Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Mt. Antony wa Padua

Tarehe 12 -15 Aprili kongamano la 62 la Waseminari nchini Italia, na kuanzia 28 Aprili hadi Mei Mosi Kongamano la Vijana wamissionari-R

Tarehe 12 -15 Aprili kongamano la 62 la Waseminari nchini Italia, na kuanzia 28 Aprili hadi Mei Mosi Kongamano la Vijana wamisionari huko Sacrofano -Roma

Kongamano la 62 kitaifa la Waseminari kuanzia 12-15 Aprili huko Padua!

11/04/2018 13:29

Tarehe 12 -15 Aprili litafanyika Kongamano la 62 la kitaifa kwa Waseminari nchini Italia litakalofanyika  huko Padua;na kuanzia 28 Aprili hadi Mei Mosi litafanyika Kongamano la Vijana wamisionari huko Sacrofano-Roma likiongozwa na kauli mbiu:lakini kwakuwa umesema nitatupa ndoto zangu

 

Waamini waalikwa wajitose ulingoni kuuchumilia utakatifu

Waamini waalikwa wajitose ulingoni kuuchuchumilia utakatifu katika maisha ya kila siku

Waamini msiishie utazamaji, jitoseni ulingoni kuchuchumilia utakatifu

14/06/2017 14:16

Kardinali Leonardo Sandri, Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa kwa ajili ya Makanisa ya Mashariki, awaalika waamini katika kumbukumbu ya mtakatifu Antoni wa Padua, kutoishia kushabikia watakatifu, bali wajitose pia ulingoni ili kuchuchumilia utakatifu katika maisha ya kila siku.

Mt. Antony wa Padua ni shule ya ibada kwa Bikira Maria na huduma kwa wahitaji

Mt. Antony wa Padua awe mfano kwa wakristo kuwa na ibada kwa Bikira Maria na kuzaa matunda bora katika kuhudumia wahitaji

Mt. Antony wa Padua shule ya ibada kwa Maria na huduma kwa wanyonge

07/06/2017 14:29

Padre Oliviero Svanera, Mhudumu mkuu wa Kanisa kuu la Mt. Antony, Padua, anawaalika wakristo kujifunza kutokana na maisha ya Mt. Antony wa Padua, wawe mashahidi wa ibada kwa Mama Bikira Maria na kuzaa matunda bora na ya kudumu katika huduma kwa wanyonge.