Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Mshikamano wa sala kwa ajili ya Papa Francisko

Miaka 5 ya maisha na utume wake, Papa Francisko anawaalika waamini na watu wenye mapenzi mema kumsindikiza kwa sala na sadaka zao!

Miaka 5 ya maisha na utume wake, Papa Francisko anaendelea kuwaalika waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kumsindikiza katika maisha na utume wake kama Khalifa wa Mtakatifu Petro!

Miaka 5 tangu Papa Francisko achaguliwe kuliongoza Kanisa Katoliki!

12/03/2018 10:16

Tangu mwanzo wa maisha na utume wake kama Khalifa wa Mtakatifu Petro, Baba Mtakatifu Francisko amekuwa daima akiwaomba waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kumsindikiza kwa sala na sadaka zao ili aweze kutekeleza vyema dhamana na wajibu wake kwa Kanisa la Kristo!