Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Mawasiliano ya jamii

Kuutafuta Uso wa Mungu ni Waraka wa Papa Francisko kwa Wamonaki ili kuweza kukabiliana na changamoto mamboleo, daima wakiwa waaminifu kwa Kristo Yesu!

Kuutafuta Uso wa Mungu ni Waraka wa Papa Francisko kwa Wamonaki, ili kuweza kukabiliana na changamoto mamboleo.

Changamoto ya maisha ya kitawa katika kuutafuta Uso wa Mungu!

01/02/2018 06:58

Baba Mtakatifu Francisko katika Katiba ya Kitume "Vultum Dei Quaerere", yaani "Kuutafuta Uso wa Mungu anabainisha mambo msingi yanayopaswa kuzingatiwa na wamonaki katika maisha na utume wao, ili kuweza kukabiliana na changamoto mamboleo, tayari kutoa ushuhuda wenye mvuto na mashiko!

Ujumbe wa Papa Francisko wa 52 wa Siku ya Mawasiliano duniani 2018: UKweli utawawekeni huru: Habari potofu (Fake news) na uandishi wa amani

Ujumbe wa Papa Francisko wa 52 wa Siku ya Mawasiliano duniani 2018: UKweli utawawekeni huru: Habari potofu (Fake news) na uandishi wa amani

Ujumbe wa Papa Francisko wa 52 wa Siku ya Mawasiliano duniani 2018!

24/01/2018 16:35

Ujumbe wa Baba Mtakatifu Francisko kwa siku ya 52 ya Upashanaji wa habari ulimwenguni  2018,umetolewa tarehe 24Januari.Ujumbe huu unaongozwa na mada ya Ukweli utawawekeni huru:Habari potofu na uandishi wa amani.Na Fake News ni kama nyoka mjanja anayejificha nyuma ili apate kuuma

 

 

 

 

Monsinyo Vigano anasema,kufikia hadi sasa masafa mafupi ya Radio Vatican hayakuzimwa,kwa maana hiyo masafa waliyo kuwa nayo Afrika yanaendelea kufika

Monsinyo Vigano anasema,kufikia hadi sasa masafa mafupi ya Radio Vatican hayakuzimwa,kwa maana hiyo masafa waliyo kuwa nayo Afrika yanaendelea kufika

Katika mageuzi tushinde vishawishi kusema tumezoea kufanya hivi

27/03/2017 14:48

Monsinyo Vigano amesema masafa waliyo kuwa nayo Afrika yanaendelea kufika na hiyo inapaswa kuwa wazi,masafa mafupi hayakufungwa kwasababu umakini kwa Afrika ni msingi kiasi kwamba wako katika machakato wa kutekeleza mradi wa Radio 240 za FM Afrika kwa kupitia njia ya satellite.

 

Kwa upande wa Jumuiya ya Kimataifa wanao mba wasaidie mchakato wa uchaguzi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Kwa upande wa Jumuiya ya Kimataifa wanao mba wasaidie mchakato wa uchaguzi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.Na mwisho kwa waamini wote wanao omba wasali kwa ajili ya amani ya nchi na kutimizia ishara za huruma katika kipindi cha uchaguzi.

Maisha ni matakatifu, yalindwe na kuhesimiwa kwa gharama zote

02/03/2017 14:15

Ukosefu wa uchaguzi unazidi kuleta hali tete wakati,ghasia nyingi na vurugu zinahesabika  nyingi hadi kufikia kupinga Kanisa Katoliki bila sababu.Lengo kuu la Baraza la maaskofu wa Congo (DRC)katika kipeo cha uchaguzi ni kutaka kuwapatia wadau wa kisiasa na jamii ushauri na mwelekeo.

 

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania linawataka wadau katika tasnia ya habari na wanasheria kuliwezesha Kanisa kutangaza na kushuhudia uzuri na ukweli

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania linawataka wadau wa tasnia ya habari na wanasheria kuliwezesha Kanisa kutangaza na kushuhudia uzuri na ukweli wa Injili.

Liwezesheni Kanisa Tanzania kutangaza na kushuhudia ukweli na maadili

26/01/2017 09:54

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania linawataka wadau katika tasnia ya vyombo vya habari vinavyomilikiwa na kuendeshwa na Kanisa pamoja na wanasheria kuliwezesha Kanisa kusimamia, kutangaza na kushuhudia ukweli na uzuri; utu, heshima, mafao ya wengi pamoja na haki msingi za binadamu.

 

Baba Mtakatifu Francisko anasema, mawasiliano ya kweli ni yale yanayothamini utu na heshima ya binadamu!

Baba Mtakatifu Francisko anasema, mawasiliano ya kweli ni yale yanayothamini utu, heshima, ustawi na maendeleo endelevu ya binadamu: kiroho na kimwili.

Kanuni bora za mawasiliano kadiri ya Papa Francisko!

29/11/2016 10:14

Kanuni bora za mawasiliano zinazopaswa kutekelezwa kwa unyofu mkuu na wadau mbali mbali wa tasnia ya habari zinafumbatwa katika kulinda, kuthamini, kutetea na kudumisha utu, heshima, ustawi na mafao ya wengi! Mawasiliano yasaidie mchakato wa ujenzi wa madaraja ya watu kukutana na kusaidiana!