Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Mji mkuu wa Dhaka, Bangladesh

Miito mingi ya kikuhani na utawa inazidi kuongezeka nchini Bangladesh

Miito mingi ya kikuhani na utawa inazidi kuongezeka nchini Bangladesh

Bangladesh miito inaongezeka na jimbo la Sylhet seminari mpya kuzinduliwa!

29/01/2018 14:22

Miito ya kitawa inazidi kuongezeka katika maeneo ya makabila huko Bangladesh.Kwa siku zilizo pita imezinduliwa seminari ya Jimbo la Sylhet,Kaskazini ya nchi.Ni Seminari ya Mtakatifu Yohane iliyofadhiliwa na Jimbo Katoliki la Suwon nchini Korea ya Kusini,ambayo itawakaribisha waseminari 60.

 

Katekesi ya Baba Mtakatifu ameelezea juu ya ziara yake nchini Myanmar na Bangladesh ambapo anasema, ni ujenzi wa undugu na si silaha

Katekesi ya Baba Mtakatifu ameelezea juu ya ziara yake nchini Myanmar na Bangladesh ambapo anasema,Wakati endelvu wa bara la Asia si kwa wale watengenezao silaha bali wajenzi wa undugu!

Papa:Wakati ujao wa bara la Asia si kwa watengenezao silaha bali undugu!

06/12/2017 15:49

Imekuwa ni zawadi kubwa kutoka kwa Mungu hivyo ninamshukuru kwa kila jambo,kwa namna ya pekee ya mikutano niliyofanya huko.Ninarudia kutoa shukrani za dhati kwa viongozi wa nchi zote mbili.Ni katika Katekesi ya Baba Mtakatifu Francisko tarehe 6 Desemba akisimulia juu ya ziara ya kitume

 

 

Jumapili ya kwanza ya Majilio Papa amehimiza juu ya kipindi hiki muhimu   tulipchopewa kujitakari katika safari ya kumpokea Mkombozi wetu

Jumapili ya kwanza ya Majilio Papa amehimiza juu ya kipindi hiki muhimu tulipchopewa kujitakari katika safari ya kumpokea Mkombozi wetu

Papa:Nitazidi kuwakumbuka katika moyo wangu watu wa Myanmar na Bangladesh!

04/12/2017 16:16

Nitawakumbuka katika moyo wangu sura zilizojaribiwa,lakini zenye tabasamu katika nchi ya Myanmar na Bangladesh.Ni maneno ya Papa wakati wa sala ya Malaika wa Bwana kwa mahujaji kwenye viwanjia vya Mtakatifu Petro tarehe 3 Desemba 2017,ikiwa ni Jumapili ya kwanza ya Majilio Bwana B

 

 

Papa Francisko akizungumza na waandishi wa habari katika ndege ya kurudi Roma amesema alilia na watu wa Rohingya

Papa Francisko akizungumza na waandishi wa habari katika ndege ya kurudi Roma amesema alilia na watu wa Rohingya

Papa:Safari yangu inafanikiwa hasa ninapokutana na watu wa Mungu!

04/12/2017 15:00

Safari inafanikiwa hasa ninapoweza kukutana na watu!Ni maneno ya uhakika wa Baba Mtakatifu wakati anazungumza na kujibu maswali ya waandishi wa habari wakati wa kurudi na ndege kutoka Bangladesh kuja Roma.Mkutano wa waandishi wa habari ulianza nusu saa mara baada ya kutoka Dhaka. 

 

Tarehe 2 Desemba 2017, Baba Mtakatifu amekutana na mapadre,watawa na waseminari, lakini kabla ametembelea nyumba ya Mama Teresa wa Kalkuta

Tarehe 2 Desemba Baba Mtakatifu amekutana na mapadre,watawa na waseminari, lakini kabla ametembelea nyumba ya Mama Teresa wa Kalkuta

Papa amewambia Mapadre na Watawa kuchambua mbegu njema dhidi ya mbaya!

02/12/2017 11:15

Tunzeni wito kwa ukarimu,hepuka masengenyo na kuishi kwa furaha.Ni ushauri wa Baba Mtakatifu kwa watawa,mapadre na waseminari huko Dhaka katika Siku ya mwisho ya Ziara yake ya Kitume.Kabla ya Mkutano huo amewakumbatia yatima na wagonjwa katika nyumba ya Mama Teresa wa Kalkuta.

 

Katika Mkutano wa viongzoi wa kidini, Baba Mtakatifu amekazia juu ya kushikiana na kusaidiana katika ujenzi wa dunia ya kibindamu

Katika Mkutano wa viongzoi wa kidini, Baba Mtakatifu amekazia juu ya kushikiana na kusaidiana katika ujenzi wa dunia ya kibindamu

Papa ameshiriki Mkutano wa Madhehebu ya kidini na Kiekumene kwa ajili ya amani!

01/12/2017 17:00

Mchana wa tarehe 1 Desemba 2017 Baba Mtakatifu amekutana na viongozi wa madhehebu ya kidini kwa ajili ya amani katika makao makuu ya Askofu wa Dhaka nchini Bangladesh.Katika hotuba yake,anawashukuru viongozi wa madhehebu ya kidini kwa juhudi za kuhamasisha amani ya kudumu

 

 

Kardinali Patrick D'Roazario amemshukuru Baba Mtakatifu kwa upendo mkuu wa ka nchi ya Bangladesh

Kardinali Patrick D'Roazario amemshukuru Baba Mtakatifu kwa upendo mkuu wa ka nchi ya Bangladesh

Kard.Rozario Askofu Mkuu wa Dhaka ametoa shukrani kwa upendo wa Papa!

01/12/2017 12:43

Baada ya misa Takatifu ya kutoa daraja Takatifu la Upadre kwa mapadre wapya 16, naye Kardinali Patrick D’Rozario , Askofu Mkuu wa Dhaka, ametoa hotuba yake fupi ya kumshukuru Baba Mtakatifu kwa ajili ya upendo na ukarimu wake kwa nchi ya Bangladesh alio uonesha kwa namna nyingi 

 

 

Papa ametoa daraja Takatifu la Upadre kwa mapadre wateule 16 huko Dhaka Bangladesh tarehe 1 Desemba 2017

Papa ametoa daraja Takatifu la Upadre kwa mapadre wateule 16 huko Dhaka Bangladesh tarehe 1 Desemba 2017

Papa ametoa daraja Takatifu la Upadre kwa Mapadre 16 huko Dhaka Bangladesh!

01/12/2017 11:08

Karibia watu 100 elfu wameshiriki asubuhi ya tarehe 1 Desemba 2017,maadhimisho ya kutoa daraja Takatifu la upadre kwa mashemasi 16 yaliyoongozwa na Papa katika Uwanja wa Suhrawardy Udyan huko Dhaka.Baba Mtakatifu anawashukuru waamini wote waliofika kwa wingi katika sikukuu ya Mungu.