Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Mfalme Herode

Kardinali Polycarp Pengo anawataka waamini lakini zaidi wakleri kutekeleza mapenzi ya Mungu katika maisha na utume wao.

Kardinali Polycarp Pengo anawataka waamini, lakini zaidi wakleri kutekeleza mapenzi ya Mungu katika maisha yao.

Kardinali Pengo: Jitahidini kutekeleza mapenzi ya Mungu katika maisha

11/01/2018 16:35

Kardinali Polycarp Pengo, Askofu mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam anawataka waamini, lakini kwa namna ya pekee kabisa Wakleri kuhakikisha kwamba, wanajitahidi kutekeleza mapenzi ya Mungu katika maisha na utume wao, vinginevyo wanaweza kujikuta wakiogelea kwenye dimbwi la maafa!

 

Papa Francisko: Sherehe ya Tokeo la Bwana iwe ni fursa ya kutembea, kuinua macho juu angani na kumtolea Mungu hazina kwa njia ya matendo ya huruma.

Papa Francisko: Sherehe ya Tokeo la Bwana ni fursa kwa waamini kutembea, kuinua macho yao angani na kumtolea Mungu hazina ya maisha yao kwa njia ya matendo ya huruma.

Papa: Sherehe ya Tokeo la Bwana: Kuona nyota, kutembea na kutoa hazina

06/01/2018 12:00

Baba Mtakatifu Francisko katika mahubiri yake wakati wa maadhimisho ya Sherehe ya Tokeo la Bwana, maarufu kama Epifania, amewataka waamini kujitahidi kuina nyota ya Mtoto Yesu katika maisha yao, kuifuata kwa kuthubutu kutembea na kumtolea hazina inayofumbatwa katika matendo ya huruma.

Sherehe ya Tokeo la Bwana, maarufu kama Epifania ni ufunuo wa Kristo Yesu: Mwanga wa Mataifa, Mfalme na Mkombozi wa ulimwengu.

Sherehe ya Tokeo la Bwana, maarufu kama Epifania ni ufunuo wa Kristo Yesu kama Mwanga wa Mataifa, Mfalme na Mkombozi wa Ulimwengu.

Kristo Yesu ni Mwanga wa Mataifa, Mfalme na Mkombozi wa Ulimwengu

05/01/2018 06:45

Maadhimisho ya Liturujia ya Sherehe ya Tokeo la Bwana ni ufunuo wa Kristo Yesu, Mwanga wa Mataifa, Mfalme na Mkombozi wa ulimwengu; dhamana na utume wake unaojionesha hasa kwenye hazina ambayo Mamajusi kutoka Mashariki ya mbali walimtolea Mtoto Yesu: Dhahabu, Uvumba na Manemane!

Hata katika ulimwengu mamboleo, bado kuna akina Herode uchwara wanaosababisha maafa makubwa kwa watoto sehemu mbali mbali za dunia!

Hata katika ulimwengu mamboleo, bado kuna akina Herode uchwara wanaosababisha mateso, maafa na majonzi kwa watoto sehemu mbali mbali za dunia.

Kardinali Pengo asema bado kuna akina Herode uchwara duniani!

28/12/2017 13:24

Baba Mtakatifu Francisko katika kipindi kipindi hiki cha Noeli ameyaelekeza mawazo yake zaidi kwa ajili ya mateso, mahangaiko na maafa wanayokumbana nayo watoto katika maisha yao katika ulimwengu mamboleo! Kuna watoto wanatolewa mimba; wanaoteseka kwa njaa, kiu, magonjwa na nyanyaso!

Ni vema kujifunza sayansi na  hekima ya kujihukumu wewe binafsi. Unapojisikia dhamiri yako na uchungu wa kidonda ndugu

Ni vema kujifunza sayansi na hekima ya kujihukumu wewe binafsi. Unapojisikia dhamiri yako na uchungu wa kidonda ndugu

Papa: tusiogope kutubu dhambi zetu kwa dhati maana dhamiri inauma

28/09/2017 16:46

Erode hakuwa anajua ni nani  kwa njia hiyo angeweza kufikiria nini?.Alikuwa na wasiwasi katika moyo wake,huvyo alitafuta njia ya kumwona Yesu il kutulia.Alitaka kuona miujiza aliyoitenda Yesu lakini hakuweza kuitenda mbele yake, ndiyo maana alimkabidhi kwa Pilato akahukumia kifo

 

 

Papa Francisko anasema anakwenda Misri kama rafiki, hujaji, mjumbe wa amani na mpatanishi katika majadiliano ya kidini na kiekumene.

Papa Francisko anasema anakwenda nchini Misri kama rafiki, hujaji na mjumbe wa amani! Anapenda kukoleza majadiliano ya kidini na kiekumene ili kudumisha haki, amani na maridhiano kati ya watu.

Ujumbe wa Papa Francisko kwa familia ya Mungu nchini Misri!

25/04/2017 14:31

Baba Mtakatifu Francisko anasema anapenda kutembelea Misri kuanzia tarehe 28- 29 Aprili 2017 kama: rafiki, mjumbe wa amani na hujaji katika nchi ambayo inautajiri mkubwa katika maisha na historia ya Kanisa! Anataka kukuza na kudumisha majadiliano ya kidini na kiekumene kati ya waamini!