Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Moyo Mtakatifu wa Yesu

Imani kwa Kristo Yesu ni chemchemi ya uhai na maisha mapya anasema Baba Mtakatifu Francisko!

Imani kwa Kristo Yesu ni chemchemi ya uhai na maisha mapya kutoka kwa Kristo Yesu, anasema, Baba Mtakatifu Francisko.

Papa Francisko asema: Imani kwa Kristo ni chemchemi ya maisha mapya!

02/07/2018 10:49

Baba Mtakatifu Francisko anasema, Mwinjili Marko anaweka tukio la Yesu kumponya Binti Yairo na yule mwanamke mgonjwa aliyekuwa anatokwa damu kwa muda wa miaka kumi na miwili, kuwa ni safari ya kishindo kuendelea Injili ya uhai na maisha mapya yanayobubujika kutokana na imani kwa Kristo Yesu!

Damu Azizi ya Kristo Yesu ni mto wa rehema: shule ya huruma, msamaha, upatanisho, upendo na utakatifu wa maisha!

Damu Azizi ya Kristo Yesu ni mto wa rehema, shule ya huruma, msamaha, upatanisho, upendo na utakatifu wa maisha!

Tasaufi ya Damu Azizi ya Yesu ni shule ya huruma, msamaha na upendo!

02/07/2018 07:21

Tasaufi ya Damu Azizi ya Yesu ni shule ya huruma ya Mungu kwa binadamu; msamaha ulioletwa na Kristo Yesu kwa kumwaga damu yake Azizi Msalabani na hivyo ikawa ni sadaka ya upatanisho kati ya Mungu na binadamu! Damu Azizi ya Kristo ni mto wa rehema na upendo wa Mungu kwa binadamu!

Sherehe ya Moyo Mtakatifu wa Yesu: Ni Siku ya Kuombea Toba, Wongofu na Utakatifu wa Mapadre duniani.

Sherehe ya Moyo Mtakatifu wa Yesu: Siku ya Kuombea: Toba, Wongofu na Utakatifu wa Maisha ya Mapadre Duniani.

Siku ya Kuombea Wongofu na Utakatifu wa Mapadre Duniani 2018

07/06/2018 10:22

Baba Mtakatifu Francisko anawaalika waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kukuza na kudumisha Ibada kwa Moyo Mtakatifu wa Yesu, chemchemi ya huruma na upendo wa Mungu kwa binadamu! Anawahimiza kusali, kuwaombea na kuwasindikiza Mapadre wao katika utakatifu wa maisha!

Papa Francisko anawataka wananchi wa Chile kuwa ni mashuhuda na vyombo vya Injili ya haki, amani na upatanisho wa kitaifa!

Papa Francisko anawataka waanchi wa Chile kuwa ni mashuhuda na vyombo vya haki, amani na upatanisho wa kitaifa!

Papa: Heri wapatanishi na wenye kiu ya haki, wataitwa wana wa Mungu!

16/01/2018 15:49

Baba Mtakatifu Francisko anawaalika wananchi wa Chile kuwa ni vyombo na mashuhuda wa upatanisho ili kujenga amani na umoja wa kitaifa, chemchemi ya kweli katika maisha. Wale wote wanaotamani amani, wanapaswa kujizatiti kuitafuta na kuimwilisha katika haki inayozingatia utu na heshima ya binadamu!