Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Mpango Mkakati wa Saa 24 kwa ajili ya Bwana

Papa Francisko asema, wema na huruma ya Mungu haina mipaka kwa waja wake!

Papa Francisko asema, wema na huruma ya Mungu kwa waja wake hauna mipaka hata kidogo.

Papa Francisko: Upendo na huruma ya Mungu kwa binadamu haina mipaka!

12/03/2018 11:22

Baba Mtakatifu Francisko anawaalika waamini kujenga utamaduni wa kukimbilia daima kwenye huruma ya Mungu ili kuweza kujipatanisha na Mungu pamoja na jirani zao kwa kutambua kwamba, wema, huruma na msamaha wa Mungu kwa binadamu unavuka hata ubaya na wingi wa dhambi zao!

Mpango Mkakati wa Saa 24 kwa ajili ya Bwana ni muda wa sala, tafakari na upatanisho!

Mpango Mkakati wa Saa 24 kwa ajili ya Bwana ni muda muafaka wa sala, tafakari na upatanisho kwa Mungu na jirani ili kuwa kweli ni mashuhuda wa huruma ya Mungu na vyombo vya uinjilishaji wa kina!

Mpango mkakati wa saa 24 kwa ajili ya Bwana, muda wa kukesha na Kristo

08/03/2018 15:00

Baba Mtakatifu Francisko anasema, "Mpango mkakati wa saa 24 kwa ajili ya Bwana ni matunda ya maadhimisho ya Mwaka wa Huruma ya Mungu, yanayopaswa kuendelezwa na kumwilishwa katika maisha na utume wa Kanisa ili kuonja tena na tena huruma na upendo wa Mungu kwa waja wake!