Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Mashuhuda wa upatanisho

Leo Mama Kanisa anapenda kuwarejesha tena watoto wake kwenye shule ya upendo mkamilifu!

Leo Mama Kanisa anapenda kuwarejesha watoto wake kwenye shule ya upendo mkamilifu unaopata chimbuko lake kwa Mungu Baba ambaye ni upendo wenyewe!

Leo Mama Kanisa anawarudisha watoto wake kwenye shule ya upendo!

05/05/2018 07:30

Katika historia, Mwenyezi Mungu amejifunua kwa watu wake kwa sababu ya upendo wake mkuu usiokuwa na kifani; akawachagua kati ya mataifa kwa sababu ya upendo huo huo, akawakoa kutokana na ukaidi wao kwa sababu ya upendo! Kwa hakika, Mungu ni upendo na upendo wake ni wa milele!

Papa Francisko asema: huruma, msamaha na upatanisho ni kati ya mafundisho makuu ya Kristo Yesu kwa wafuasi wake.

Papa Francisko asema: huruma, msamaha na upatanisho ni kati ya mafundisho makuu ya Kristo Yesu kwa wafuasi wake.

Papa Francisko: huruma na msamaha ni mafundisho makuu ya Yesu

18/09/2017 10:09

Baba Mtakatifu Francisko anasema, huruma, msamaha na upatanisho ni kati ya mafundisho makuu ya Yesu yanayopatika kwa muhtasari katika Sala kuu ya Baba Yetu! Huu ni mwaliko kwa wale wote walionja huruma na upendo wa Mungu kuwa ni mashuhuda na vyombo vya huruma ya Mungu kwa jirani zao!

Sakramenti ya upatanisho ni mahakama ya huruma ya Mungu inayofariji, samahe na kuuhisha!

Sakramenti ya Upatanisho ni mahakama ya huruma ya Mungu inayotakasa, fariji, samahe na kuuisha!

Iweni wakamilifu kama Baba yenu wa mbinguni!

14/09/2017 11:19

Mama Kanisa anafundisha kwamba, huruma, upendo na haki ni fadhila ambazo inapaswa kumiminika kutoka katika kilindi cha moyo wa mwamini, ili hatimaye, kushuhudia: utakatifu, huruma na mapendo kutoka kwa Mwenyezi Mungu yaliyofunuliwa na Kristo Yesu katika ile sala kuu ya Baba Yetu!

 

Upatanisho ni mlango unaomwezesha mwamini kugusa na kuonja huruma ya Mungu katika maisha yake na jirani zake!

Upatanisho ni mlango unaomwezesha mwamini kuonja huruma na upendo wa Mungu katika maisha!

Mchakato wa upatanisho wa upendo na kidugu!

08/09/2017 16:29

Baba Mtakatifu Francisko anasema, upatanisho ni mchakato unaomwezesha mwamini kushinda kishawishi cha ubinafsi na kutaka kujichukulia sheria mkononi kwa kulipiza kisasi. Ni njia ya kuonja tena na tena huruma na upendo wa Mungu katika maisha ya mwanadamu, ili kujenga amani ya kweli!

Papa Francisko anawataka wananchi wa Colombia kujipatanisha na Mungu, Jirani na Mazingira!

Papa Francisko anawataka wananchi wa Colombia kujipatanisha na Mungu, Jirani na Mazingira!

Papa Francisko: Colombia jipatanisheni na Mungu, Jirani na Mazingira!

08/09/2017 15:59

Baba Mtakatifu Francisko anasema, upatanisho ni mlango unaowafungulia watu wote walioathirika kwa vita, ghasia na mipasuko ya kijamii fursa ya kushinda kishawishi cha kutaka kulipiza kisasi kwa kujichukulia sheria mikononi na badala yake, wanakuwa ni wadau wa ujenzi wa amani na upatanisho!

Papa Francisko anawashukuru wadau na wajenzi wa amani; anaitaka serikali kusikiliza maskini na Kanisa kutekeleza dhamana na utume wake.

Papa Francisko anawashukuru wadau na wajenzi wa amani nchini Colombia, anaitaka serikali kusikiliza na kujibu kilio cha maskini na Kanisa kutekeleza dhamana na wajibu wake wa Kiinjili.

Papa Francisko: sasa ni safari ya upatanisho na amani nchini Colombia

07/09/2017 17:30

Baba Mtakatifu Francisko anawaambia wananchi wa Colombia kwamba, sasa umefika wakati wa kuachana na vita, chuki, uhasama na hali ya kulipizana kisasi. Ni wakati wa safari ya kuelekea katika mchakato wa upatanisho na amani kwa kusikiliza na kujibu kilio cha maskini na wale wanaoteseka!

Mtakatifu Maximilian Maria Kolbe ni shuhuda wa utume na upendo kwa jirani hata katika kifo!

Mtakatifu Maximilian Maria Kolbe ni shuhuda wa utume na upendo kwa jirani hata katika kifo!

Mtakatifu Maximilian Kolbe mfano bora wa utume na upendo kwa jirani

14/08/2017 08:55

Kanisa ni sakramenti ya wokovu ndiyo maana linapenda kujibidisha katika mchakato wa kukuza na kudumisha misingi ya haki, amani, upendo na mshikamano kati ya watu! Changamoto inayopaswa kuvaliwa njuga na vijana wa kizazi kipya ili waweze kuwa ni mashuhuda wa amani duniani!

Wayesuit wanatumwa kuwa ni wajumbe wa upatanishi kati ya Mungu, binadamu na mazingira

Wayesut wanatumwa kuwa ni wajumbe wa upatanisho kati ya Mungu, Binadamu na Mazingira.

Wayesuit wanatumwa kuwa ni wajumbe wa upatanisho duniani

01/08/2017 10:17

Karama za mashirika mbali mbali ni zawadi ya Roho Mtakatifu kwa ajili ya ujenzi wa Fumbo la Mwili wa Kristo yaani Kanisa! Karama ya Wayesuit inapaswa kupyaisha mara kwa mara kwa kusoma alama za nyakati, ili kweli waweze kuwa ni wajumbe wa upatanisho kati ya Mungu; binadamu na mazingira!