Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Monsinyo Dario Edoardo Viganò

Watumiaji wa Mtandao wa "Vatican News" wamefikia zaidi ya milioni 4.

Watumiaji wa Mtandao wa Vatican News hadi sasa wamefikia zaidi ya milioni 4.

Watu milioni 4 wanafuatilia mtandao wa "Vatican New"

10/01/2018 09:39

Matunda ya mchakato wa mageuzi na maboresho ya vyombo vya mawasiliano ya jamii vinavyomilikiwa na kuendeshwa na Vatican yanaanza kuonekana baada ya kuanzishwa kwa mtandao wa "Vatican News" unaowawezesha watu kupata habari mbali mbali kwa urahisi zaidi kutoka ndani na nje ya Vatican.

 

Papa Francisko: Jengeni utamaduni wa kusikiliza na kukutana na watu, ili kuwaonjesha furaha ya Injili!

Papa Francisko: Jengeni utamaduni wa kukutana na watu ili kuwaonjesha furaha ya Injili!

Jengeni utamaduni wa kusikiliza kwa makini, ili mtende kwa haki!

28/12/2017 07:31

Baba Mtakatifu Francisko anaitaka familia ya Mungu kujenga utamaduni wa kusikiliza na kusikilizana kwa makini, ili kuguswa na mahangaiko ya jirani, tayari kujibu kilio na mahangaiko haya kwa njia ya ushuhuda wa haki, amani, upendo na mshikamano; nguzo thabiti za haki msingi za binadamu!

Matunda ya mageuzi makubwa yanayofanywa na Papa Francisko kwa kutoa ajira za kudumu kwa wafanyakazi wa Sekretarieti ya Mawasiliano mjini Vatican.

Matunda ya mageuzi makubwa yanayofanywa na Baba Mtakatifu Francisko yameanza kuonekana kwa Vatican kutoka ajira ya kudumu kwa wafanyakazi kadhaa ya Sekretarieti ya mawasiliano mjini Vatican.

Wafanyakazi wa Sekretarieti ya Mawasiliano waungama na kula kiapo!

20/12/2017 07:00

Matunda ya mchakato wa mageuzi yanayofanywa na Baba Mtakatifu Francisko kwenye Sekretarieti kuu yaanza kuonekana kwa baadhi ya wafanyakazi 44 wa Sekretarieti ya Mawasiliano mjini Vatican waliotumikia kwa muda mrefu kula kiapo na kukiri Kanuni ya Imani kama sehemu ya masharti ya ajira ya kudumu!

Kitabu cha Askofu Mkuu Marchetto kizungumzia mabadiliko mbalimbali ya utume na maisha ya Kanisa kwa ujumla

Kitabu cha Askofu Mkuu Marchetto kizungumzia mabadiliko mbalimbali ya utume na maisha ya Kanisa kwa ujumla, hususani mahusiano kati ya Kiti cha Khalifa wa Mtume Petro na Upamoja wa Sinodi ya Maaskofu.

Kitabu cha Ask.Marchetto ni utafiti wa kutafsiri Mafundisho ya Mtaguso wa II!

27/10/2017 10:53

Monsinyo Viganò anasema,inawezekana kitabu hiki kikawa utafiti wa mwisho wa Askofu Mkuu Marchetto kuzingatia umri wake,kwani utafiti unahitaji nguvu za kutosha ili kutoa majibu yenye kufaa na kuboresha.Kitabu kizungumzia mabadiliko mbalimbali ya utume na maisha ya Kanisa kwa ujumla

 

 

 

Wakristo wanahamasishwa kuchuchumilia utakatifu wa maisha kama kilele cha maisha yao hapa duniani!

Wakristo wanahamasishwa kuchuchumilia utakatifu wa maisha kama kilele cha maisha yao hapa duniani.

Chuchumilieni utakatifu kama kielelezo cha maisha na utume wenu!

17/10/2017 10:10

Wakristo wanaitwa na kutumwa kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu inayobubujika kutoka katika fumbo la maisha na utume wa Kristo Yesu, aliyeteswa, akafa na kufufuka kwa wafu! Utakatifu wa maisha liwe ni lengo kuuu katika safari ya mwamini hapa duniani! Changamoto endelevu!

Historia ya Nabii Yona ni kama historia ya kila mmoja.Lakini Mungu ni mwenye huruma anasemehe na kuokoa

Historia ya Nabii Yona ni kama historia ya kila mmoja.Lakini Mungu ni mwenye huruma anasemehe na kuokoa

Mons. Vigano':Historia ya Nabii Yona ni kama historia ya kila mmoja

10/10/2017 16:03

Mons. Dario Vigano' Mwenyekiti wa Sekretarieti ya Mawasiliano Vatican ametafakari somo la siku ya Jumatatu 10 Oktoba 2017 kuhusu historia ya Nabii Yona. Anasema,wameunganika kwa pamoja na furaha ili kustaajabia upendo wa Mungu alionao na kuendelea kutimiza ile historia ya binadamu 

 

Kanisa limechangia kwa kiasi kikubwa kukua na kuendelea kwa sinema kama chombo cha mawasiliano.

Kanisa limechangia kwa kiasi kikubwa kukua na kuendelea kwa Sinema kama chombo cha mawasiliano.

Mchango wa Kanisa katika kukuza Sinema kama njia ya mawasiliano

03/10/2017 15:19

Kanisa kwa nyakati mbali mbali tangu kuibuka kwa sinema kama njia ya mawasiliano ya jamii inayogusa undani wa mtu na kumwezesha mtazamaji kupanua wigo wa ufahamu wake. Sinema imechangia watu kuwa karibu sana na Mwenyezi Mungu kiasi cha kugeuzwa kuwa ni vyombo vya huruma ya Mungu!

Msingi wa Radio Monsinyo Vigano anasema, Redio ina uwezo mkubwa wa uzalishaji inatosha tu kwenda katika  kipaza sauti  au simu na kusikika kila kona

Akielezea msingi wa Radio Monsinyo Vigano anasema, Redio ina uwezo mkubwa wa uzalishaji inatosha tu kwenda katika kipaza sauti au simu ili kuweza kwenda katika teknolojia ya mawimbi ya hewa.

Hotuba ya Mons. Vigano juu ya kipindi cha Fake News, kizingiti cha Radio

28/09/2017 16:21

Monsinyo Dario Vigano Mwenyekiti wa Sekretarieti ya Mawasiliano Vatican tarehe 28 Septemba 2017 ametoa hotuba yake katika Mkutano wa Kimataifa  Milano.Suala la uhandishi wa habari katika kipindi cha Fake news unazungukia msingi mmoja tu ambao ni  kuhakikisha  vyanzo vya habari.