Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Mazingira

Ujumbe wa Baba Mtakatifu  unasema, mabadiliko ya hali hewa yanahitaji kuitikia kwa haraka na kutoa majibu ya haraka na yenye ufanisi

Ujumbe wa Baba Mtakatifu unasema, mabadiliko ya hali hewa yanahitaji kuitikia kwa haraka na kutoa majibu ya haraka na yenye ufanisi

Papa:Mabadiliko ya hali ya hewa yanahitaji kuitikia na kutoa jibu haraka

23/10/2017 17:30

Baba Mtaktifu Francisko ametuma ujumbe wake katika ufunguzi wa Mkutano  wa Kimataifa tarehe 23 Oktoba 2017 kuhusu Maji na Mazingira: maziwa makubwa ya ulimwengu kukabiliwa,. Ujumbe huo umesomwa na Kardinali Pietro Parolin Katibu wa Vatican,aliye mwakilisha kwa ujumbe huo..

 

Tarehe 13 Oktoba ni Siku ya Kupunguza Majanga ya Asili duniani.Ni kuhamasisha utamaduni wa kupunguza hatari zinazohusiana na majanga ya asili

Tarehe 13 Oktoba ni Siku ya Kupunguza Majanga ya Asili duniani.Ni kuhamasisha utamaduni wa kupunguza hatari zinazohusiana na majanga ya asili

Papa:13 Oktoba ni siku ya kupunguza majanga ya asili duniani mwaka 2017

11/10/2017 16:23

Baba Mtakatifu Francisko mara baada ya Katekesi yake kwenye uwanja vya  Mtakatifu Petro ametoa wito kuwa, ni kuhamasisha utamaduni wa kupunguza hatari zinazohusiana na majanga ya asili.Aidha amewakumbusha tarehe 13 Oktoba ni siku ya kupunguza majanga ya asili duniani mwaka 2017 

 

Uharibifu mkubwa unaoendelea  katika Ghuba ya Texas hasa huko Houston umesasababishwa na kimbunga cha Harvey ambayo ni dhoruba ya kitropiki

Uharibifu mkubwa unaoendelea katika Ghuba ya Texas hasa huko Houston umesasababishwa na kimbunga cha Harvey ambayo ni dhoruba ya kitropiki

Patriaki Bartholomew asema ni kipindi cha kutafakari nguvu ya kutisha ya asili

30/08/2017 14:45

Patriaki:Ni wakati wa kutafakari juu ya nguvu ya kutisha ya asili,ni wajibu wetu wa kibinadamu kuwa watendaji bora wenye busara ya mazingira. Sisi sote tumeitwa kushiriki katika ukombozi na usimamizi wa dunia yetu,kufanya kazi ili kuzuia nguvu ya uharibifu utokanao na vimbunga na mafuriko

 

Mkoa wa Kagera nchini Tanzania ni moja ya sehemu zinazokabiliwa na uhaba wa maziwa kutokana za sababu zikiwemo za mazingira,umasikini na uchu

Mkoa wa Kagera nchini Tanzania ni moja ya sehemu zinazokabiliwa na uhaba wa maziwa kutokana za sababu mbalimbali zikiwemo mazingira, umasikini na uchumi

Binadamu analazimika kunywa takribani lita 200 za maziwa kwa mwaka

05/08/2017 14:58

Binadamu anapaswa kunywa takribani lita 200 za maziwa kwa mwaka,kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo za kiuchumi,kimazingira na umasikini vimewafanya watu wengi kushindwa kupata lishe hiyo muhimu. Mkoa Kagera nchini Tanzania ni moja ya sehemu zinazokabiliwa na uhaba huo

Wayesuit wanatumwa kuwa ni wajumbe wa upatanishi kati ya Mungu, binadamu na mazingira

Wayesut wanatumwa kuwa ni wajumbe wa upatanisho kati ya Mungu, Binadamu na Mazingira.

Wayesuit wanatumwa kuwa ni wajumbe wa upatanisho duniani

01/08/2017 10:17

Karama za mashirika mbali mbali ni zawadi ya Roho Mtakatifu kwa ajili ya ujenzi wa Fumbo la Mwili wa Kristo yaani Kanisa! Karama ya Wayesuit inapaswa kupyaisha mara kwa mara kwa kusoma alama za nyakati, ili kweli waweze kuwa ni wajumbe wa upatanisho kati ya Mungu; binadamu na mazingira!

Viongozi wa kidini watoa Mwongozo wa tunu msingi za utendaji kwa G7Mazingira

Viongozi wa dini mbali mbali wakutana Bologna, Italia na kutoa Mwongozo wa tunu msingi za utendaji kwa mkutano wa G7Mazingira

Baba Mtakatifu Francisko, Viongozi wa kidini kwenye G7 Mazingira

10/06/2017 13:53

Baba Mtakatifu Francisko, kupitia Kardinali Pietro Parolin, Katibu mkuu wa Vatican, atuma ujumbe kwa viongozi wa kidini wakiwakilisha Mwongozo wa tunu msingi za utendaji kukabiliana na changamoto ya mabadiliko ya tabia nchi, kwenye mkutano wa G7 Mazingira, Bologna-Italia. 

Siku ya Mazingira Duniani 5 Juni 2017: Kauli mbiu: Mahusiano endelevu kati ya binadamu na mazingira"

Siku ya Mazingira Duniani 5 Juni 2017: Kauli mbiu "mahusiano endelevu kati ya binadamu na mazingira".

Siku ya Mazingira Duniani 5 Juni 2017 na changamoto zake Tanzania

31/05/2017 14:26

Athari za mabadiliko ya tabianchi ni kati ya vyanzo vikuu vya maafa ya watu na mali zao sehemu mbali mbali za dunia! Lakini waathirika wakuu ni maskini. kauli mbiu ya maadhimisho ya Siku ya Mazingira kwa mwaka 2017 ni "Mahusiano endelevu kati ya binadamu na mazingira"! Tekeleza wajibu wako!