Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Mashuhuda wa upendo

Familia ya Mungu inamhitaji kiongozi mwenye mvuto na mashiko atakayeshuhudia huruma na upendo wa Mungu kwa waja wake!

Familia ya Mungu inamhitaji kiongozi mwenye mvuto na mashiko atakayewafunulia waja wake upendo na huruma ya Mungu

Familia ya Mungu inahitaji viongozi wenye mvuto na mashiko!

12/01/2018 10:08

Liturujia ya Neno la Mungu, Jumapili ya II ya Kipindi cha Mwaka B wa Kanisa inaonesha hitaji msingi la familia ya Mungu kuwa na kiongozi mwenye mvuto na mashiko, atakayejisadaka kwa ajili ya kutangaza na kushuhudia: huruma na upendo wa Mungu kwa waja wake kama ilivyo kwa Kristo Yesu!

 

Askofu mkuu Anthony Muheria wa Jimbo Kuu la Nyeri, Kenya anawataka waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kudumisha upendo, umoja na amani!

Askofu mkuu Athony Muheria wa Jimbo Kuu la Nyeri, Kenya anawataka waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kujenga na kudumisha umoja, upendo, mshikamano na amani kama njia muafaka ya kuadhimisha Noeli ya Bwana!

Ujumbe wa Noeli kwa Mwaka 2017 kutoka kwa Askofu mkuu Muheria, Kenya

23/12/2017 08:49

Katika Sherehe ya Noeli, Mama Kanisa anaadhimisha kwa shangwe kubwa Fumbo la Umwilisho, Neno wa Mungu, Nafsi ya Pili ya Fumbo la Utatu Mtkatifu alipofanyika mwili kwa njia ya Roho Mtakatifu kwake Bikira Maria. Huu ni muungano wa ajabu wa asili ya Kimungu na asili ya kibinadamu ndani ya Kristo Yesu

Uzinduzi wa Parokia mpya ya Theresa wa Mtoto Yesu, Jimbo kuu la Dodoma unapania kusogeza huduma za kichungaji kwa waamini.

Uzinduzi wa Parokia mpya ya Theresa wa Mtoto Yesu unalenga kusogeza huduma za kichungaji kwa familia ya Mungu katika eneo hili anasema Askofu mkuu Beatus Kinyaiya.

Parokia ya Theresa wa Mtoto Yesu, Jimbo kuu Dodoma: kitovu cha utume!

11/10/2017 07:38

Askofu Mkuu Beatus Kinyaiya wa Jimbo kuu la Dodoma, hivi karibuni amezindua Parokia mpya ya Theresa wa Mtoto Yesu inayopaswa kuwa ni kitovu cha maisha na utume wa Kanisa katika maadhimisho ya Sakramenti za Kanisa, Katekesi, Tafakari na Matendo ya huruma: kiroho na kimwili!

Papa Francisko: shikamaneni na Kristo katika ubinadamu wake, mwabuduni katika Umungu wake na shibabeni na kulandana na Kristo kwa njia ya Neno!

Papa Francisko: shikamaneni na Kristo katika ubinadamu wake; mwabuduni katika Umungu wake na shikamaneni na kulandana naye kwani ni chemchemi ya maisha ya kiroho.

Papa Francisko: Mapadre na watawa muwe mashuhuda wa furaha ya Injili

10/09/2017 15:03

Papa Francisko anawataka Mapadre na watawa kushikamana na Kristo Yesu katika ubinadamu wake kwa njia ya huduma makini; washikamane na Kristo Yesu katika kuabudu Umungu wake na daima wabaki wakiwa wameshibana na kulandana na Kristo Yesu, chemchemi ya furaha ya Injili kwa watu wake!

Papa Francisko amechapisha barua binafsi kuhusu "Sadaka ya Maisha" kama kielelezo cha hali ya juu cha upendo kwa jirani.

Papa Francisko amechapisha barua binafsi "Sadaka ya Maisha" kama kielelezo cha upendo wa juu kabisa kwa jirani.

Barua Binafsi ya Papa Francisko: Sadaka ya Maisha!

11/07/2017 14:51

Mtumishi wa Mungu anaweza kutangazwa kuwa Mwenyeheri kwa njia ya: kifodini; kwa kuwa shuhuda wa fadhila za kishujaa; kwa kutumia kanuni ya "Equipollente" na sasa Papa Francisko kwa njia ya Barua yake binafsi, ameongeza sadaka ya maisha kama kielelezo cha hali ya juu cha upendo!

Papa Francisko anawaalika viongozi wa Kanisa kujisadaka bila ya kujibakiza ili kulinda, kutetea na kudumisha utu na heshima ya binadamu.

Papa Francisko anawaalika viongozi wa Kanisa kujisadaka bila ya kujibakiza ili kulinda, kutetea na kudumisha utu na heshima ya binadamu.

Papa Francisko: Injili ya Kristo iwe ni chachu ya kulinda utu wa watu

20/06/2017 17:05

Baba Mtakatifu Francisko anawaalika viongozi wa Kanisa kujitoa bila ya kujibakiza kwa ajili ya Kristo na Kanisa lake; kwa njia ya huduma makini kwa waamini katika mahitaji yao msingi ili hatimaye, kusimama kidete: kulinda na kutetea utu, heshima na haki msingi za binadamu na hasa maskini zaidi!

 

Waamini wanahamasishwa kuwa ni mwanga wa mataifa na chumvi ya dunia!

Waamini wanahamasishwa kuwa ni mwanga wa mataifa na chumvi ya dunia.

Waamini wanahamasishwa kuwa ni mwanga wa mataifa na chumvi ya dunia!

13/06/2017 15:57

Baba Mtakatifu Francisko anawaalika waamini kuwa kweli ni mwanga wa mataifa na chumvi ya dunia kwa njia ya ushuhuda wa maisha yao yenye mvuto na mashiko yanayomtolea Mwenyezi Mungu: sifa, heshima na utukufu na hivyo kufukuzia mbali giza la kutopea kwa imani miongoni mwa waamini!

 

Tukisumuwa na Roho Mtakatifu kwa ajili ya utume ndiyo kauli mbiu inayoongoza Ujumbe wa Papa Francisko wa kuombea Miito Duniani 2017.

Tukisumukwa na Roho Mtakatifu kwa ajili ya utume ndiyo kauli mbiu inayoongoza ujumbe wa Papa Francisko kwa ajili ya kuombea miito kwa mwaka 2017.

Ujumbe wa Papa Francisko kwa Siku ya 54 ya Kuombea Miito Duniani 2017

04/05/2017 10:19

Kila mwaka, Jumapili ya Nne ya Kipindi cha Pasaka, Mama Kanisa anaadhimisha Jumapili ya Yesu Kristo Mchungaji mwema; Siku maalum ya kuombea Miito Mtakatifu ndani ya Kanisa. Mwaka huu, Papa Francisko anajielekeza zaidi katika mwelekeo wa kimissionari katika wito wa Kikristo duniani!