Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Mashauri ya Kiinjili

Kanisa linahitaji sheria kanuni na miongozo ili kupambanua karama na mapaji kwa ajili ya maisha na utume wa Kanisa.

Kanisa linahitaji sheria kanuni na miongozo mbali mbali ili kupambanua karama na mapaji yanayohitajika kwa ajili ya maisha na utume wa Kanisa.

Maisha ya kitawa: utofauti na umoja wa karama kazi ya Roho Mtakatifu

05/05/2018 14:26

Karama mbali mbali zinazoendelea kuibuka ndani ya Kanisa ni kwa ajili ya ustawi, maendeleo na mafao ya Fumbo la Mwili wa Kristo yaani Kanisa. Lakini kuna haja ya kuwa na kanuni sheria na miongozo inayopaswa kufuatwa ili kupambanua karama na mapaji ya Roho Mtakatifu kwa ajili ya utume wa Kanisa.

Papa Francisko anawataka watawa kujenga na kudumisha misingi ya upendo, umoja, mshikamano na udugu kwani huu ni ushuhuda wenye mvuto na mashiko!

Papa Francisko anawataka watawa kujenga na kudumisha misingi ya umoja, upendo, mshikamano na udugu kama kielelezo cha ushuhuda wenye mvuto na mashiko katika maisha ya kuwekwa wakfu!

Papa Francisko: Watawa jengeni moyo wa upendo, udugu na mshikamano

03/02/2018 15:07

Baba Mtakatifu anawakumbusha watawa katika maisha na utume wao, kutambua kwamba, daima mbele yao kuna ndugu zao katika Kristo Yesu wanaopaswa kuapenda, kuwaheshimu na kuwathamini badala ya kuthamini vitu na ivyo kusahau utu, heshima na mahitaji msingi ya binadamu katika utawa!

Olav F.Tveit amesema, inawezekana kufikia mwaka 2050 nchi ya China ikaongoza kuwa na wakristo wengi zaidi katika ulimwengu

Olav Fykse Tveit amesema, inawezekana kufikia mwaka 2050 nchi ya China ikaongoza kuwa na wakristo wengi zaidi katika ulimwengu

Dk.Tveit amesema nchi ya china itaongoza kwa wingi wa wakristo 2050!

11/01/2018 09:04

Katibu Mkuu wa Baraza la Kiekumene la Makanisa Duniani,Dk.Olav amefanya maadhimisho ya miaka 70 ya Baraza hilo katika Kanisa la Chongwemen nchini China;mahali ambapo amesema kuwa,kufikia mwaka 2050 nchi ya China inawezakana ikawa nchi yenye wakristo wengi zaidi katika ulimwengu. 

 

Tokyo ni Jiji lenye changamoto nyingi katika malezi, majiundo na makuzi ya Kipadre: Lakini kuna haja ya kujisadaka kwa ajili ya huduma kwa Kanisa.

Tokyo ni Jiji lenye changamoto nyingi katika malezi, makuzi na majiundo ya Kipadre, lakini Kanisa bado linawahitaji watenda kazi, wema, watakatifu na wanyofu wa moyo!

Dumisheni: Ufukara wa Kikristo, Useja na Utii!

23/09/2017 16:07

Kardinali Fernando Filoni wakati wa hija yake ya kikazi Jimbo kuu la Tokyo, Japana amewataka Majandokasisi kuhakikisha kwamba, wanakabiliana na changamoto za ulimwengu mamboleo katika majiundo yao kwa kujikita katika ufukara wa Kikristo, Useja na Utii, daima wakimwangalia Kristo Yesu!