Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Mt. Maximillian Maria Kolbe

Mtu akitaka kumfuasa Kristo kwa dhati kabisa hana budi kujikana mwenyewe na kuubeba vyema Msalaba wake!

Mtu akitaka kumfuasa Kristo kwa dhati kabisa, hana budi kujikana mwenyewe na kuubeba vyema Msalaba wake.

Ujasiri wa kuacha yote na kuthubutu kumfuasa Kristo!

30/08/2017 17:22

Tafakari ya Neno la Mungu, Jumapili ya XXII ya Mwaka A wa Kanisa inatoa changamoto kwa waamini kujikana wenyewe, kuacha yote na kuthubutu kumfuasa Kristo, tayari kushiriki katika maisha na utume wake wa kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu hadi miisho ya dunia! Hapa yataka moyo!

 

Maadhimisho ya Mwaka wa Padre Tanzania: kutambua ukuu na utakatifu wa Daraja Takatifu ya Upadre

Maadhimisho ya Mwaka wa Padre Tanzania: kutambua na kuthamini ukuu wa DarajaTakatifu ya Upadre katika maisha na utume wa Kanisa.

Yaliyojiri kilele cha maadhimisho ya Mwaka wa Padre Tanzania!

16/08/2017 14:00

Maadhimisho ya Mwaka wa Padre nchini Tanzania imekuwa ni nafasi ya kutafakari: maisha, wito, dhamana, ukuu na utakatifu wa Daraja Takatifu ya Upadre katika maisha na utume wa Kanisa ndani na nje ya Tanzania. Kimekuwa ni kipindi cha kuhamasisha miito ya Daraja Takatifu ya Upadre!

Mtakatifu Maximilian Maria Kolbe ni shuhuda wa utume na upendo kwa jirani hata katika kifo!

Mtakatifu Maximilian Maria Kolbe ni shuhuda wa utume na upendo kwa jirani hata katika kifo!

Mtakatifu Maximilian Kolbe mfano bora wa utume na upendo kwa jirani

14/08/2017 08:55

Kanisa ni sakramenti ya wokovu ndiyo maana linapenda kujibidisha katika mchakato wa kukuza na kudumisha misingi ya haki, amani, upendo na mshikamano kati ya watu! Changamoto inayopaswa kuvaliwa njuga na vijana wa kizazi kipya ili waweze kuwa ni mashuhuda wa amani duniani!

Mwaka wa Padre Tanzania: Malezi, maisha, utume na mambo msingi ya kuzingatiwa na Mapadre wenyewe!

Mwaka wa Padre Tanzania: Malezi: awali na endelevu; maisha, wito na utume pamoja na mambo msingi wanayopaswa kuzingatiwa na Mapadre.

Mwaka wa Padre Tanzania: Uchambuzi wa malezi, maisha na utume wake!

12/08/2017 12:36

Familia ya Mungu nchini Tanzania inaadhimisha Jubilei ya Miaka 150 ya Uinjilishaji Tanzania Bara sanjari na Jubilei ya Miaka 100 tangu Tanzania ilipopata Mapadre wa kwanza wazalendo. Leo hii tunaangalia: malezi, maisha, utume na mambo yanayopaswa kupewa kipaumbele cha kwanza na Mapadre!

Mwaka wa Padre Tanzania ukuze na kuimarisha utambulisho wa Padre Mkatoliki.

Mwaka wa Padre Tanzania ukuze na kuimarisha zaidi utambulisho wa Padre Mkatoliki anasema Askofu Michael Msonganzila wa Jimbo Katoliki la Musoma katika Barua yake ya kichungaji upendo kwa utume.

Mwaka wa Padre Tanzania: Utambulisho wa Padre Mkatoliki!

07/07/2017 17:28

Maadhimisho ya Mwaka wa Padre Tanzania iwe ni fursa ya kukuza na kuimarisha utambulisho wa Padre Mkalatoliki kwa njia ya ushuhuda wenye mvuto na mashiko kama walivyofanya watakatifu Marximilliano Maria Kolbe kwa kujisadaka kwa ajili ya huduma ya upendo kwa jirani zao!

Kanisa linawapongeza na kuwashukuru Wakleri waaminifu na wachapakazi wanaojisadaka kwa ajili ya Kristo na Kanisa lake.

Kanisa linawapongeza na kuwashukuru Wakleri wanaoendelea kujisadaka bila ya kujibakiza kwa ajili ya Kristo na Kanisa lake katika uaminifu na utakatifu wa maisha na utume wao.

Kanisa linawapongeza na kuwashukuru Mapadre waaminifu na wachapakazi!

18/10/2016 14:30

Baba Mtakatifu Francisko anawashukuru na kuwapongeza Wakleri wote wanaoendelea kujisadaka bila ya kujiachia kwa ajili ya huduma kwa Kristo na Kanisa lake licha ya hali ngumu na changamoto wanazokumbana nazo katika hija ya maisha na utume wao kama Mapadre!

Baba Mtakatifu Francisko anapenda kufanya hija ya huruma ya Mungu nchini Poland pamoja na vijana wa kizazi kipya!

Baba Mtakatifu Francisko anapenda kufanya hija ya huruma ya Mungu pamoja na vijana wa kizazi kipya kutoka sehemu mbali mbali za dunia.

Papa Francisko hujaji wa huruma ya Mungu nchini Poland

23/07/2016 08:15

Kardinali Pietro Parolin anasema, hija ya Baba Mtakatifu Francisko nchini Poland ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya XXXI ya Vijana Duniani anataka kuwasaidia vijana kuwa kweli ni vyombo na mashuhuda wa huruma ya Mungu sanjari na maadhimisho ya Jubilei ya miaka 1050 ya Ukristo Poland.

Jirani yangu ni nani?

Jirani yangu ni nani?

Hao maskini unaowaonea kinyaa ndio jirani zako!

09/07/2016 14:38

Mtakatifu Yohane Paulo II anasema, hakuna aliye tajiri kiasi kwamba hana haja ya kupewa chochote kutoka kwa wengine na aliye maskini kwamba hana hata kitu cha kuweza kutoa kwa wengine. Binadamu wanahitajiana na kukamilishana katika safari ya maisha yao hapa duniani!