Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Mchakato wa amani na upatanisho Colombia

Papa Francisko amewahimiza wananchi wa Colombia kuendelea kujikita katika mchakato wa haki, amani na maridhiano kati yao!

Papa Francisko amewahimiza wananchi wa Colombia kujikita katika mchakato wa haki, amani na maridhiano kati yao.

Papa Francisko anaihamasisha Colombia kujikita katika amani!

18/09/2017 09:55

Hija ya Kitume ya Papa Francisko nchini Colombia ililenga kukuza na kudumisha mchakato wa haki, amani na maridhiano kati ya wananchi wa Colombia; kwa kusimama kidete kulinda na kudumisha Injili ya familia na uhai dhidi ya utamaduni wa kifo; kwa kukumbatia na kuenzi dhamana na utume wa Kanisa!

Papa Francisko ametuma salam na matashi mema kwa viongozi mbali mbali wa dunia wakati akirejea mjini Vatican.

Papa Francisko ametuma salam na matashi mema kwa viongozi wa nchi na wakuu wa Serikali wakati akirejea mjini Vatican, Jumatatu, tarehe 11 Septemba 2017.

Papa Francisko: Salam na matashi mema kwa wakuu wa nchi na serikali

11/09/2017 14:07

Baba Mtakatifu Francisko wakati akirejea kutoka Colombia kwa hija yake ya kitume, ametuma salam na matashi mema kwa viongozi wakuu wa nchi na Serikali ya: Colombia, Netherland, Marekani, Ureno, Hispania, Ufaransa na Italia. Amewashukuru wananchi wa Colombia kwa mapokezo makubwa!

Papa Francisko analaani vitendo vyote vinavyodhalilisha utu, heshima na haki msingi za binadamu!

Papa Francisko analaani vitendo vyote vinavyodhalilisha utu, heshima na haki msingi za binadamu.

Papa Francisko: Lindeni utu wa binadamu na haki zake msingi!

11/09/2017 12:33

Baba Mtakatifu Francisko ana laani kwa nguvu zote biashara na matumizi haramu ya dawa za kulevya yanayopandikiza mbegu ya kifo na uharibifu; uchafuzi na uharibifu wa mazingira; utakatishaji fedha haramu; uchu wa mali na madaraka mambo ambayo ni hatari sana kwa utu na haki msingi za binadamu!

Liturujia ya Upatanisho wa Kitaifa nchini Colombia ni tukio lililowagusa wengi!

Liturujia ya Upatanisho wa Kitaifa nchini Colombia tarehe 8 Septemba 2017 ni tukio liliwagusa wananchi wa Colombia kutoka katika undani wa maisha yao!

Yaliyojiri kwenye Ibada ya Upatanisho wa Kitaifa nchini Colombia

09/09/2017 16:21

Baba Mtakatifu Francisko anasema, ametamani sana kupata nafasi ya kulia, kusali na kuomba msamaha na familia ya Mungu nchini Colombia kama sehemu ya mchakato wa ujenzi wa amani na upatanisho, tayari kuanza ukurasa mpya unaosimikwa katika umoja, udugu na mshikamano wa kitaifa!

Papa Francisko anasema, hakuna binadamu mkamilifu, kumbe, daima anahitaji huruma na upendo wa Mungu!

Papa Francisko anasema, hakuna binadamu ambaye ni mkamilifu, kumbe daima anahitaji huruma na upendo wa Mungu katika maisha yake.

Papa Francisko asema, ulemavu ni sehemu ya udhaifu wa binadamu!

09/09/2017 15:32

Baba Mtakatifu Francisko anasema, hakuna binadamu aliye mkamilifu hapa duniani, kila mtu ana kilema chake katika maisha! Lakini, ikumbukwe kwamba, hata katika ulemavu, utu, heshima na haki msingi za binadamu hazina budi kulindwa, kuheshimiwa na kudumishwa na wote pasi na ubaguzi!

Papa Francisko anawataka wananchi wa Colombia kujipatanisha na Mungu, Jirani na Mazingira!

Papa Francisko anawataka wananchi wa Colombia kujipatanisha na Mungu, Jirani na Mazingira!

Papa Francisko: Colombia jipatanisheni na Mungu, Jirani na Mazingira!

08/09/2017 15:59

Baba Mtakatifu Francisko anasema, upatanisho ni mlango unaowafungulia watu wote walioathirika kwa vita, ghasia na mipasuko ya kijamii fursa ya kushinda kishawishi cha kutaka kulipiza kisasi kwa kujichukulia sheria mikononi na badala yake, wanakuwa ni wadau wa ujenzi wa amani na upatanisho!

Mchakato wa amani na upatanisho ni amana inayofumbata utajiri wa kiutu unaobubujika kutoka katika imani dhidi ya utamaduni wa kifo!

Mchakato wa amani na upatanisho ni amana ya kiutu inayobubujika kutoka katika imani inayowasukuma kupambana na utamaduni wa kifo!

Papa Francisko asema, mchakato wa amani na upatanisho ni muhimu sana!

08/09/2017 11:52

Baba Mtakatifu Francisko amewaambia Maaskofu Katoliki Colombia kwamba, mchakato wa amani na upatanisho nchini mwao ni jambo la pekee sana linalofumbata utajiri wa kiutu ambao unapata chimbuko lake katika imani inayowasukuma kupambana na utamaduni wa kifo hadi kielekeweke!