Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Msamaha

Roho Mtakatifu ni paji la Mungu. Anatakasa, anahuisha, anatakasa Kanisa na ni Sakramenti ya umoja wa Utatu Mtakatifu na wa watu.

Roho Mtakatifu ni paji la Mungu. Anajenga, anahuisha na kulitakasa Kanisa; ni Sakramenti ya umoja wa Utatu Mtakatifu na wa watu!

Sherehe ya Pentekoste, kuzaliwa kwa Kanisa!

16/05/2018 15:44

Nasadiki kwa Roho Mtakatifu, Bwana mleta uzima: atokaye kwa Baba na Mwana. Anayeabudiwa na kutukuzwa pamoja na Baba na Mwana: aliyenena kwa vinywa vya Manabii. Hii ndiyo imani ya Kanisa juu ya Roho Mtakatifu, Nafsi ya Tatu katika Fumbo la Utatu Mtakatifu; Sakramenti ya Umoja!

 

Papa Francisko katika maadhimisho ya kumbu kumbu ya miaka mitano ya maisha na utume wake kama Khalifa wa Mt. Petro anawashukuru wananchi wa Argentina.

Papa Francisko katika maadhimisho ya kumbu kumbu ya miaka mitano tangu alipochaguliwa kuliongoza Kanisa Katoliki anawashukuru wananchi wa Argentina, anawaomba msamaha, sala na kuwaalika kushiriki katika maisha na utume wake.

Papa Francisko awaandikia wananchi wa Argentina barua ya shukrani!

19/03/2018 07:59

Baba Mtakatifu Francisko, tarehe 19 Machi 2019 anapoadhimisha kumbu kumbu ya miaka mitano tangu alipochaguliwa kuliongoza Kanisa Katoliki, amewaandikia barua wananchi wa Argentina akiomba: sala na msamaha; akiwataka kushiriki katika maisha na utume wake kama Khalifa wa Mt. Petro.

Yesu Kristo aliteswa  na kufa Msalabani ili kuwakomboa wanadamu kutoka katika lindi la dhambi na mauti!

Kristo Yesu aliteswa na kufa Msalabani ili kuwaokomboa watu kutoka katika lindi la dhambi na mauti.

Kwaresima ni kipindi cha mapambano dhidi ya dhambi na mauti!

10/03/2018 06:30

Kristo Yesu hana budi kuinuliwa ili kila mtu aaminiye awe na uzima wa milele katika Yeye. Fumbo la Umwilisho linalopata utimilifu wake katika Fumbo la Pasaka linalenga kumkomboa mwanadamu kutoka katika lindi la dhambi na mauti! Kristo ni mpatanishi kati ya Mungu na binadamu na kati yao wenyewe!

Hekima ya Mungu inafumbatwa katika nguvu ya Msalaba wa Kristo Yesu!

Hekima ya Mungu inafumbatwa katika nguvu ya Msalaba wa Kristo Yesu.

Huruma ya Mungu ni muhtasari wa historia ya ukombozi!

09/03/2018 17:08

Kanisa linaungama na kufundisha kwamba, "kwa ajili yetu sisi wanadamu na kwa ajili wokovu wetu" Yesu aliteswa, akafa Msalabani na hatimaye akafufuka siku ya tatu kadiri ya Maandiko Matakatifu, ili kuwapatanisha watu na Baba yake wa mbinguni. Kristo Yesu ni ufunuo wa huruma na upendo wa Mungu!

 

Papa Francisko anawataka waamini kuchunguza vyema dhamiri zao na hivyo kukimbilia Kiti cha huruma na upendo wa Mungu katika maisha yao.

Papa Francisko anawataka waamini kukimbilia Kiti cha huruma na upendo wa Mungu katika maisha yao, ili waweze kujipatanisha na Mungu pamoja na jirani zao.

Papa Francisko: Ungama dhambi zako na wala si za jirani yako!

06/03/2018 14:55

Baba Mtakatifu Francisko anasema, hekima na busara ya kikristo inamtuma mwamini kuchunguza vyema dhamiri yake mbele ya Mwenyezi Mungu katika ukweli na uwazi na hivyo kuwa naujasiri wa kukimbilia kiti cha huruma na upendo wa Mungu na wala si kuungama dhambi za jirani yake! Hii si kazi yake!

Papa Francisko asema: huruma, msamaha na upatanisho ni kati ya mafundisho makuu ya Kristo Yesu kwa wafuasi wake.

Papa Francisko asema: huruma, msamaha na upatanisho ni kati ya mafundisho makuu ya Kristo Yesu kwa wafuasi wake.

Papa Francisko: huruma na msamaha ni mafundisho makuu ya Yesu

18/09/2017 10:09

Baba Mtakatifu Francisko anasema, huruma, msamaha na upatanisho ni kati ya mafundisho makuu ya Yesu yanayopatika kwa muhtasari katika Sala kuu ya Baba Yetu! Huu ni mwaliko kwa wale wote walionja huruma na upendo wa Mungu kuwa ni mashuhuda na vyombo vya huruma ya Mungu kwa jirani zao!

Watu wana kiu ya haki, amani na upatanisho na wala si vita!

Watu wana kiu ya haki, amani na upatanisho na wala si vita!

Watu wana kiu ya amani duniani!

05/08/2017 17:36

Baraza la Maaskofu Katoliki Japan linasema, familia ya Mungu duniani ina kiu ya amani ya kweli na endelevu  na wala si vita, ghasia na mipasuko ya kijamii. Kumbe, waamini wanahamasishwa kuwa kweli ni mashuhuda na vyombo vya Injili ya amani duniani, kwani vita ni chanzo cha maafa ya binadamu!

Siku kuu ya Msamaha wa Assisi ni mwaliko wa kukimbilia huruma na upendo wa Mungu katika maisha.

Siku kuu ya Msamaha wa Assisi ni wakati muafaka wa kukimbilia huruma na upendo wa Mungu katika maisha.

Kardinali Parolin: Kiteni maisha yenu katika toba na wongofu wa ndani

03/08/2017 15:54

Kardinali Pietro Parolin anawaalika waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kukita maisha yao katika toba, wongofu wa ndani na unyenyekevu kama sehemu ya masharti ya kuweza kupata furaha na maisha ya uzima wa milele yanayotolewa na Mwenyezi Mungu kwa njia ya Fumbo la Pasaka.