Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Mitandao ya kijamii

Mitandao ya kijamii inapaswa kuwa ni maskani ya utu na heshima ya binadamu!

Mitandao ya kijamii inapaswa kuwa ni maskani ya utu na heshima ya binadamu! Mahali pa kuwakutanisha watu kutoka katika medani mbali mbali za maisha!

Papa Francisko: Mitandao ya kijamii iwe ni maskani ya ubinadamu!

08/06/2018 15:19

Baba Mtakatifu Francisko anasema, mitandao ya kijamii ni zawadi kubwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu inayopaswa kumwajibisha binadamu katika matumizi yake, ili kweli mitandao ya kijamii iweze kuwa ni maskani pa utu na heshima ya binadamu; mahali pa kuwaunganisha watu mbali mbali!

Machafuko ya kisiasa nchini Italia, yalichochewa zaidi na matumizi haramu ya mitandao ya kijamii!

Machafuko ya kisiasa nchini Italia yalichochewa zaidi na matumizi haramu ya mitandao ya kijamii.

Kardinali Bassetti asema, machafuko ya kisiasa Italia yalikuwa hatari

08/06/2018 15:03

Kardinali Gualtiero Bassetti, Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Italia, CEI anasema, patashika nguo kuchanika ya machafuko ya kisiasa nchini Italia yamepita, sasa viongozi wanapaswa kujipanga kwa kujikita zaidi katika huduma; ustawi, maendeleo na mafao ya watu wengi nchini Italia.

Rais John Pombe Magufuli ameupanda hadhi mji wa Dodoma kuwa Jiji.

Rais John Pombe Magufuli ameupandisha hadhi mji wa Dodoma kuwa Jiji.

Tanzania yaadhimisha miaka 54 ya Muungano

26/04/2018 16:30

Tanzania inaadhimisha miaka 54 tangu Tanganyika na Zanzibar zilipoungana na kuunda taifa moja la Tanzania.Maadhimisho ya mwaka huu yameyongozwa na rais John Pombe Magufuli mjini Dodoma. Wakati wa hotuba yake ameupandisha hadhi Mkoa wa Dodoma kuwa Jiji kuanzia leo 26 Aprili 2018

 

Vijana wa kizazi kipya kutoka Afrika wanashirikisha yale yaliyojiri katika maadhimisho ya utangulizi wa Sinodi ya Vijana!

Vijana wa kizazi kipya kutoka Afrika wanashirikisha yale yaliyojiri katika utangulizi wa maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana!

Vijana wa Bara la Afrika wanapembua mchakato wa Sinodi ya Vijana!

05/04/2018 07:52

Vijana walioshiriki katika maadhimisho ya utangulizi wa Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana kwa kukutana, kuzungumza na kusali pamoja na Baba Mtakatifu Francisko wanasema, ni hatua kubwa sana katika mchakato wa ujenzi wa utamaduni na sanaa ya kuwasikiliza, kuwashirikisha na kuwasindikiza!

Papa Francisko anataka Mababa wa Sinodi kusikiliza shuhuda za waathirika wa biashara, matumizi na usambazaji wa dawa haramu za kulevya!

Papa Francisko anataka Mababa wa Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya Vijana kusikiliza shuhuda za vijana wanaojihusisha na biashara, matumizi na kusambaza dawa za kulevya, ili Kanisa liweze kuibua mbinu mkakati na sera kwa ajili ya mapambano dhidi utamaduni wa kifo!

Mapambano dhidi ya biashara na matumizi haramu ya dawa za kulevya!

17/03/2018 09:43

Baba Mtakatifu Francisko kwa kutambua mateso na mahangaiko ya vijana wanaofanya biashara, wanaotumia na kusambaza dawa haramu za kulevya, ameamuwa kuwaalika vijana wawili kutoka Italia ili kushuhudia madhara ya matumizi haramu ya dawa za kulevya miongoni mwa vijana wa kizazi kipya.

Baraza Maaskofu wamefungua mitandao miwili ya kijamii kwa lengo la kuhafamisha, kujifunza zaidi ili kupambana na umaskini

Baraza Maaskofu wamefungua mitandao miwili ya kijamii kwa lengo la kuhafamisha, kujifunza zaidi ili kupambana na umaskini

Mitandao miwili ya Internet iliyoanzishwa na maskofu Marekani kwa jamii!

03/02/2018 16:12

Mitandao miwili (Povertyusa.org na  Pobrezausa.org) imeundwa kwa ajili ya kuleta ufahamu zaidi,kujifunza na kutenda kwa matendo halisi ili hatimaye kuweza kukabiliana na umaskini nchini Marekani.Huo ni mpango muhimu ambao umeanzishwa hivi karibuni na Baraza la Maaskofu wa Marekani 

 

Ujumbe wa Papa Francisko wa 52 wa Siku ya Mawasiliano duniani 2018: UKweli utawawekeni huru: Habari potofu (Fake news) na uandishi wa amani

Ujumbe wa Papa Francisko wa 52 wa Siku ya Mawasiliano duniani 2018: UKweli utawawekeni huru: Habari potofu (Fake news) na uandishi wa amani

Ujumbe wa Papa Francisko wa 52 wa Siku ya Mawasiliano duniani 2018!

24/01/2018 16:35

Ujumbe wa Baba Mtakatifu Francisko kwa siku ya 52 ya Upashanaji wa habari ulimwenguni  2018,umetolewa tarehe 24Januari.Ujumbe huu unaongozwa na mada ya Ukweli utawawekeni huru:Habari potofu na uandishi wa amani.Na Fake News ni kama nyoka mjanja anayejificha nyuma ili apate kuuma

 

 

 

 

Kila siku kwa njia ya Tweet za Baba Mtakatifu Francisko, anakuwa karibu na binadamu hata katika vyombo vya habari na mitando ya kijamii

Kila siku kwa njia ya Tweet za Baba Mtakatifu Francisko, anakuwa karibu na binadamu hata katika vyombo vya habari na mitando ya kijamii wakati mwingine akitoa neno la kiroho na kukumbuka Mtakatifu wa siku,

Wafuasi wa Papa katika mtandao wa kijamii twitter ni zaidi ya millioni 40

11/10/2017 16:48

Takwimu za kuonesha wafuasi wa Baba Mtakatifu katika mtandao wa kijamii kuwa ni zaidi ya milioni 40 zimetolewa na Sekretarieti ya Mawasiliano ya Vatican. Imetoa taarifa wiki chache kabla ya  kufikia mwaka wa tano tangu ufunguzi wa  mtandao wa papa ulioanzishwa 12 Desemba 2012