama ushuhuda wenye mvuto katika uinjilishaji

05/03/2018 10:27

Mababa wa Mtaguso Mkuu wa Pili wa Vatican wanawahamasisha Wakristo kuhakikisha kwamba, wanashiriki kikamilifu katika ujenzi wa Ufalme wa Mungu unaosimikwa katika haki, amani, upendo na maridhiano kati ya watu! Wakristo wawe ni vyombo na mashuhuda wa Injili ya upendo kwa watu wa Mungu.

Kanisa linatangaza na kufundisha kuhusu uhuru na haki ya kidini kama msingi wa haki zote za binadamu!

Kanisa linatangaza na kufundisha kuhusu uhuru wa kidini kama msingi wa haki zote za binadamu!

Uhuru wa kuabudu ni nguzo ya haki msingi za binadamu!

02/02/2018 07:45

Mababa wa Mtaguso Mkuu wa Pili wa Vatican walikazia sana umuhimu wa kujenga utamaduni wa kuheshimu utu wa binadamu na haki zake msingi, mambo yanayojenga na kuimarisha mafungamano ya kifamilia na kijamii, ili kukuza na kudumisha ukweli, haki na mapendo, kwa kuzingatia dhamiri nyofu!

25 Januari 2018, kumezinduliwa kitengo cha Gaudium et Spes katika Taasisi ya Kipapa ya Yohane Paulo II, Roma

25 Januari 2018, kimezinduliwa kitengo cha Gaudium et Spes katika Taasisi ya Kipapa ya Yohane Paulo II Roma

Ujumbe wa Papa Francisko kwa Tukio la Uzinduzi wa Kitengo kipya

26/01/2018 09:40

Tarehe 25 Januari 2018 katika Taasisi ya Kipapa ya Taalimungu na Sayansi ya ndoa na Familia ya Yohane Paulo II,imezinduliwa Fani mpya ya Gaudium et Spes,Hati ya  kichungaji inayohusu Kanisa katika ulimwengu.Na Baba Mtakatifu Francisko ametuma ujumbe wake kwa Askofu Vincenzo Paglia

 

 

Papa Francisko anakipongeza Chama cha Taalimungu Italia kwa kushiriki kikamilifu katika maisha na utume wa Kanisa kwa njia ya tafiti na pembuzi!

Papa Francisko anakipongeza Chama cha Taalimungu Italia kwa kushiriki kikamilifu katika maisha na utume wa Kanisa kwa njia ya tafiti makini na pembuzi yakinifu ambazo zimesaidia kulipyaisha Kanisa.

Taalimungu isaidie kulipyaisha Kanisa kwa kuzingatia imani na utume!

29/12/2017 15:04

Baba Mtakatifu Francisko anawataka wanataalimungu kuzama katika imani ya watu wa Mungu, ili kwa njia ya akili, watu waweze kuamini kile ambacho wamekielewa, ili kuzima kiu ya udadisi; tayari kulipyaisha Kanisa kwa kutangaza na kushuhudia Injili ya Kristo katika uhalisia wa maisha ya watu!