Mitandao ya kijamii:

RSS:

App:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Misigano na kinzani

RECOWA-CERAO: changamoto kubwa: hali tete ya kisiasa; misimamo mikali ya kidini na majanga asilia.

RECOWA-CERAO: changamoto kubwa: hali tete ya kisiasa, kiuchumi na kijamii; misimamo mikali ya kidini na kiimani pamoja na athari za majanga asilia.

RECOWA-CERAO na changamoto zake Afrika Magharibi!

19/04/2017 11:12

Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika Magharibi linasema, linapenda kushirikiana kwa dhati na Jumuiya ya Uchumi Afrika Magharibi,ECOWAS ili kukabiliana na changamoto zinazoendelea kujitokeza katika Nchi wanachama wa RECOWA-CERAO hasa: vitendo ya kigaidi na misimamo mikali ya kidini

Papa Francisko anawataka Wakristo kumwomba Mungu zawadi ya kusamehe, upatanisho na umoja!

Papa Francisko anawataka Wakristo kumwomba Mwenyezi Mungu ili awajalie zawadi ya kusamehe, upatanisho na umoja.

Papa Francisko: Wakristo ombeni zawadi ya upatanisho na umoja!

31/03/2017 14:17

Baba Mtakatifu anawahamasisha Wakristo kuondokana na maamuzi mbele dhidi ya imani ya wengine wanaokiri na kuabudu kwa mitindo na lugha tofauti; wawe tayari kusamehe makosa yaliyotendwa na wazee wao waliotangulia ili hatimaye kumwomba Mungu zawadi ya upatanisho na umoja!

Baa la njaa linatishia usalama wa maisha ya watu zaidi ya milioni 17 Pembe ya Afrika!

Baa la njaa linatishia usalama wa maisha ya watu zaidi ya milioni 17 Pembe ya Afrika.

Watu milioni 17 wanahofiwa kukumbwa na baa la njaa Pembe ya Afrika!

22/02/2017 14:39

Vita, kinzani na mipasuko ya kijamii inayoendelea kutikisa nchi nyingi zilizoko Pembe ya Afrika, imepelekea watu zaidi ya milioni 17 kukabiliwa na baa la njaa, hali inayochangiwa pia na ukame wa muda mrefu! Mashirika ya misaada ya kibinadamu yanaitaka Jumuiya ya Kimataifa kujipanga vyema zaidi!

Waamini wanaalikwa kuwa ni mwanga wa mataifa kwa njia ya ushuhuda wa maisha na miito yao mbali mbali!

Waamini wanaalikwa kuwa ni mwanga wa mataifa kwa njia ya ushuhuda wa miito yao mbali mbali ndani ya Kanisa!

Wakristo mnaitwa kuwa ni mashuhuda wa mwanga wa Kristo duniani!

21/01/2017 18:23

Tafakari ya Neno la Mungu, Jumapili ya III ya Kipindi cha Mwaka A wa Kanisa ni mwaliko kwa waamini kuwa kweli ni mwanga wa Kristo Yesu unaowaangazia watu wa mataifa, kwa kukubali na kuitikia wito wa kubadili maisha yao, tayari kutekeleza mapenzi ya Mungu kadiri ya wito wa kila mmoja!