Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Mihimili ya Uinjilishaji

Sinodi ya Maaskofu Ukanda wa Amazonia kwa mwaka 2019 itaongozwa na kauli mbiu "Amazonia: Njia Mpya ya Kanisa na kwa ajili ya Ekolojia Endelevu".

Sinodi ya Maaskofu Ukanda wa Amazonia itaongozwa na kauli mbiu "Amazonia: Njia Mpya ya Kanisa na kwa ajili ya Ekolojia Endelevu".

Sinodi ya Amazonia: Njia mpya ya Kanisa kwa ajili ya ekolojia endelevu

09/04/2018 14:50

Baba Mtakatifu Francisko analitaka Kanisa kujikita katika masuala ya haki, amani na mshikamano; utume na huduma ya upendo, ili kuhakikisha kwamba, Injili ya Kristo inatamadunishwa katika uhalisia wa maisha ya wananchi wa Amazonia, ili Kanisa liweze kupaya sura mpya ya watu wa Amazonia!

Papa Francisko anasema katekesi makini ni ile inayomwilishwa katika ushuhuda wa huduma ya upendo kwa maskini na wale wanaoteseka!

Papa Francisko anasema, katekesi makini ni ile inayomwilishwa katika ushuhuda wa huduma ya upendo kwa maskini na wale wanaosukumizwa pembezoni mwa jamii.

Baba Mtakatifu Francisko "awafagilia sana" Makatekista kwa utume wao!

13/07/2017 13:45

Baba Mtakatifu Francisko anasema, Katekesi makini ile inayotangazwa na kushuhudiwa katika matendo kama kielelezo makini cha imani tendaji. Ikumbukwe kwamba, Ukatekista si kazi bali ni wa huduma katika Kanisa unaomsukuma mwamini kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu!

Utume ni kiini cha imani ya Kikristo ndiyo kauli mbiu inayoongoza ujumbe wa Papa Francisko kwa Siku ya 91 ya Kimissionari Duniani.

Utume ni kiini cha imani ya Kikikristo ndiyo kauli mbiu inayoongoza maadhimisho ya Siku ya 91 ya Kimissionari Duniani kwa mwaka 2017.

Ujumbe wa Papa Francisko kwa Siku ya 91 ya Kimissionari Duniani 2017

06/06/2017 14:33

Utume wa Kanisa unaelekezwa kwa watu wote wenye mapenzi mema na unasimikwa katika msingi wa Injili inayoleta mabadiliko; inayoshirikisha furaha kwani ni chemchemi ya maisha mapya yanayobubujika kutoka kwa Kristo Mfufuka aliyewapelekea Roho Mtakatifu, hivyo Yesu ni njia, ukweli na uzima!

Papa Francisko: Mwezi Oktoba, 2019 ni mwezi wa kutafakari utume wa Kanisa kama kiini cha uinjilishaji!

Papa Francisko: Mwezi Oktoba 2019 ni kipindi cha kutafakari utume wa Kanisa kama kiini cha uinjilishaji.

Papa: Oktoba, 2019 ni kipindi maalum cha kuhamasisha utume wa Kanisa!

03/06/2017 16:56

Baba Mtakatifu Francisko anasema, Mwezi Oktoba 2019 kitakuwa ni kipindi maalum sana kwa maisha na utume wa Kanisa sehemu mbali mbali za dunia. Kitakuwa ni kipindi cha kusali na kutafakari utume kama msingi wa mchakato mzima wa uinjilishaji unaotekelezwa na Mama Kanisa; kipindi cha huruma!

Kanisa Barani Afrika linapaswa kuwa ni chombo cha haki, amani na upatanisho!

Kanisa Barani Afrika linapaswa kuwa ni chombo cha haki, amani na upatanisho.

Kanisa Barani Afrika: Chombo cha haki, amani na upatanisho!

30/05/2017 06:50

Kanisa Barani Afrika linahamasishwa kuwa ni chombo na shuhuda wa huduma ya haki, amani na upatanisho kati ya watu wa Mungu ili kufanikisha azma hii, mapadre na watawa wanapaswa kuwa kweli ni chumvi ya dunia na mwanga wa mataifa na kwamba, waamini walei wajizatiti kuyatakatifuza malimwengu.

Ni matumaini ya Baba Mtakatifu Francisko majimbo mapya yatasaidia mchakato wa Uinjilishaji wa kina kwa kuwa na huduma karibu zaidi.

Ni matumaini ya Baba Mtakatifu Francisko kwamba, majimbo yaliyoanzishwa hivi karibuni yatasaidia mchakato wa Uinjilishaji kwa waamini kupata huduma za kichungaji karibu na maeneo yao.

Uinjilishaji wa kina usaidie mchakato wa kukuza na kulikomaza Kanisa!

25/05/2017 14:55

Ni matumaini ya Baba Mtakatifu Francisko kwamba, majimbo mapya yaliyozinduliwa hivi karibuni huko Equatorial Guinea hatasaidia kusogeza huduma za kichungaji kwa familia ya Mungu na kwamba, wakleri, watawa na waamini walei watatoa ushirikiano wa dhati kwa maaskofu wapya ili kukuza Kanisa!

Siku kuu ya Kupaa Bwana Mbinguni ni changamoto ya kujikita katika uinjilishaji wenye mvuto na mashiko kwa watu!

Siku kuu ya Kupaa Bwana Mbinguni ni changamoto ya kujikita katika Uinjilishaji unaofumbatwa katika ushuhuda wenye mvuto na mashiko!

Siku kuu ya Kupaa Bwana mbinguni, alama ya matumaini!

25/05/2017 14:43

Siku kuu ya Kupaa Bwana mbinguni ni mwaliko kwa Wakristo wote kutekeleza dhamana ya kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu hadi miisho ya dunia kwa kutambua kwamba, Yesu Kristo yuko pamoja nao katika dhamana na utume huu nyeti unaopaswa kumwilishwa katika uhalisia wa maisha!

Mihimili ya Uinjilishaji wa kina inapaswa kuwa ni mashuhuda wa Injili ya huduma, upendo, haki na amani!

Mihimili ya Uinjilishaji wa kina inapaswa kuwa ni mashuhuda na vyombo vya Injili ya huduma, upendo, haki, amani na mshikamano wa dhati.

Dhamana na wajibu wa mihimili ya uinjilishaji ndani ya Kanisa!

23/05/2017 15:55

Kardinali Fernando Filoni anaitaka mihimili ya uinjilishaji kuwa kweli ni vyombo na mashuhuda wa uinjilishaji wa kina unaogusa mahitaji ya mtu mzima: kiroho na kimwili! Wawe ni watu wanaojisadaka bila ya kujibakiza kwa ajili ya ujenzi, ustawi na maendeleo ya Kanisa mahalia, mfano bora wa kuigwa!