Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Mashuhuda wa imani

Jimbo Katoliki Nakuru, Kenya linaadhimisha Jubilei ya Miaka 50 tangu kuanzishwa kwake kunako mwaka 1968

Jimbo Katoliki Nakuru, Kenya linaadhimisha Jubilei ya Miaka 50 tangu kuanzishwa kwake kunako tarehe 11 Januari 1968.

Jubilei ya Miaka 50 ya Jimbo Katoliki Nakuru, Kenya

11/01/2018 16:17

Familia ya Mungu Jimbo Katoliki Nakuru nchini Kenya ina mwimbia Mwenyezi Mungu utenzi wa sifa na shukrani kwa kuadhimisha Jubilei ya Miaka 50 tangu walipopokea zawadi ya imani ambayo wameilinda, wameishuhudia na kurithisha kwa vijana wa kizazi kipya! Hatua muhimu katika maisha yao!

Papa Francisko anawataka viongozi wa Kanisa kuwa karibu na Mungu kwa njia ya sala na watu wao kwa njia ya huruma na mapendo.

Papa Francisko anawataka viongozi wa Kanisa kuwa karibu na Mwenyezi Mungu kwa njia ya sala, tafakari, ushuhuda wa maisha sanjari na kuwa karibu na watu wao kwa njia ya huruma na mapendo.

Papa anawataka viongozi wa Kanisa kuwa karibu na Mungu na watu wake!

09/01/2018 11:34

Baba Mtakatifu Francisko anawataka viongozi wa Kanisa kuhakikisha kwamba, wanakuwa karibu sana na Mwenyezi Mungu kwa njia ya sala, tafakari na ushuhuda wa maisha yenye mvuto na mashiko! Wajenge utamaduni wa kuwasikiliza, kuwafariji, kuwaganga na kuwaponya watu kwa sala na Sakramenti.

Waamini wanapaswa kushikamana na Kristo katika sala na huduma kama ushuhuda wa imani tendaji!

Waamini wanapaswa kushikamana na Kristo Yesu katika sala na huduma kama kielelezo cha ushuhuda wa imani tendaji!

Mbinu mkakati wa uinjilishaji mpya unaojikita katika ushuhuda makini!

28/12/2017 07:51

Ili kuweza kujenga na kudumisha mchakato wa uinjilishaji mpya wenye tija na mafanikio makubwa kuna haja kwa Wakristo kufahamu mafundisho tangu ya Kanisa; kujikita katika umoja, upendo na mshikamano katika sala na huduma inayomwilishwa katika matendo ya huruma: kiroho na kimwili hasa kwa maskini!

Patriaki Cyrill wa Moscow na Russia anawaalika waamini kumtolea Mungu maisha yao kama sadaka safi wakati huu wa Noeli.

Patriaki Cyrill wa Moscow na Russia anawaalika waamini kumtolea Mungu maisha yao kama sadaka safi inayompendeza Mungu, ili aweze kuwakirimia mageuzi ya kweli katika maisha.

Patriaki Cyrill wa Moscow asema: zawadi kubwa ya Noeli ni moyo wako!

26/12/2017 14:53

Patriaki Cyrill wa Moscow na Russia nzima anasema, Mamajusi kutoka Mashariki ya mbali walimpelekea Mtoto Yesu zawadi ya uvumba, manemane na dhahabu kama utambulisho wa maisha na utume wake, changamoto kwa waamini kumtolea Mwenyezi Mungu sakafu ya mioyo yao, ili awaletee mabadiliko!

Papa Francisko amewaandikia barua ya kitume Maaskofu Katoliki Japana akiwasihi kushughulia changamoto wanazokabiliana nazo kwa kwa moyo wa ujasiri!

Papa Francisko amewaandikia barua ya kitume, Maaskofu Katoliki Japan akiwasihi kushughulikia changamoto wanazokabiliana nazo kwa ari na moyo mkuu!

Kanisa nchini Japan limesimikwa katika msingi wa damu ya mashuhuda!

18/09/2017 08:48

Baba Mtakatifu Francisko amewaandikia barua ya kitume Baraza la Maaskofu Katoliki Japan akipembua kuhusu mafanikio ya maisha na utume wa Kanisa nchini Japan; changamoto wanazokabiliana nazo pamoja na mambo msingi wanayopaswa kuyazingatia katika mchakato wa kulipyaisha Kanisa nchini mwao!

Papa Francisko: shikamaneni na Kristo katika ubinadamu wake, mwabuduni katika Umungu wake na shibabeni na kulandana na Kristo kwa njia ya Neno!

Papa Francisko: shikamaneni na Kristo katika ubinadamu wake; mwabuduni katika Umungu wake na shikamaneni na kulandana naye kwani ni chemchemi ya maisha ya kiroho.

Papa Francisko: Mapadre na watawa muwe mashuhuda wa furaha ya Injili

10/09/2017 15:03

Papa Francisko anawataka Mapadre na watawa kushikamana na Kristo Yesu katika ubinadamu wake kwa njia ya huduma makini; washikamane na Kristo Yesu katika kuabudu Umungu wake na daima wabaki wakiwa wameshibana na kulandana na Kristo Yesu, chemchemi ya furaha ya Injili kwa watu wake!

Papa Francisko ni chombo cha upatanisho kati ya watu!

Papa Francisko ni chombo cha upatanisho kati ya watu!

Papa Francisko ni shuhuda wa upatanisho!

07/09/2017 13:01

Baraza la Maaskofu Katoliki Colombia linapenda kumkaribisha Baba Mtakatifu Francisko nchini Colombia kama kilele cha mchakato wa amani na upatanisho nchini Colombia, tayari kuandika historia mpya inayofumbatwa katika misingi ya haki, amani, upendo, umoja, udugu na mshikamano wa kitaifa!

Mwenyeheri Oscar Armulfo Romero alikuwa Askofu, shuhuda wa Injili, sauti ya wanyonge na mtetezi wa utu na heshima ya binadamu!

Mwenyeheri Oscar Armulfo Romero alikuwa Askofu, shuhuda wa Injili, sauti ya wanyonge, mtetezi wa utu na heshima ya binadamu!

Mwenyeheri Oscar Romero aliyezimishwa kama risasi ndani ya maji makuu

14/08/2017 08:37

Kanisa linaadhimisha kumbu kumbu ya miaka 100 tangu alipozaliwa Mwenyeheri Oscar Armulfo Romero: Kama Askofu alifundisha, akaongoza na kuwatakatifuza watu wa Mungu; alikuwa ni shuhuda wa Injili ya amani; Sauti ya kinabii na mtetezi wa maskini na wanyonge nchini El Salvador!