Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Mkataba wa Kimataifa wa Usalama wa Wahamiaji

Jumuiya ya Kimataifa haina budi kushikamana kwa dhati ili kukabiliana na wimbi kubwa la wakimbizi na wahamiaji katika ukweli, uwazi na haki.

Jumuiya ya Kimataifa haina budi kshirikiana kwa dhati katika ukweli, uwazi pamoja kuzingatia haki msingi, utu na heshima ya binadamu katika kukabiliana na wimbi kubwa la wakimbizi na wahamiaji kwa wakati huu.

Sera na mikakati ya kukabiliana na wimbi kubwa la wakimbizi duniani

09/02/2018 07:34

Jumuiya ya Kimataifa haina budi kukabiliana na changamoto ya wimbi kubwa la wakimbizi na wahamiaji kwa kujikita katika misingi ya ukweli ma uwazi; kwa kuongeza fursa ya watu kupata  vibali halali vya uhamiaji hali ambayopia inaweza kuchangia ujenzi wa uhusiano mwema na jumuiya mahalia!

Siku ya wakimbizi na wahamiaji duniani kwa mwaka 2018: Jengeni madaraja ya kuwakutanisha watu katika huduma ya upendo!

Siku ya wakimbizi na wahamiaji duniani kwa mwaka 2018. Jengeni madaraja ya kuwakutanisha watu katika huduma ya umoja, upendo na udugu!

Siku ya Wakimbizi na Wahamiaji Duniani 2018: Onesheni mshikamano!

13/01/2018 14:55

Mama Kanisa anaadhimisha Siku ya Wakimbizi na Wahamiaji tarehe 14 Januari 2018 kwa kuangalia changamoto, matatizo na fursa mbali mbali zinazojitokeza katika huduma kwa wakimbizi na wahamiaji duniani kwa kutambua kwamba, kundi hili ni sehemu muhimu sana ya utume wake!

Papa Francisko anasema wahamiaji na wakimbizi ni watu wanaotafuta amani!

Papa Francisko katika ujumbe wake kwa Siku ya 51 ya Kuombea Amani Duniani kwa Mwaka 2018 anasema, wakimbizi na wahamiaji na watu wanaotafuta amani duniani.

Ujumbe wa Papa Francisko kwa Siku ya 51 ya Kuombea Amani Duniani 2018

30/12/2017 07:51

Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa Siku ya 51 ya Kuombea Amani Duniani inayoadhimishwa tarehe Mosi, Januari 2018 anatafakari kuhusu mateso, mahangaiko na changamoto ya wakimbizi na wahamiaji sehemu mbali mbali za dunia kwa kuwaalika watu kuguswa na mahangaiko yao!

Papa Francisko amezindua kampeni ya "Shiriki safari" na wakimbizi na wahamiaji duniani.

Papa Francisko amezindua kampeni ya Caritas Internationalis "Shiriki safari" pamoja na wakimbizi.

Papa Francisko azindua kampeni ya "Shiriki safari" na wahamiaji

28/09/2017 10:33

Shirikisho la Mashirika ya Misaada ya Kanisa Katoliki Kimataifa limezindua kampeni ya upendo na ukarimu kwa wahamiaji na wakimbizi sehemu mbali mbali za dunia, ili kuonesha upendo na mshikamano; kusimamia haki msingi za wakimbizi na wahamiaji pamoja na kulinda utu na heshima yao kama binadamu!

Vatican: Jumuiya ya Kimataifa haina budi kujielekeza zaidi katika utamaduni wa amani sanjari na maboresho ya maisha ya watu kwa kukazia maendeleo!

Vatican: Jumuiya ya Kimataifa haina budi kujikita katika utamaduni wa amani na maboresho ya maisha ya watu kwa kuzingatia kanuni msingi za maendeleo endelevu ya binadamu!

Vatican: Jumuiya ya Kimataifa ijielekeze katika amani na maisha bora

26/09/2017 10:27

Askofu mkuu Paul Richard Gallagher anasema, Jumuiya ya Kimataifa haina budi kujielekeza zaidi katika mchakato wa ujenzi wa utamaduni wa amani duniani sanjari na marekebisho ya maisha ya watu kwa kujikita katika utu, heshima, ustawi na maendeleo ya wengi; kwa kuzingatia haki msingi za binadamu!

Biashara haramu ya binadamu ni uhalifu dhidi ya utu na heshima ya binadamu!

Biashara haramu ya binadamu ni uhalifu dhidi ya utu na heshima ya binadamu!

Jumuiya ya Kimataifa haina budi kuwalinda na kuwasaidia wahamiaji!

06/09/2017 14:05

Taarifa za biashara haramu ya binadamu duniani zinaonesha kwamba, hii ni biashara inayoendelea kukua na kupabuka kwa kasi kubwa kama inavyojionesha katika taarifa ya mwaka 2016. Sababu za kutumbukia katika biashara hii ni pamoja na: umaskini, ujinga, ukosefu wa fursa za ajira, nyanyaso na dhuluma!

Kukaribisha maana yake hawali ya yote ni kuwezesha wahamiaji na wakimbizi uwezekano mpana wa kuingia kwa usalama na halali katika nchi wanazotamia.

Kukaribisha maana yake hawali ya yote ni kuwezesha wahamiaji na wakimbizi uwezekano mpana wa kuingia kwa usalama na halali katika nchi wanazotamia.

Papa: Ujumbe wa Siku ya Wahamiaji na Wakimbizi Duniani kwa Mwaka 2018

22/08/2017 10:12

Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa siku ya wakimbizi na wahamiaji duniani inayoadhimishwa na Mama Kanisa hapo tarehe 14 Januari 2018 anakazia mambo makuu manne: ukarimu, ulinzi, kukuza na kuwashirikisha wakimbizi na wahamiaji katika maisha ya watu mahalia!

 

Kuna uhusiano mkubwa kati wahamiaji na maendeleo endelevu ya binadamu!

Kuna uhusiano mkubwa kati ya maendeleo endelevu ya binadamu.

Kuna uhusiano mkubwa kati ya wahamiaji na maendeleo endelevu!

25/07/2017 07:00

Vatican inaendelea kushiriki katika mchakato wa maboresho ya "Mkataba wa Kimataifa juu ya usalama wa wahamiaji 2018" unaopania kuboresha: maisha, haki msingi za wahamiaji; utu na heshima yao; umuhimu wa kuwasikiliza, kuwajali na kuwahudumia sanjari na kudumisha usalama na maisha bora zaidi.