Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Mkataba wa Kimataifa wa Usalama wa Wahamiaji

VATICAN: Utu, heshima na haki msingi za binadamu zinapaswa kulindwa na kudumishwa.

VATICAN: Utu, heshima na haki msingi za binadamu zinapaswa kulindwa na kudumishwa.

Wakimbizi na wahamiaji: Usalama, utu, heshima na haki zao msingi!

20/07/2018 10:39

Jumuiya ya Kimataifa haina budi kujikita katika kutafuta kiini cha wimbi kubwa la wakimbizi na wahamiaji duniani, ili kuweza kuibua mbinu mkakati utakaosaidia kwanza kabisa: kulinda na kudumisha: usalama, utu, heshima na haki msingi za wakimbizi na wahamiaji sehemu mbali mbali za dunia!

Mkataba wa Usalama wa Wahamiaji wa Mwaka 2018 uzingatie: utu, heshima na haki msingi za binadamu!

Mkataba wa Usalama wa Wahamiaji wa Mwaka 2018 uzingatie: haki msingi za binadamu, utu na heshima yao bila kujali mahali wanakotoka, dini au rangi yao.

Mkataba wa Usalama wa Wahamiaji 2018: Utu, heshima na haki msingi!

11/07/2018 16:27

Mkataba wa Usalama wa Wahamiaji Kimataifa wa Mwaka 2018 unapaswa kuboreshwa zaidi kwa kuzingatia: utu, heshima na haki msingi za binadamu kwa ajili ya wakimbizi na wahamiaji wote bila ubaguzi, changamoto ambayo imetolewa na Askofu mkuu Bernardito Auza, Mwakilishi wa kudumu wa Vatican, UN.

Sera na mbinu mkakati wa huduma kwa wakimbizi: Kuwapokea, kuwalinda, kuwaendeleza na kuwahusisha katika maisha ya jamii inayowakirimia.

Sera na mbinu mkakati wa huduma kwa wakimbizi na wahamiaji ni: kuwapokea, kuwalinda, kuwaendeleza na kuwahusisha katika maisha ya jamii inayowakirimia.

Sera na mbinu mkakati wa Kanisa kwa ajili ya wakimbizi na wahamiaji!

19/06/2018 07:40

Baba Mtakatifu Francisko kwa muhtasari anasema, sera na mbinu mkakato wa Kanisa Katoliki katika huduma makini kwa wakimbizi na wahamiaji inajikita katika mambo makuu yafuatayo: Kuwapokea, Kuwalinda, Kuwaendeleza na Kuwahusisha katika maisha ya jamii inayowakirimia wahamiaji na wakimbizi.

 

Sera na mbinu mkakati wa Kanisa kwa wakimbizi na wahamiaji ni: Kuwapokea, Kuwalinda, Kuwaendeleza na Kuwahusisha.

Sera na mbinu mkakati wa Kanisa kwa ajili ya wakimbizi na wahamiaji ni: Kuwapokea, Kuwalinda, Kuwaendeleza na Kuwahusisha katika uhalisia wa maisha ya jamii inayowakirimia na kuwapatia hifadhi.

Changamoto ya Wahamiaji Duniani: Maendeleo, Usalama na Mawasiliano

18/06/2018 15:52

Changamoto kubwa inayoendelea kufanyiwa kazi na Vatican pamoja na Serikali ya Mexico ni: Maendeleo na athari za Mkataba wa Kimataifa wa Usalama wa Wahamiaji, 2018; Uhamiaji na maendeleo mintarafu Mkataba huu na Uhamiaji na vyombo vya mawasiliano katika mwanga wa Mkataba huu wa kimataifa.

Papa Francisko: Siku ya Wakimbizi Duniani 2018 iwe ni siku ya kukutana, kuheshimiana na kuthaminiana kama binadamu!

Papa Francisko: Siku ya Wakimbizi Duniani 2018 iwe ni fursa ya kukutana, kuheshimiana na kuthaminiana kama ndugu, ili hatimaye, kukabiliana na changamoto, matatizo na fursa za wakimbizi duniani.

Siku ya Wakimbizi Duniani 2018: Onesheni huruma, ukarimu na upendo!

18/06/2018 09:20

Baba Mtakatifu Francisko anasema, maadhimisho ya Siku ya Wakimbizi Duniani 2018 iwe ni fursa ya kujenga na kudumisha utamaduni wa watu kukutana na kusaidiana; kutambua na kuthamini mchango wao katika uzalishaji na huduma, ili wakimbizi nao waweze kujishikamanisha na jamii inayowakirimia.

Jumuiya ya Kimataifa haina budi kuhakikisha ulinzi, usalama, ustawi na maendeleo ya watoto wanaojikuta wakiwa ni wakimbizi na wahamiaji!

Jumuiya ya Kimataifa haina budi kuhakikisha kwamba, inadumisha: ulinzi, usalama, ustawi na maendeleo ya watoto wanaojikuta wakiwa ni wakimbizi na wahamiaji na wasitiwe vizuizini!

Askofu mkuu Auza: Haki msingi za watoto wahamiaji zizingatiwe!

04/04/2018 08:19

Askofu mkuu Bernardito Auza anasema, kuna haja kwa Jumuiya ya Kimataifa kuendeleza majadiliano kuhusu haki msingi za watoto wahamiaji na wakimbizi; ulinzi na usalama wao pamoja na kusitisha uwekwaji wa watoto hawa kwenye vizuizi, ili kulinda na kudumisha haki zao msingi, uhuru na ustawi wao!

Tume ya Kikatoliki Kimataifa kwa ajili ya wahamiaji, ICMC imejizatiti katika miaka 65 kuwahudumia wakimbizi na wahamiaji duniani.

Tume ya Kikatoliki Kimataifa kwa ajili ya Wahamiaji kwa Miaka 65 imejizatiti kuwahudumia na kuboresha maisha ya wakimbizi na wahamiaji sehemu mbali mbali za dunia.

ICMC: Miaka 65 ya huduma makini kwa wakimbizi na wahamiaji duniani!

08/03/2018 15:14

Baba Mtakatifu Francisko anaishukuru na kuipongeza Tume ya Kikatoliki Kimataifa kwa ajili ya Wahamiaji, ICMC, ambayo kwa muda wa miaka 65 imekuwa bega kwa bega katika mchakato wa kupangusa machozi ya wakimbizi na wahamiaji pamoja na kujizatiti kuboresha hali ya maisha na utu wao!

Wimbi kubwa la wakimbizi na wahamiaji ni changamoto pevu katika ulimwengu mamboleo kutokana na chuki na uhasama dhidi ya watu hawa!

Wimbi kubwa la wakimbizi na wahamiaji ni changamoto pevu katika ulimwengu mamboleo kutokana na baadhi ya wanasiasa kueneza chuki na uhamasa dhidi yao kwa kisingizio cha usalama wa taifa, raia na mali zao!

Jengeni utamaduni wa upendo na mshikamano na maskini!

07/03/2018 15:00

Kardinali Pietro Parolin anasema, chuki dhidi ya wakimbizi na wahamiaji ni kati ya changamoto kubwa inayoendelea kujitokeza katika ulimwengu mamboleo! Wakimbizi na wahamiaji wanaangaliwa kwa "jicho la kengeza" kama watu wanaohatarisha usalama wa raia na mali zao na kikwazo cha maendeleo!